Mitambo ya lopolopo ziko mbili nchini, Chala na sigwa

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,029
Reaction score
45,142
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Nchi hii Kuna mitambo miwili ya lopolopo
Yaan hawa jamaa ukiwasikikiza mpaka unajiuliza hivi hawa wako timamu kweli? Hawa
Kinacho watoka midomoni mwao ni lopolopo lopolopo tu

Changamoto kubwa sana

LONDON BOY
 
Huyo Chala anatumia ualimu wake wake wa kuongea na isitoshe Huwa anaamka nazo za Jana!
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Nchi hii Kuna mitambo miwili ya lopolopo
Yaan hawa jamaa ukiwasikikiza mpaka unajiuliza hivi hawa wako timamu kweli? Hawa
Kinacho watoka midomoni mwao ni lopolopo lopolopo tu

Changamoto kubwa sana

LONDON BOY
Misimu pia
 
Umemsahu yule tapeli ambaye hawezi kumaliza sentensi bila kusema "Guys".

Jamaa hana haga aura na haiba ya kukaa kwenye kile kiti, lopolopo sana.
 
Lakin kwanini tunaongozwa na watu wasiojitambua
 
Back
Top Bottom