Ltd: Limited Company ni kampuni ya biashara ambazo zinatenganisha mali binafsi ya mwenye biashara na zile za biashara yenyewe. Sheria zinazohusu Limited companies ni tofauti kati ya nchi na nchi kwa hiyo biashara nyingi za Tanzania kuwa Limited ni sawa kabisa kulingana na shria za nchi...
Kiwango cha mfumuko wa bei nchini Tanzania kwa mwezi wa Agosti kiliongezeka, kikiwa kimesukumwa na kupanda kidogo kwa bei za vyakula na bidhaa zisizo za chakula, na kuakisi mabadiliko ya haraka ya bei kwa bidhaa muhimu katika masoko ya ndani.
Kiwango cha mfumuko wa bei cha jumla kiliongezeka...
Wakuu,
Kwa hili vibe nililoona mitaani leo. Mabanda ya mpira kujaa, kila mtu kuongelea mpira status na mitandao yote kuzungumzia kuhusu mpira nadhani ifike muda CCM ifute kabisa masuala ya mipira
Watu wanatakiwa wafocus na masuala ya kimaendeleo kama kilimo, uvuvi na ufugaji.
Haiwezekani...
Makampuni nchini Tanzania yanakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazochangia kutokuandaa ripoti za uendelevu (sustainability reports) kwa mwaka husika, licha ya kuongezeka kwa shinikizo la kisheria na la wadau.
Makampuni mengi bado yanaona ripoti za uendelevu kama zoezi la kuzingatia sheria tu...
Kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa, amani nchini itatoweka
1. Viongozi wa vyama vya upinzani vyenye kuonesha kuungwa na jamii (km CHADEMA na ACT-Wazalendo) wanawekewa vipingamizi visivyo na misingi, na kuekelea wapiga kura, wanaowaunga mkono, kutokushiriki Uchaguzi Mkuu, kinyume na haki yao...
Sababu za Maandamano
Marufuku ya mitandao ya kijamii – Serikali ilizuia matumizi ya Facebook, Instagram, WhatsApp, YouTube n.k. kwa madai ya kiusalama. Vijana waliona hatua hiyo kama kukandamiza uhuru wa maoni. hii ni kwa mujibu wa ABP News.
Ufisadi serikalini – Kulikuwa na madai ya ufisadi...
Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran wakati wa vita vya siku 12 mapema miezi michache iliyo pita
Uharibifu huo ni...
Tangia kuzaliwa kwangu sijawai kuona kampuni ya ajabu kama hii ya halotel
Hawa jamaa Internet yao ni slow labda uwe karibu na ofisi zao.
Internet inaweza kugoma muda wowote na hawana maelezo ya kutosha.
Nilivutiwa na bundle zao za buku ila kwa kweli nimenyoosha mikono juu
Voda wanawezaje...
Wakuu, moja kati ya watayarishaji bora wa muziki wa bongo wa bongo fleva nchini, Master J, adai ana viwanja zaidi ya mia moja huko kigamboni.
Master J anadai kutokana na hadhi ya viwanja alivyonavyo kwa sasa, anauwezo wa kikiuza kila kimoja kwa milion mia tatu.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu, haya yakijiri baada ya benki ya kitaifa kusema deni la kitaifa limefikia dola bilioni 46.5 kufikia mwishoni mwa mwezi Juni, wakati pia ripoti ya hivi punde ya benki ya Tanzania...
Baadhi ya wanawake wajasiliamali wa Tarafa ya Karema Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wametoa kero ya kutokupata mikopo ambayo itawasaidia kuendeleza biashara zao.
Wanawake hao akizungumza hivi karibu wamesema kukosa fedha za mikopo unazorotesha maendeleo yao, huku wakishangaa...
Hiyo yote inasababishwa na Wapakistani kuzaa watoto wengi zaidi kushinda Wadenmark wazawa.
Wakati Wadenmark wanazaa mtoto 1 au 2, Wapakistani wao wanafyatua kuanzia 5 na kuendelea.
"We have 5 children while you have 1 or 2. In 10 years, there will be more Pakistanis than Danes here. There...
Mimi ni mdau sana wa shughuli za Uhamiaji, nafanya kazi kwenye taasisi moja ya kimataifa hivyo tunasafiri sana na pia tuna deal sana na kuomba vibali kwa wageni wetu.
Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa vitabu vya paspoti katika Idara ya Uhamiaji, taarifa za ndani wanadai wanatoa si zaidi ya paspoti...
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), na Mkurugenzi wa TEHAMA wa kampuni hiyo, Athumani Mlinga (kushoto), wakimkabidhi tuzo mchezaji wa Don Bosco, Martin Benson, aliyechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi. Tukio hilo, lililofanyika tarehe 29 Agosti katika viwanja vya...
Polepole Polepole Polepole nimekuita mara tatu.
Unakumbuka vizuri chuma mwanzoni mwa uongozi wake alitikisa watu kwa kuibua list ya wauza sembe nchini.
Wengi walitajwa, na bila shaka chuma aliamua kusitisha ile operesheni.
Sasa hebu tuletee list ya wauza Sembe ili Jamii iwaepuke, iwaogope...
KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA
☑️ Waziri Mavunde aweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kusindika na Kuyeyusha Nikeli na Shaba - Dodoma
☑️ Ni maelekezo ya Mhe. Rais Samia kuyaongezea thamani madini ndani ya nchi.
☑️ Mradi kuchakata takribani tani...
Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
Ni kwamba elimu ya Tanzania ( shule za sekondari) imeshuka thamani au wazazi sasa hawana tena Imani na elimu ya sekondari?
Walio fungua mabanda ya tuition naona wanazidi kufunga tu.
Ni me tembelea kibaha kuna taasisi ya inafundisha tuition bure kabisa ( sekondari) lakini si wanafunzi wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.