nchi

  1. JF Member

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnaweza kuchukua nchi 2025 ila kama mtafanyia kazi mambo yafuatayo

    CHADEMA kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo. 1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti. 2. Katibu mkuu awe Heche. 3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa). 4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita. 5. Muwape...
  2. Exile

    JamiiForums Tanzania Hii nchi wamepewa vichaa

  3. S

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa kisiasa warudi nchini, hali ni shwari

    Kwa heshima kuu napenda kuwashauri ndugu zetu waliokimbia nchi warejee nchini kwani chini ya uongozi Wa mama Samia nchi ni shwari na salama. Nakuomba mheshimiwa Tundu Lisu na Godbless Lema rudini nchini tuijenge nchi yetu. Chini ya uongozi wa Rais Samia Tanzania nikinara cha Amani barani...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Amri Kuu Kuliko Zote ni Upendo! Mpende Mungu, Ipende Nchi, Wapende Viongozi, Mpende Jirani Yako Kama Nafsi Yako!. Jirani yako ni Nani?, Unampenda?

    Heri ya Krisimasi, Merry Christmas Sikukuu ya Krisimasi kwa mwaka huu imedondokea siku nzuri ya Jumapili! Hii ni Makala ya Jumapili ya Krismasi. Kwa mafundisho ya dini ya Kikristu, tuliyopewa na huyu Masiya aliyezaliwa leo, Bwana wetu Yesu Kristu, aliulizwa amri kuu kuliko zote ni amri gani...
  5. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Nitajie Rais wa Africa aliyefanikiwa kudhibiti nchi kwa kuwa mlaini/mpole mpole (polite)

    Tunajua upole ni sifa ambayo kila mmoja anapaswa kuwa nayo pale inapostahili. Chochote kinachofanyika kinapaswa kuwa na kiasi. Swali langu ni je, ni kiongozi gani wa nchi za kiafrika alieweza kudhibiti nchi kwa kuwa mpole? Tuanze na Nyerere, Mandela. Kenyata nk. Je, walikuwa na haiba zipi ktk...
  6. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tuigawanye Tanzania Pro Magufuli na Anti Magufuli, tuwe na nchi mbili tofauti!

    Tupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana. Nchi ya Magufuli low debt to gdp ratio, umeme wa uhakika, miundo mbinu madhubuti, no wizi vs anti Magufuli high debts, no water, no...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nimebaini kuajiri watu wenye wivu, husda na roho za kichawi TRA ni kuhatarisha ustawi wa nchi kiuchumi

    Unajua kuna watu wana enjoy kuona wenzao wakianguka na kuwa chini, in short wana roho za kichawi. Hongera Simba kwa kuokoa sekta ya banking nchini kwa kurudisha imani kwa depositors, maana kila mtu alishaanza kukimbiza pesa uswiss.Taifa lilikuwa linaenda kuanguka vibaya.
  8. New HIZ O

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kupeleka nafaka nije ya nchi

    Mimi ni kijana mwenye umri wa 30 ninamtaji wa milion 8 .Nilikuwa naomba ushaur, muongozo na jinsi gani ya kufanya biashara ya nafaka kupeleka nije nchi .Asanteni
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zimemtumia Putin barua ya onyo kwa mara ya kwanza

    Putin ktk mwezi wa Dec amerusha mabomu mengi kwa Ukraine mengine yame hit target while mengine Ukraine waliyadungua. Ila jambo Mrusi hakujuwa nchi za Magharibi walikuwa wakifanya ktk hali ya usiri mkubwa ni pale Nchi za Magharibi walikuwa waki monitor all movement za Mrusi kukusanya silaha na...
  10. S

    JamiiForums Tanzania TRA Wamepandisha kodi kwa magari yanayoingizwa nchini

    Washapandisha kodi kitambo. Baadhi ya gari zimeongezeka hadi milioni. Angalieni TRA tax calculator. ===
  11. ClearingAgent

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kinachohusu 'clearing' za mizigo bandarini

    Nafanya clearing za mizigo ya aina yote bandarini. Mawasiliano: WhatsApp & Call 0652802379
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mnapojidai kutembea na wake zao wao wanatoka na watoto wenu na ndugu zenu wa damu hata mama zenu wanaopatikana nchi nzima. Watch out! karma is real.

    Hello, Story kwa ufupi, duniani hakuna mjanja aloshindikana, kila penye nyumba na nyufa ipo. Katika hali iliozoeleka inaonekana kutoka na mke au mume wa mtu ni ushujaa sana mithili ya kubeba kombe la Dunia. Kwa taarifa yenu hao mnaowaibia wake au waume zao ndio wanaotoka na watoto zenu, dada...
  13. L

    JamiiForums Tanzania China ya leo ni nchi yenye uhusiano wa karibu na dunia

    Katika mkesha wa sikukuu ya mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China alitoa salamu za mwaka mpya wa 2023, akibainisha kuwa, China ya leo ni nchi yenye uhusiano wa karibu na dunia, na inachangia busara na mipango ya China kwa ajili ya amani na maendeleo ya binadamu wote. Mafanikio ya China kutokana...
  14. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Je, nchi zinaanza kukimbilia dhahabu kama pesa? Tanzania tuna akiba kiasi gani cha dhahabu?

    Habarini. Habari za nchi kukimbilia matumizi ya dhahabu zimekuwa nyingi sana siku za karibuni. Ghana baada ya kuzidiwa na madeni na kuishiwa akiba ya fedha za kigeni, imeamua kutumia dhahabu kununua mafuta. Kuanzia mwezi huu makampuni ya kuchimba dhahabu yatatakiwa kuiuzia benki kuu ya Ghana...
  15. Zulu Man Tz

    JamiiForums Tanzania Overview of Cryptos Asset Regulation in Sub-Saharan African Countries

    Ukuaji Wa Soko la Cryptocurrency Africa unahitaji Utaratibu Mzuri. Heri ya Mwaka Mpya 2023 wana JF 🙏💜 Utafiti uliofanywa na Chainalysis unonyesha kuwa, Bara la Africa ni ya 1 kwa ukuaji Wa haraka kwny soko la Cryptos Ulimwenguni lakn imekuwa ikifanya mihamala michache kwa makadilio jumla ya...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tunampongeza Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan; Januari mpaka Disemba nchi iko salama

    Kongole mama Samia, bahari umeipita, mawimbi umeyamudu, January mpaka Disemba, katikati ya bahari ukiongoza taifa, ukipita mbele ya magwiji ya Dunia, ukilinda mipaka na heshima ya nchi. Nani asiyejua urefu wa mwaka? Tuko salama vijijini kwetu, usalama na ulinzi kede kede, kwani ni juhudi za...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Singida kufungwa 4 na Yanga yalikuwa maelekezo ya Waziri wa Nchi?

    Pamoja na uimara wa Singida Big Star tukishuhudia ikifungwa 4 na Yaanga. Pamoja na ushindi wa Yanga wa kuungaunga wa 1 mpaka 2 lakini wakaweza kuifunga Singida BS 4. Kwa jinsi waziri huyu anavyotumia cheo chake kumtaka Fei Toto asiondoke Yanga. Na jinsi waziri huyu alivyotoa maelekezo Fei Toto...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Hela ya Urusi yadondoka kiasi ambacho hakijawahi kushuhudiwa, Putin aliingiza nchi kwenye hiki

    Vikwazo vimeanza kukaza balaa, Warusi watazidi kupokea haya mapigo kisa kumuachia mtu mmoja aiharibu mother Russia..... The value of the ruble tumbled sharply against the U.S. dollar Wednesday on signs that the latest wave of sanctions by Western countries are beginning to impact Russia’s...
  19. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Orodha ya nchi barani Afrika zenye Huduma ya Elimu bora kwa mwaka 2022. Tanzania ni ya ngapi?

    1. Seychelles 🇸🇨 (51st) 2. Algeria 🇩🇿 (73rd) 3. Mauritius 🇲🇺 (78th) 4. Egypt 🇪🇬 (84th) 5. Kenya 🇰🇪 (90th) 6. Tunisia 🇹🇳 (104th) 7. Eswatini 🇸🇿 (105th) 8. Ghana 🇬🇭 (106th) 9. Morocco 🇲🇦 (113th) 10. South Africa 🇿🇦 (114th) 11. Cape Verde 🇨🇻 (118th) 12. Sao Tome and Principe 🇸🇹 (119th)...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ditopile: Nchi yetu inaaminiwa ndiyo maana inakopesheka

    MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amewataka wanasiasa nchini kuacha kubeza na kupotosha jitihada zinazofanywa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan za kukopa huku wakijua fika kwamba ili Nchi ikopesheke ni lazima iwe imekidhi vigezo vya kiuchumi vya kupatiwa mikopo hiyo. Ditopile...
Back
Top Bottom