Jema ni lipi jamani

Mar 31, 2020
67
58
Kwa mda tokea janga LA covid 19 liingie nchini serikali imechuku hatua mbali mbali kwa ajili ya kupunguza au kuzuia lisienee sana.zifuatazo ni hatua mbali mbali zilizochukuliwa
-kuelimisha jamiii mini maaana ya covid 19
-kutoa maelekezo mbali mbali ya kuchukua ili kuepuka madhara zaidi
- kuunda kikosi kazi kinachoongozwa na waziri mkuu kwa ajili ya kushughulikia covid 19
-Nazingine ambazo mikoa mbali mbali zimechukua.
Makini kumekuwa na malalamiko ya kwamba serikali haijawaweka ndani yaani karantine watu wote, hilo ni jambo ambalo serikali imelitazama kwa umakini, Dr mmoja wa China alisema kosa kubwa walilolifanya nikuwaweka watu wote karantine kwa kuwa ugonjwa ulikuwa umelitafuna taifa hivyo wachina wengi sana walikufa majumbani mpaka walipo anza kuwapeleka kwenye hospitality maalumu.
Pili kufunga mipaka ghafla isingekuwa ni jambo la busara kwa kuwa wananchi wengi wanategemea kulipwa kwa mda wanaofanya kazi
Hivyo nasihi sisi wananchi tuwe nabusara katika kuwashauri viongozi wetu kwa kuwa wengine wanashabikia ila tukifungiwa miezi minne watakuwa wakwanza kupiga mayowe.
Nimaoni tu ya Bonde LA kukata maneno.havache
 
Back
Top Bottom