nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya lopolopo ziko mbili nchini, Chala na sigwa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nchi hii Kuna mitambo miwili ya lopolopo Yaan hawa jamaa ukiwasikikiza mpaka unajiuliza hivi hawa wako timamu kweli? Hawa Kinacho watoka midomoni mwao ni lopolopo lopolopo tu Changamoto kubwa sana LONDON BOY
  2. Yoyo Zhou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutoka “Shithole” hadi “Takataka”: ubaguzi wa rangi dhidi ya wahamiaji wa Afrika nchini Marekani wazidi

    Rais wa Marekani Donald Trump hivi karibuni kwenye Kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, aliwataja wahamiaji wa Somalia kama “takataka”, na kuelezea hamu yake ya kuwarudisha “walikotoka”. Baadaye alizidisha kauli hii, akiwaambia waandishi wa habari...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanariadha 10 bora wa muda wote nchini Tanzania

    Mambo ni mengi muda hautoshi. Twende kwenye orodha moja kwa moja bila kupoteza muda. 1. FILBERT BAYI Mzee wetu kaongelewa kwenye makala mengi mno duniani kiasi kwamba shirikisho la ridha duniani limehifadhi kumbukumbu zake kwenye makumbusho ya shirikisho huko Ufaransa. Mzee Filbert Bayi...
  4. Papaaa mukuubwaaa

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 yanayotabiri uwezekano wa maandamano makubwa nchini yoyote (kwa mtazamo wa utafiti, si vitendo)Nchi za kiarabu zilivyodondoshwa

    ‎1. Legitimacy Collapse (Kupoteza Uhalali) ‎Wananchi wengi wanapoamini kuwa serikali: ‎Haitetei maslahi yao ‎Imekosa uadilifu ‎Imeshindwa kiuchumi ‎utawala hupoteza msingi wake. 2. Economic Trigger (Msukumo wa Kiuchumi) ‎Bei ya chakula, mafuta, ukosefu wa ajira — huwa chanzo kikubwa. 3. Mass...
  5. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa MAKOMBORERO upigwe Marufuku nchini

    Huu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa
  6. Mende mdudu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

    Kikundi cha wanajeshi kilionekana kwenye televisheni ya taifa ya Benin kikitangaza kuvunjwa kwa serikali katika kile kinachoonekana kuwa mapinduzi nchini humo, iliyopo Afrika Magharibi. Mapinduzi hayo yametangazwa leo siku ya Jumapili kumng’oa madarakani Rais Patrice Talon, ambaye ameiongoza...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Kombo akutana na Balozi wa India nchini Tanzania Bishwadip Dey

    Waziri Kombo akutana na Balozi wa India nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India nchini, Mhe. Bishwadip Dey, katika ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam, tarehe 06...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Nurdin Kishki: Yanayoendelea nchini 90% yana msukumo wa upande wa kushoto

    Wakuu Sheikh Kishki anaeleza kuwa asilimia 90 yanayoendelea hapa nchini ni msukumo kutoka upande wa kushoto. Alianza kwa kuwauliza swali aliokuwa nao kuwa kwa yanaoyoendelea sasa yana msukumo kutoka wapi kati yao (waislam) ama upande wa kushoto, ambao nao pia wamesikika wakijibu kuwa ni upande...
  9. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Namna Mange Kimambi anavyoweza kuletwa nchini kujibu tuhuma zake

    Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia: 1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality). 2. First...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mambo mengine Marekani imesikitishwa na ukandamizaji wa wakristo nchini Tanzania chini ya Samia

    GT Marekani imesikitishwa na mambo mengi nchini Tanganyika. Moja ya jambo muhimu wanalosema ni ukandamizaji wa wazi wa dini ya kikristo. Siyo siri wana taarifa zote namna samia navyojaribu kutumia uislamu kukandamiza haki na uhuru qa kujieleza nchini Tanzania. Mauaji. Utekaji na utesaji...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lilikuwa na lengo la kuleta machafuko nchini DRC

    Katika Historia inaonyesha Kanisa Katoliki ni jadi yao kuchokonoa akiwepo Rais wasiyemtaka au akishinda wasoyemtaka. Hii sio Tanzania au DRC tu. Hata Rwanda mauaji ya 1994 vivyo hivyo. Kanisa Katoliki lilikua na lengo la kuleta machafuko nchini DRC kwa kutaka kumtangaza muumini wao.
  12. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo ulitaka TEC wanyamazie Injustice inayoendelea nchini

    Yani serikali yako iteke,iue watu hovyo. Chama chako kiibe uchaguzi kupitia vyombo vya dola ambavyo vipo compromised. Maisha yaendelee kuwa magumu huku ninyi mkipeana vyeo kupitia nepotism. Halafu watu au taasisi zikiyasema hayo mnachukia,hivi ninyi ni wenda wazimu? Hell no,hii haikubaliki...
  13. Tindo

    JamiiForums Tanzania ITV mnatumika kibwege sana, kinachoendelea hapa nchini ni wananchi kuchoka box la kura kuchezewa

    Hicho kipindi mlichokiweka usiku huu cha kipima joto mtawaokota wasiojitambua. Hakuna vita yoyote ya kiuchumi, bali ni Rais na chama chake cha ccm kulazimisha kukaa madarakani kwa shuruti. Kama mlitumia mbinu hizo za propaganda za kichovu zamani mkafanikiwa, jueni kwa sasa mko nje ya muda...
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Very disturbing: Report ya ICC-Vikosi vya KMKM viliingizwa nchini kuua!

    RIPOTI YA ICC, kipengele cha 79. Mnamo Oktoba 29, kikosi cha kupambana na magendo cha Zanzibar (KMKM) kilitumwa Dar es Salaam kwenda kukandamiza maandamano kwa nguvu. Kikiwa kimepewa maagizo ya “kupiga risasi ili kuua” wakati wa amri ya kutotoka nje, maafisa hawa waliovaa barakoa waliungana na...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Listi ya watu wanaokabia juu kwenye siasa za Tanzania

    Mimi naanza na hawa 1. Prof Utajua hujui 2. Tito Magoti 3. Bongo Zozo Endelea na listi hapo chinii
  16. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi Isaac Njenga: Tanzania na Kenya ni ndugu yanayotokea kwa jirani yanatuhusu

    Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Isaac Njenga akizungumza katika Mahojiano na Salim Kikeke ameeleza kuwa uhusiano wa Kenya na Tanzania ni kama ndugu hivyo matukio yanayotokea kwa jirani yako lazima yatakuhusu na utataka kujiridhisha, amerejelea uchaguzi wa Kenya 2007 uliofatiwa na ghasia kuna...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kama hawa Watanzania waliouawa nchini wangeuawa Gaza

    Kungekuwa na maandamano na matamko mengi sana ya FREE PALESTINA, lakini kwa kuwa wameuawa akina Abdallah na Frances ngozi nyeusi. Wala.... Utasikia tu amani amani. Kule Gaza hatusikii wakiambiwa wapalestina kuwa watunze amani. Hatusikii. Sisi miafrika ni minyani kwa asilimia kubwa sana. Sababu...
  18. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Nini kinamfanya Emmanuel Nchimbi kuwa na furaha muda wote kuliko kiongozi yeyote nchini?

    Mayi! Mimi mwenyewe au nanyi mwaona? Yaani Emmanuel bhana anafuraha muda wote kuliko kiongozi yeyote hapa nchni. Anayefuata ni Baba Levo. Nyie embu nijuzeni kunani? Maana sio bure. Jamaa yenyu stress Hana. Amzidi furaha Mama Samuya, samuya body language yake tuu yaonyesha ako na stress full...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Nawapongeza vyombo vya habari nchini, mpo sahihi sana, sio lazima tuige mtindo wa kuishambulia nchi yetu

    Waandishi wa Habari mlikuja kulalamika kwamba wananchi wanawashambuli kuhusu kukaa kimya, baada ya statement hii ya semaji Gerson Msigwa mna lipi la kusema? ==== Kuhusu vyombo vya habari vya Tanzania, Msigwa ameanza kuvipongeza kutokana na kazi nzuri wanayofanya kwa weledi na umakini mkubwa na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa awahakikishia watalii usalama na kupuuza taarifa potofu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wote nchi yetu itabaki kuwa ya amani na wazi kupokea wote wanaowiwa kuja...
Back
Top Bottom