nchi

  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima sare za shule za msingi kufanana nchi nzima?

    Tangu mwaka 1964 mpaka leo sare ni nyeupe na bluu! Ni nini hiki kisichobadilika? Kwanini kila shule isiwe na sare zake kulingana na jiografia ya eneo husika?
  2. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Iran ni nchi ya maajabu sana

    Wakuu vipi, kwema. Wakuu Iran ni mmoja kati ya nchi ambazo ziliwekewa vikwazo vikali na nchi za magharibi toka mnamo mwa miaka ya 70s huko hadi leo hii na siku zijazo. Vikwazo hivyo ni vya kiuchumi, kijeshi nk, tena vimekuwa vikiongezwa siku hadi siku. Tofauti na ilivyo kwa nchi nyingine kama...
  3. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mzaliwa wa kwanza ndio wanafaa kuongoza nchi. Je, Tanzania tunazingatia hilo?

    Salama wandugu. Watanzania tufahamu kwamba mzaliwa wa kwanza imeandikwa kwenye Biblia, Na kutokana na hilo wenzetu walioendelea nchi za mabeberu wanalizingatia sana hilo ,ukiwa wewe sio mzaliwa wa kwanza hufai hata kuongoza kijiji mpaka Uraisi wa nchi. N:B Mzaliwa wa kwanza wa Kiume
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nchi hii kuna siku utasikia hawa nao wanataka Urais

    Nchi hii ishakuwa ya mchezo mchezo sana. Yaani kila mtu sasa anaona anaweza kuwa Rais. Pamoja na kuwa Katiba inaruhusu lakini tuwe serious wajameni. Watanzia tusidharaulike sana. Najua UraHIs kwa Watanzia ni kitu chepesi sana. Lakini tusifike huku. 1. Hamis Kigwangalla 2. January Makamba 3...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Urusi wanavaa mavazi ya wanawake na kukimbia nchi

    Wengi wanaona bora aibu kuliko kwenda kufa. ======== When Moscow announced its military mobilization drive on September 21, Liliya Vezhevatova almost stopped sleeping. She was asked by several friends and acquaintances to help men to leave Russia. Vezhevatova herself lives in the Armenian...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania ni sumu kwa maendeleo ya nchi

    Great Thinkers Kama wewe ni great thinker wa ukweli utakuwa umeshalingundua hilo. Ngoja nitaje mambo machache 1. Rais akiingia madaraani miaka mitano ya kwanza ni kuunda serikali tumbua yule, weka huyu, komesha wafitini wake, badilisha wakuu wa mikoa /wilaya nk. 2. Kipindi cha pili miaka...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nguvu iliyotumia CCM kujiimarisha ingetumika nusu yake tu kuimarisha uchumi wa nchi tungekuwa mbali sana kiuchumi kama taifa

    Ccm inajisufu na kujitutumua kuwa ni chama kikubwa sana Afrika, kwa kuangalia historia wafuasi na mtindo wake wa kubadili viongozi wao kwa njia ya amani na utulivu. Hata hivyo makusudi makubwa ya chama chochote duniani ni kwa ajili ya kushinda uchaguzi ili kuunda serikali na kushika dola. Lengo...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sijasafiri Nje ya Nchi kwa muda sasa, naombeni Utaratibu wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki Nisafiri

    Na je, ukiwa bado unayo ile Pasi ya zamani ukienda kuhitaji hii mpya ya Kielektroniki mchakato ni mkubwa au details zilizoko katika Pasi ya zamani ndiyo hizo hizo zitatumika kwa hii ya Kielektroniki na kuipata Kiuharaka? Na je, muda wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki ni upi? Je, huko kwa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Usalama wa Taifa wa Israel hujulikana tokea wakiwa wadogo, ila nchi zingine wale 'failures' ndiyo 'huajiriwa' huko?

    Kuna nchi Moja (nimeisahau kwa sasa) nimeambiwa recruiting yao kuingia huko ni mpaka uwe na 'Characters' zifuatazo: 1. Failure Academically 2. Ukiwa Msomi basi ujue Kujipendekeza 3. Uwe na God Fathers wengi huko 4. Uwe Mnafiki na Mfitini 5. Uwe Member wa Chama Dola 6. Ujue Kujiroga na Kuroga...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ukabila utaibomoa nchi! Nani karuhusu haya kufanyika katika ardhi ya Tanzania?

    Nani karuhusu huu ujinga kufanyika katika ardhi ya Tanzania? Mamalaka na vyombo vya dola fanyeni kazi yenu kuutokomeza huu ujjnga. Endapo ujinga huu utaachwa usambae hakuna aliye salama.
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania M23 yamuonya Rais wa DRC na nchi 'viherehere' zinazomsaidia

    "Kwakuwa Rais wa Congo DR amekataa Kuzungumza nasi sasa tunamuomba asitulaumu kwani sasa tutampiga na kuanza Kukamata miji yote Muhimu na asidanganywe na Wanajeshi wa nchi Mbili Viherehere wanaomsaidia kwani watarejea Makwao wakiwa Maiti" Msemaji wa Waasi wa Kundi la M23. Chanzo: Amka na BBC ya...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Museveni ana ajenda gani ya siri dhidi ya nchi za EAC?

    Mkuu wa zamani wa Jeshi la Ardhini la Uganda Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, leo October 19,2022 amerejea tena kauli yake ya kuwahamiza Vijana wa Afrika Mashariki kuunga mkono hoja yake ya kutaka Nchi za Afrika Mashariki ziungane na kuwa Taifa moja...
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nimependa Vladmir Putin alivyooiita nchi yake "Fatherland". Nashauri na Tanzania tuachane na kauli za "Mama Tanzania"

    Kulifananisha taifa na mama ni mbinu za kisaikolijia kulivunja morali. Sijui chanzo cha sisi Watanzania kujiita MAMA TANZANIA au MOTHER LAND BADALA YA FATHER LAND Tumuige Putin kuiita nchi yetu BABA TANZANIA. AU TUTUMIE NENO FATHERLAND BADALA YA MOTHERLAND. SABABU ZANGU 1: Mama ni...
  14. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vya habari vya Magharibi havitangazi maandamano yanayoendelea nchi nyingi za Ulaya?

    Maandamano yanaendelea nchi kama Italy, France na Germany kupinga hali ngumu ya maisha pamoja na NATO, nastaajabu kuona habari hizi hazipewi headline, kwanini ?
  15. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia pumzi mpya kwa maendeleo ya nchi

    RAIS SAMIA NI PUMZI MPYA YA MAENDELEO Shaka asema Kasi yake katika kutekeleza miradi ya maendeleo inatoa matumaini makubwa Amesisitiza kazi nzuri inayofanywa na serikali ya awamu ya sita huku akionya vitendo vya rushwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania lazima Tufahamu Rais wa nchi siyo Sawa na Rais Wa Bendi ya Mziki kiulinzi na Kiusalama

    Ndugu zangu Kuna watu wanaleta ujuaji Sana hapa nchini, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni siasa, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni sawa na wanavyowaza, kuna watu wanamchukulia Rais Kama raia wa kawaida, kuna watu kwa upeo wao mdogo wanamlinganisha Rais na sisi, Kuna watu wanazani uzito wa Rais...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Nashauri kuwepo pia kwa Mkapa Day, ameifanyia hii nchi makubwa sana, isiwe mapumziko

    Tuna Nyerere Day kuenzi mambo makubwa aliyotufanyia Nyerere (legacy) kama vile Uhuru wa nchi yetu pamoja na umoja na mshikamano Lakini Nyerere pia alikuwa na mapungufu makubwa yaliyopelekea nchi kuwa na hali mbaya sana kiuchumi Mtu aliyechukua maamuzi yaliyofufua uchumi wetu ni Mkapa, mkapa...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri anaunda tume kuchunguza 'kufeli' kwa wanasheria, mbona CPA na PSPTB wanafeli pia?

    Tunaweza kujadili miaka yote juu ya professional bodies mbali mbali lakini kuna mambo mengi yaliyojificha ndani yake. Sehemu kubwa hii ni biashara kwa wachache. Mitihani ya CPA watahiniwa wamekuwa wakifeli kila mwaka kwa wingi. Hata matokeo yake mengi huwa ni ya kupanga tu! Rushwa kibao! Leo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yagoma kupiga kura ya kuunga mkono Mipaka ya nchi ya Ukraine(Territorial Integrity) huko UN

    Nchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo ni Tanzania. Inashangaza sana nchi yetu ambayo imewahi kupigana vita kulinda Territorial Integrity...
  20. Narumu newz

    JamiiForums Tanzania Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wakataa kuyatambua majimbo ya Ukraine yaliyochukuliwa na Urusi

    Ni waz putin wameshamchoka ameshindwa kila sehemu ,china naona kamkacha kiaina. Nchi wanachama wa U.N wamepiga kura ya kutoyatambua majimbo yaliyochukuliwa kiharamu na dicteta putin. Ni nchi 5 tu ndizo zimeungana na putin. Africa hakuna aliyemuunga. CNN ===== Strong majority of countries...
Back
Top Bottom