nchi

  1. FATHER OF REALITY

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa wapenda Nchi

    Bila Shaka sasa Nchi inaenda vizuri katika mwendo ambao tunauhitaji na tumeridhika nao, ishara ya hili inajionesha pale wakosoaji na wapenda nchi, yaani wazalendo nguli waliojitokeza kipindi cha hayati JPM kunyamaa Kwa kimya kikubwa. Nadhani sasa mambo yapo safiiii, kijamii, kiuchumi...
  2. Pro Biznesi

    JamiiForums Tanzania Je, ukipokea pesa kutoka nje ya nchi kunamakato ya kodi? Ni lazima ukatwe kama mtu wa mshahara?

    Nahitaji kujua ni makato gani mtu anakatwa akiwa anapokea pesa illiyotumwa kutoka nje ya nchi? Na kama yapo, anaweza kufanya nini ili pesa isikatwe sana au isikatwe kabisa akiipokea..??
  3. mcshonde

    JamiiForums Tanzania House Girl / House maids wanavyouzwa mtandaoni nchi za mashariki ya kati

    Kuna App inaitwa 4SALE. Humo unauza/nunua kitu chochote ikiwemo mtu. Kwa miaka kadhaa imetumika sana kuwauza kina dada mtandaoni. Kinachotokea ni kwamba; mabinti/dada walioenda nchi za mashariki ya kati kufanya kazi za ndani wanauzwa mtandaoni kama watumwa. Ukimtaka mfanyakazi unaingia kwenye...
  4. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Magufuli ndio alikuwa wa kuibadilisha nchi, kama ilishindikana basi hatokaa atokee mwingine

    Kwanza nataka niwaambie watoto mliovamia siasa kaeni mjifunze kuhusu nchi yetu ya Tanzania muielewe vizuri. Shida kubwa ya vijana walio na mzuka na siasa hawajui kabisa kuhusu nchi wala game ya siasa inavyokwenda duniani kote. Kubwa zaidi hawaijui dunia. Niende moja kwa moja kwenye hoja sasa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Vikao vya CCM Dodoma Vyaiteka Nchi. Habari zake Zatawala kila Kona Na Kuteka vyombo vyote Vya Habari, Maazimio Yake kutetemesha Nchi

    Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na...
  6. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Na tuifanye nchi yetu kuwa ya kijani tupande miti kwenye makazi yetu

    Kuna baadhi ya jamii au Kaya huamini kuwa miti Ni Kama adui wa usalama wao lakini kumbe miti Ina faida nyingi kuliko hasara. Jamani tumeona mabadiliko ya Hali ya hewa na tabia ya nchi. Jamani tubadilike tupande miti angalau mti mmoja utakuwa umechangia kutunza Mazingira yetu.
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ni chama gani cha Upinzani kitakachoweza kuendesha vema nchi hii?

    Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!. Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje na kwa mantiki hiyo, DOLA, hautokaa kuliruhusu hili. (Upinzani wa Kusubiri vijitukio vidogodogo ndo usikike, Sahizi wanamjadili KIJANA...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Samia ‘kuwafunda’ mabalozi wa Tanzania nje ya nchi kuanzia tarehe 14-21 Nov 2022

    Mkutano huo uliopangwa kufanyika Zanzibar kuanzia Novemba 14 – 21, 2022 ni wa kwanza tangu Rais Samia alipoingia madarakani na unabeba kaulimbiu isemayo: “Mwelekeo Mpya Katika Kuimarisha Diplomasia ya Uchumi”. Hayo yamebainishwa leo Novemba 12, 2022 na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Watanzania hawana uwezo wa ku-reason na kwa style hii tegemeeni nchi kuongozwa kama Familia ya mtu mmoja

    Ebu angalieni suala la ajali ya Ndege watu wengi mmepewa uongo na mmeamini Ni aibu kubwa sana Taifa kuwa na Idadi ya wajinga. Mimi hii Ajali najua kila kitu na mlivyoambiwa Ni vitu viwili tofauti hata havi-relate Ndiyo maana Tbc walitumwa na Serikali kumfanyia mahojiano Majaliwa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Tanzania ni nchi yenye deni dogo ukilinganisha na nchi zote zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hongera Rais Samia

    Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya...
  11. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Manispaa ipi ya Dar imeendelea zaidi?

    Ishu vipi wakuu, Wakubwa leo kuna swali linalosumbua baadhi ya watu wanaoishi katika jiji letu kubwa la Dar es salaam. Swali lenyewe linahusu wilaya zetu tano za mkoa huu wa Dar es salaam. Yani wilaya 1) Kinondoni 2) Ilala 3) Ubungo 4) Temeke 5) Kigamboni Swali lililopo ni watu kutaka kujua...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi ni ya nani haswa? Serikali ipo kwa maslahi ya nani haswa?

    Tarehe 09 Desemba 1961 ni siku ambayo bendera ya Tanzania (Tanganyika) ilipandishwa kuashiria nchi huru yenye kujitawala na kujiamulia mambo yake bila kuingiliwa na taifa lolote la nje. Leo tunakaribia miaka 61 ya uhuru lakini bado wananachi wa Tanzania wanaishi kwa kudra za watawala. Bado...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni kweli Mikopo na Misaada ya China kwa nchi za Afrika imejaa mitego ya Kisheria?

    Je, ni kweli Mikopo na Misaada ya China kwa nchi za Afrika imejaa 'Mitego ya kisheria'? China inaonesha kwenda kuwa taifa kubwa kiuchumi na kuziondoa nchi za magharibi katika nguvu walizonazo. Je, waafrika wategemee kitu gani? Ungana nasi katika Mjadala na Wataalamu na Wadau wa Uchumi, kupitia...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa haya ambayo mliwasingizia Nape na Makamba mtubu sasa Mungu amewaweka wazi

    Huwa siwezi amini kuna kipindi Nape alikuwa anaonekana shujaa, smart. Huwa naogopa kukumbuka hilo. Kuna kipindi naye Makamba akasingiziwa kuwa ni smart. Nlikuwa nawaambia. Ukikuta nyoka anaungua na moyo usaidie moto kukolea. Unaweza msaidia nyoka...kwa tabia za kinafiki za nyoka kuna siku...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa alipotufikisha Rais Samia anastahili kupongezwa, kuungwa mkono na kutiwa moyo, alipokea nchi katika kipindi kigumu sana

    Ndugu zangu mnyonge mnyongeni lakini Haki Yake mpeni, Rais Samia Anastahili kupewa Haki yake, Haki ya kupongezwa, kuungwa Mkono, kupewa Faraja, kutiwa Moyo na kupewa ushirikiano. Rais Samia Alipokea Nchi katika Kipindi Kigumu Sana kiuchumi, Alipokea Nchi kipindi Cha mlipuko wa ugonjwa wa CoVID...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hawa ni Viongozi/ Wabunge/ Mawaziri ambao unawapenda na unaombea Mungu awapende zaidi. Kwa manufaa ya Nchi

    Nape. Sina chuki naye. Lakini namwombea Mungu ampende zaidi. Majibu ambayo Nape anatoa dhid ya wananchi.... Unamsikilizaaaaaa unasema Hiiii. Mwigulu naye ukimsikiliza na ukiona anachofanya kwa wananchi maskini. Unatabasamu unajikuta humchukiii. Unamwombea Mungu ampende zaidi. Makamba...
  17. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Crazy! Hivi kuna nchi inaongozwa vizuri sasa hivi Dunia hii?

    Naona kama kuna mtandao mkubwa Dunia nzima ambao umejipanga kuharibu na kubomoa mfumo wa Dunia kama tuujuavyo, Sasa hivi sidhani kama kuna nchi inaongozwa vizuri au ina Kiongozi yoyote wa maana anayejali haswa maslahi ya watu, Dunia nzima is f--ked up now, hakuna pa kukimbilia.
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania EWURA: Tanzania ni kati ya nchi zenye bei ndogo ya Mafuta

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Mhandisi Modeatus Lumato amesema Tanzania ni kati ya nchi zinazouza mafuta kwa bei ya chini kutokana na ruzuku ya Serikali. Amesema mbali na ruzuku hiyo, hatua ya kuwa wananunua mafuta kwa pamoja imesababisha kushuka...
  19. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi yangu, tuna safari ndefu

    Tanzania Nchi yenye watu Milioni 61 hisia na mawazo yanaendeshwa na kikundi cha wanaojiita wanaharakati mitandaoni ambao familia zao zina uhakika wa kula na kusaza. Baada ya ajali ya ndege siku tatu kulikuwa na povu povu kuhusu uwajibikaji, Leo matokeo ya Yanga yameshabadili upepo na stori...
  20. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje nchi nyingi kubwa za Kiarabu mpaka leo hii zimeshindwa kuiteketeza nchi ndogo kama Israel?

    Hii nchi kwangu inanishangaza sana, Ni ka nchi kadogo lakini manchi mengi makubwa yaliyodhamiria kuifuta kwenye rmani ya dunia hayajaweza mpaka leo. Ni mwendo wa kupigana, Ni sawa na Sungura na Tembo wanapigana kitu ambacho ni kama mazingaombwe. Pia nimesoma historia kadhaa kuona kwamba nchi...
Back
Top Bottom