Wimbo wa MAKOMBORERO upigwe Marufuku nchini

Wimbo wa MAKOMBORERO upigwe Marufuku nchini

Huo wimbo una ukombozi gani mbona maana yake ni kumuombaomba yesu
Kama ni ukombozi hao wazimbabwe walioimba si wangewatoa ZANU serikalini
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
Huo wimbo wamefikiria namna ya kuupiga ban ila imeshindikana, wameona wauachie tu. Hadi watekaji wanajifanya kuvibe nao siku hizi.

Hapa ilitakiwa mtu atengeneze version ya kiswahili inayotumia melody hiyo hiyo na hata baadhi ya maneno ya kwenye OG ayatumie tena ikiwemo ile chikichi. Huo sasa utapigwa ban.
 
Back
Top Bottom