YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
Kutokana na janga hiki la Corona serikali ijikite kwenye uuzaji bidhaa nje kwa bidhaa kuanzia vyakula nk
Vikwazo vyote viondoldwe upesi kodi ,ukiritimba nk viondolewe kwa spidi ya haraka ili Ku encourage mtanzania yeyote ana yetaka kuuza chochote auze nje na yeyote wa nje anayetaka kununua chochote anunue kirahisi
Pia serikali ipunguze matumizi kwenye miradi ya maendeleo ambako pesa nyingi zinaenda huko
Huu ni wakati Wa kubana matumizi kwa serikali