Mnapojidai kutembea na wake zao wao wanatoka na watoto wenu na ndugu zenu wa damu hata mama zenu wanaopatikana nchi nzima. Watch out! karma is real.

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,060
Hello,

Story kwa ufupi, duniani hakuna mjanja aloshindikana, kila penye nyumba na nyufa ipo. Katika hali iliozoeleka inaonekana kutoka na mke au mume wa mtu ni ushujaa sana mithili ya kubeba kombe la Dunia.

Kwa taarifa yenu hao mnaowaibia wake au waume zao ndio wanaotoka na watoto zenu, dada zenu, kaka zenu, na hata mama zenu.
Sex battle haikosi win-win, loose-loose, loose-win, win-loose scenarios.

Unaposema siuzi mechi natumia condom wao wanakula mbususu ya nduguyo, au mwanao kimneso mechi inauzwa yote malipo ni hapa hapa duniani dadadeki.

Kula mke wake wa DSM au Dodoma yeye anakula nduguyo au mwanao aliepo DSM au Dodoma.

Handle ur sex emotions carefully, Good health is key for your future.
 
Pole sana kwa kupigwa na kitu kizito mkuu vumilia tu.

Usipogonga utagongewa
 
Wakikumegea dem wako nawe tafuta mnyonge ummegee, haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume!...#MwanaFAsayed
 
Kuna watu wanajikutaga miungu watu, acheat yeye afanye uchafu wote akifanyiwa yeye hadi kondoo wa kijijini kwao atawasimulia....karma is there to bite their a.s.s 😏😏
Yes you're right, and the good thing with KARMA Ni huwezi kufa kabla haijakufikia😂
 
Back
Top Bottom