nchi

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Erick Kabendera bado ipo kwa DPP, Kesi yaahirishwa hadi Januari 2, 2020

    Upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari nchini Tanzania, Erick Kabendera bado haujakamilika. Kabendera anakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kutakatisha Sh173milioni katika Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi Kisutu. Hayo yameelezwa leo Jumatano Desemba 18...
  2. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

    Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua chama cha Chadema na kukipa saa mbili kuondoa bendera zake zilizowekwa barabara ya Sam Nujoma karibu na ukumbi wa Mlimani City unakofanyika uchaguzi wa viongozi wa chama hicho. Bendera hizo ziliwekwa katika barabara hiyo...
  3. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania wanaofanya kazi na "World Class Celebrities" watusaidie kuwashawishi ili tuwatumie katika kuitangaza nchi yetu kwa gharama nafuu??

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. PLEASE ANZA KWA KUSOMA HII THREAD YANGU...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wananchi wengine 22 wauawa mjini Beni DRC. Jeshi la nchi hiyo lalaumiwa kwa kushindwa kuwadhibiti waasi

    Waasi wa kundi la ADF wameshambulia tena mji wa Beni katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kuuwa watu 22 katika eneo la Ndombi na Kamango. Waasi hao wanaelezwa kuwashambulia wakaazi hao kwa risasi na kuwauawa wakiwemo wanawake na watoto huku wengine wakijeruhiwa hata hivyo jeshi la...
  5. balimar

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari nataka kujua utaratibu wa kuingiza mnyama toka nchi jirani

    Tafadhali wadau za jioni? Nataka kuingiza dume la ng'ombe nije kuzalisha kwenye shamba langu. Naombeni msaada wa taratibu za kisheria na kanuni za kuingiza mnyama huyo humu nchini. Tafadhari naombeni mnisaidie maelekezo na namna bora ya kuliwezesha hili wazo langu. Asante.
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Magufuli anatamani nchi yetu iwe na Katiba ya nchi mbovu zaidi ya hii tuliyo nayo sasa!

    Wananchi wengi wa nchi hii wanatamani nchi yetu iwe na Katiba mpya ambayo itaendana na nyakati hizi, tofauti na Katiba tuliyo nayo hivi sasa ambayo ilitungwa mwaka 1977, ambayo wananchi wengi wanaiona kuwa haikidhi matakwa ya sasa ya kisiasa na kijamii Wakati wananchi wengi wanatamani nchi yetu...
  7. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Boris Johnson ni wazi kuwa Dunia inataka akina Trump, Magufuli na Jair Bolsonaro wengi yaani wazalendo wafia nchi zao kwa gharama yeyote

    Baada ya Chama cha Conservative cha Boris Johnson kupata ushindi mkubwa wa viti zaidi ya 326 vya Ubunge Uingereza, Waziri Mkuu huyo ameweka msisitizo kwamba Januari 31,2020 Uingereza itajiondoa rasmi katika Umoja wa Ulaya (EU). _ Boris amesema ni jukumu lake kuindoa Uingereza kwenye Muungano wa...
  8. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Bashe apiga ‘stop’ uagizaji magunia nje ya nchi kuanzia mwaka 2020

    Utabiri wangu ni kuwa kama yatakuja kutokea mabadiliko mengine ya Baraza la Mawaziri kabla ya uchaguzi wa Oktoba 2020, Husseein Bashe atakuwa Full Minister. Mtakuja kuniambia. Unless yasitokee, ila yakitokea tu that is my precise prediction! ======== Naibu Waziri wa Kilimo nchini Tanzania...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali ilegeze masharti ya kupata pasipoti ili watu wakatafute fursa nje ya nchi

    Masharti ya kupata passport inatakiwa tu kitambulisho cha uraia zingine zote mbwembwe za kusumbuana tu sijui barua ya mwaliko sijui nini ujinga mtupu. Kwani mtu hawezi kwenda nchi nyingine kutafuta fursa hata kama hana mwenyeji? Ona huyu kijana Mtanzania mwenye mgahawa China akipiga kazi baada...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nchi gani ya Afrika iliyoongozwa/tawaliwa na Rais mmoja tu kwa miaka mingi na ikapata maendeleo?

    Iko mifano mingi Afrika ya nchi ambazo marais wake wameongoza au tawala kwa muda mrefu (miaka mingi) lakini hakuna chochote cha maana walichofanya. Kutaja kwa uchache, Uganda na Congo!!! Itambulike iwe Rais mwenyewe, wasaidizi wake, washauri wake au mwananchi wa kawaida kufikiria tu rais...
  11. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Katika taifa la 'Kidemokrasia' na lenye 'Hazina Kubwa' ya Viongozi, kuna ulazima gani wa Kiongozi wa taifa hilo kuongezewa muda wa madaraka?

    Salamu! Katika taifa linalo jinasibu kuwa ni la 'Kidemokrasia' na pia lenye 'Hazina Kubwa' ya viongozi (wa kila rika na jinsia), kuna ulazima ama umuhimu gani kwa kiongozi wa taifa hilo kuongezewa ukomo wa muda wa kukaa madarakani? Nafahamu kuna watakaosema kuwa "kama wananchi wanahitaji...
  12. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli. Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya kijamii akidai walichofanya ni kujipendekeza kwa Rais ili waachiwe nafasi chache za ubunge mwaka...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Je, majasusi kutoka ughaibuni wanatumia NGOs za Afya kuja kupeleleza nchi za kiafrika?

    Haya ni mambo fikirishi kutokana na experience yangu ya kuona mambo mbalimbali. Je kama watanzania tumejiandaa vipi kukabiliana na uwezekano wa hali hii? Ieleweke kuwa Afya ni eneo nyeti katika mustakabali wa nchi na wananchi. Aidha ni muhimu kujua kuwa vita baridi vinaweza kutumia mbinu...
  14. Janken jr

    JamiiForums Tanzania Jina Tanganyika kwanini linaogopwa kutumika kuelezea upande wa Bara?

    Inapokea kuna suala LA kuitambulisha Zanzibar nje ya muungano tunatumia jina la Zanzibar, lakin ikiwa suala hilo linaihusu Tanganyika Basi wanakwepa na kutumia jina la muungano yaan Tanzania bara so Tanganyika.kwa ninibbasi NATO Zanzibar isitumie Tanzania visiwani. Mfano mashindano ya Moira...
  15. Zawadi Mkweru

    JamiiForums Tanzania Nchi 54 duniani zinaruhusu wasichana kuolewa mapema kwa kati ya miaka 1-3 kuliko wavulana

    Ndoa za utotoni mara nyingi hutokea kati ya msichana mdogo na mwanaume mzee. (Mfano miaka 15 kwa miaka 75) Msichana ananyimwa haki yake ya kuchagua mwenzi na kupewa uwezo mdogo nyumbani na hata kunyanyaswa. Kwa mujibu wa Shirika la watoto duniani (UNICEF), karibu nusu (45%) ya wanawake wote...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo watu wake hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kupata wateja wa hizo fremu

    Biashara yeyote duniani ikianzishwa watu wenye biashara huanzisha ushindani wa kutafuta wateja. Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo watu hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kutafuta wateja wa kupangisha fremu na hivyo kusababisha mifremu mingi kuwa mitupu isiyo na...
  17. Bess

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kuonja sumu kwa ulimi ni zaidi ya udikteta

    Ninashangaa chama kinachojiita cha ki-demokrasia, kiongozi wao mkuu anatishia wenzake kwamba wasionje sumu kwa ulimi linapokuja suala la kugusa maslahi yake ndani ya chama. Ghafla maswali machache yanaibuka: Hicho kikao kilikuwa cha maadui ama ndugu zake katika chama? Kama ni wanachama...
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania FIFA kujenga uwanja wa michezo kwa kila nchi mwanachama barani Afrika. Je unapendekeza mkoa/bei gani?

    Katika kukuza michezo barani Afrika,Rais wa FIFA ameanzisha kampeni ya kuhakikisha kwamba kila nchi mwanachama wa wake wa bara la Afrika inajengewa uwanja mpya wa kisasa ambao utakuwa mali ya shirikisho Kwa mujibu wa Rais wa TFF yeye amependekeza uwanja kujengwa mkoani yaani nje ya Dar na...
  19. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Marekani imeshika nafasi ya kwanza kwa nchi yenye roho nzuri Dunani. Kwa Afrika, Kenya, Zambia na Sierra Leone zaongoza kuwa na roho nzuri

    Taasisi ya Charities Aid Foundation ya Uingereza imeitaja Marekani kama nchi yenye roho nzuri (most generous country) Duniani, ikifuatiaa na Myanmar na New Zeeland huku nchi zenye watu wachoyo zaidi ikiwa ni China, Yemen na Ugiriki. Kwa Afrika nchi kama Kenya, Zambia na Sierra Leoni zikishika...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Balozi Augustine Mahiga akana Tanzania kujitoa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga amekanusha taarifa za Serikali kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) Akifafanua zaidi kuhusu dai hilo, Dkt. Mahiga anasema serikali haijajitoa katika Mahakama hiyo isipokuwa imeiandikia barua Mahakama hiyo kuondoa...
Back
Top Bottom