TRA Wamepandisha kodi kwa magari yanayoingizwa nchini

silent lion

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
1,161
1,540
Washapandisha kodi kitambo. Baadhi ya gari zimeongezeka hadi milioni.

Angalieni TRA tax calculator.
===
January hii Huku kwenye kikotoo cha TRA Kodi za magari zimepanda maradufu, kabla ya kuagiza jiridhishe na Kodi usije ukatembea unaongea mwenyewe barabarani.

Ila ngoja niulize swali , hivi kwa uchumi wetu wa sasa kuna haja kweli ya kupandisha Kodi za kuingiza magari nchini?

Kusafirisha gari majini bei zipo juu sana almost USD 2000-2500 kwa gari la kawaida?

Kwa ninachokiona TRA watakosa hata hyo kodi waliyokuwa wanaikusanya kwa ajili ya Tamaa, maana kuagiza gari ni gharama sana Watanzania wengi hawataweza kuafford kuagiza magari kutoka japan au kwingineko, na mnyororo wa uchumi utatikisika, mawakala watakosa kazi , spea zitadoda mafuta yenyewe yatauzika kidogo sana , makampuni ya Bima yatafilisika kwani mara nyingi mtu anapoagiza gari ndo anakata Bima kubwa.

Serikali iangalie hili swala la kupandisha kodi hasa kwenye vifaa vya moto bila kuwashirikisha wadau sio vizuri.
 
rafiki yangu alipata shida akanitumia message nikamwambia usijali nitakutumia hela kidogo ikusaidie
Akajibu axante xana rfk yngu naxkuru
mmh,nikasema isije nikawa nawasiliana ta tapeli ameiba simu nikatuma pesa ikapotea bure ngoja nimpigie,kumpigia ni mwenyewe kumbe,nilishangaa sana
 
January hii Huku kwenye kikotoo cha TRA Kodi za magari zimepanda maradufu, kabla ya kuagiza jiridhishe na Kodi usije ukatembea unaongea mwenyewe barabarani.

Ila ngoja niulize swali , hivi kwa uchumi wetu wa sasa kuna haja kweli ya kupandisha Kodi za kuingiza magari nchini?

Kusafirisha gari majini bei zipo juu sana almost USD 2000-2500 kwa gari la kawaida?

Kwa ninachokiona TRA watakosa hata hyo kodi waliyokuwa wanaikusanya kwa ajili ya Tamaa, maana kuagiza gari ni gharama sana Watanzania wengi hawataweza kuafford kuagiza magari kutoka japan au kwingineko, na mnyororo wa uchumi utatikisika, mawakala watakosa kazi , spea zitadoda mafuta yenyewe yatauzika kidogo sana , makampuni ya Bima yatafilisika kwani mara nyingi mtu anapoagiza gari ndo anakata Bima kubwa.

Serikali iangalie hili swala la kupandisha kodi hasa kwenye vifaa vya moto bila kuwashirikisha wadau sio vizuri.
 
January hii Huku kwenye kikotoo cha TRA Kodi za magari zimepanda maradufu, kabla ya kuagiza jiridhishe na Kodi usije ukatembea unaongea mwenyewe barabarani
Ila ngoja niulize swali , hivi kwa uchumi wetu wa sasa kuna haja kweli ya kupandisha Kodi za kuingiza magari nchini ?
Kusafirisha gari majini bei zipo juu sana almost USD 2000-2500 kwa gari la kawaida.
Kwa ninachokiona TRA watakosa hata hyo kodi waliyokuwa wanaikusanya kwa ajili ya Tamaa, maana kuagiza gari ni gharama sana Watanzania wengi hawataweza kuafford.
Hivi hii nchi kwanini inapenda wananchi wake wateseke??
 
Ttzo mnaagiza magari mazee na sasa iv mpango wa serikal ni kupunguza gari nzee
Ebu ingia ktk kikokotoo cha TRA angalia gari za mwaka 2017 na kuendelea utaona km izo galama yake imeongezeka

Galama imepanda kwa gari nzee ambazo ndo wabongo weng hununua gar za 2000’s to2012
 
Ttzo mnaagiza magari mazee na sasa iv mpango wa serikal ni kupunguza gari nzee
Ebu ingia ktk kikokotoo cha TRA angalia gari za mwaka 2017 na kuendelea utaona km izo galama yake imeongezeka

Galama imepanda kwa gari nzee bado wabongo mnaagiza gari za 2006 ad2010
Ungekuwa umewahi kuagiza gari usingeandika huu ujinga

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Washapandisha kodi kitambo. Baadhi ya gari zimeongezeka hadi milioni.

Angalieni TRA tax calculator.
Hapa ndo mnapokosea. Hawapandishi bei. Ila kila new year inapanda automatically kutokana na age kuongezeka kwenye excise duty due to age. Kama ulichungulia december 2022 gari ya 2010 ilikuwa na miaka 12, ikifika jan 2023 itakuwa na 13 years so excise duty to age itapanda pia and that means cif yote inapanda. Ila ni automatic process sio kuwa wanapandisha makusudi
 
Back
Top Bottom