Jina langu surya, nchi yangu india

Godfather of Harlem

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
2,494
3,786
Image may contain: 1 person, closeup and text

Ni mwanajeshi kamili,tena tegemezi kwenye idara ya usalama..ni kijana mdogo mwenye kipaji cha ajabu pengine kuliko wote chini ya jeshi la india..amepikwa kwenye kujilinda akaiva..

..Kipaji chenyewe ni ngumi...ndio surya anatoka jeshini akiwa na medali ya mapambano ya ana kwa ana..amepewa adhabu tangu siku ya kwanza anaingia jeshini..ni mkorofi,anapenda ugomvi na ugomvi unampenda yeye..anapiga,anavunja..anaua..

..Wakuu wa jeshi akiwemo babaake wanagundua kuwa surya ana matatizo..ana anger disolder..hasira zilizopitiliza,na hapo ndipo jeshi linapogundua kuwa lina mtu shupavu ila anaumwa..
..Ukipelekwa polisi kwa kosa la kuua,surya akijua atajifanya hata askari wa zamu,akuletee maji ya kunywa tu..akitoka huko na we umebaki maiti..haki ipo mkononi mwake..
..Jeshi linamsafirisha kwa ajili ya program maalum ya kumfanya awe mtu bila hasira..anakubali anapelekwa mji mwingine..huku jamii yake na familia vikiwa vinamjua vilivyo kuwa ye ni nani akiwa na hasira..surya anaumwa hicho tu..
..Katikati ya safari wanakuta barabara imefungwa,kisa nini?..ni mtoto wa tajiri mkubwa katika mji huo kaamua kusimamisha magari ili yeye aondoke na mtu aliekuwa anamtafuta siku nyingi..kwa surya hii ni dharau kubwa kuwahi kutokea mbele ya macho yake..
..anazuia hasira na kuacha hili lipite..maana ndo kaja huku kwa ajili ya test ya hasira..
..Shabbash!..siku ya pili tu kijana yule yule,barabarani tena kasimamisha tena magari kisa ni mtoto wa don..anajiita chilla..
..Alikosea sana,siku hii surya uvumilivu wa tiba ulimshinda akapiga honi kuashiria wapishwe..watu wote walishika mioyo..kumaanisha anaepiga honi hajitaki..sababu aliezuia njia wao wanamjua...ila kwa mwanajeshi huyu,nchi yake ndo kitu bora kuliko mtu..
..Akiwa kawaida sawa..ukimuudhi anaondoka..ukizidisha maudhi akikasirika..anakuwa ndo kapatwa na huo ugonjwa wake..hapatokalika tena..hata kije kituo kizima cha polisi..
..Akatumwa mtu akamwambie aache kupiga honi..alijuta..
..Barabara ilifungwa kweli..ni mtu mmoja dhidi ya watu zaidi ya 10..ilipigwa ngumi ya karne..
..Baba wa yule kijana alipopata taarifa kuwa kijana wake kapigwa akaumuka,akaagiza huyo mtu aliefanya hivo aletwe..
pia alikosea mzee..surya haletwi,anakuja yeye..
#..Moja kati ya india movie ya kibabe sana..#
NAA PERU SURYA ..NAA ILLU INDIA..
 
Bongo movie na Indian movie sijazitazama kwa miaka 8 mpka sasa.
Ni tangu april 2012
 
Malizia kuisimulia hiyo movie mkuu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom