nchi

  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

    Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter. Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza. Kwa nini Lissu...
  2. Double line

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa yale niliyosema kuhusu kijana wa hovyo Majaliwa aliyeidanganya nchi na wasomi wake

    INASIKITISHA SANA TENA SANA 😭 WALIOOKOLEWA WAKANA KUSAIDIWA NA MAJALIWA, WADAI WALITUMIA JUHUDI ZAO KUJIOKOA. Furaha ya Majaliwa Shujaa aliyeokoa watu kwe ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Bukoba mkoani Kagera huenda ikageuka huzuni baada ya abiria waliookolewa kwenye ajali hiyo kudai...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, Kwanini nchi za magharibi zinakomalia suala la kueneza ushoga ulimwenguni

    Je, nini kipo nyuma ya pazia, lengo na dhamira yao ni nini? Deep intelligence yao ni ipi? Juu ya suala hili ovu kabisa kuliko chochote kile hapa ulimwenguni. Wajuzi na waona mbali karibuni tuchambue ni kipi kipo nyuma ya pazia kwa wamagharibi hawa, and there deep secret may be hided over this...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, Kwanini nchi za magharibi zimekomalia suala la kueneza ushoga ulimwenguni

    Je nini kipo nyuma ya pazia, lengo na dhamira yao ni nini? Deep intelligence yao ni ipi? Juu ya suala hili ovu kabisa kuliko chochote kile hapa ulimwenguni. Wajuzi na waona mbali karibuni tuchambue ni kipi kipo nyuma ya pazia kwa wamagharibi hawa, and there deep secret may be hided over this...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nashauri wasomi waache kuongoza, nchi wapewe watu kama Musukuma au Lusinde tusonge mbele

    Hawa wa kukariri vitabu wanatuchelewesha tu, kikubwa wanachokifanya ni kutuonyesha umaridadi wao wa kukariri vitabu tu basi. Leo anakuja na maneno yake aliyoyatoa kwa Marx, kesho anakuja nayo ya Mao, kesho kutwa ya Nyerere, mtondogoo ya Trump, maisha yanaenda hivyo tu bila utendaji, hakuna cha...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CCM 2013: Umeme kuuzwa nchi za nje mwakani

    Hawa watu uongo upo kwenye damu na mifupa. Wakitema wanatema uongo wakimeza wanameza uongo.
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mama, I'm here to support you, to serve our country. I'm here sio tu kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu, bali pia kuutumia. But...

    Wanabodi, Kabla sijaanza bandiko hili, naomba kutoa angalizo hili Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza! Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama. Kwa sisi...
  8. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi ya Kikristo Duniani inayoongozwa kwa sheria za Kikrito?

    Naomba kujuzwa nchi inayoongozwa/inayoendeshwa kwa sheria za Kikristo na kuzingatiwa ipasavyo, ikiwezakana naweza omba 'assylum' huko. Ila zisiwe sheria za kanisa Katoliki.
  9. Heavy User

    JamiiForums Tanzania Nasema kwa hasira, kila chama cha siasa kina maslahi yake binafsi. Nchi imejawa na uchama na usiasa

    Roho inaniuma sana ninapoona TZ ina wasomi wengi wenye maneno mengi wanaojua kila kitu lakini nchi yetu bado masikini inategemea kuombaomba. Rais kazungukwa na wasomi na washauri wazuri lakini shida zilizotakiwa kutatuliwa miaka mingi iliyopita bado zipo na hazionekani kuisha leo wala kesho...
  10. Logikos

    JamiiForums Tanzania Na hivi ndivyo Unavyotangaza Nchi Yako.....

    Kama vile wa-Korea kipindi kilichopita Mashabiki wa Japan walibaki Uwanjani kusafisha Uwanja. Hizi ndio Sifa zinazotakiwa, Sio Uchumi wa Kati wala Sijui tuna Nuclear Ngapi.
  11. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mgawo/kukatika toka hivyo kwa umeme ni aibu sana kwa Serikali ya Tanzania chini ya Chama Cha Mapinduzi!

    Kama kuna eneo ambalo serikali ya JMT inayoongozwa na TANU/ASP kisha CCM tangu uhuru 1961 imefeli spectacularly kisera na kimipango ni la upatikanaji wa huduma bora na ya kuaminika ya nishati ya umeme. Ni aibu sana kuwa na umeme usioeleweka na unaokatikakatika hata mara 50 kwa siku. Sababu...
  12. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Nchi iko kwenye auto-pilot

    Ni wazi kuwa nchi sasahivi inajiongoza tu automatic, kila mtumishi wa serikali analamba asali kama walivyolekezwa na kiongozi wa Chama Chao tawala, wakurugenzi wanapiga, wakuu wa wilaya na mikoa wanapiga, wakandarasi na mafundi kwenye miradi wanajipigia tu, tunachosubiri ni kuona tunapoenda...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Qatar ni taifa la kuigwa kwa kusimamia maadili na misingi ya nchi yao. Kwanini tusiwaige?

    Pamoja na mgao wa umeme, nafuatilia kombe la dunia, na moja kati ya vitu nilivyofurahishwa navyo, ni namna hawa wenyeji Quatar walivyosimama kidete kutetea utamaduni na mila za nchi yake. Hili ni jambo zuri na huenda katika vitu vilivyosababisha nchi hiyo kuwa juu sana kimaendeleo ni misingi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China katika usafirishaji na ushauri wake kwa nchi za Afrika

    Na Gianna Amani Kampuni ya utengenezaji wa magari ya King Long iliyopo katika Mkoa wa Fujian imeeleza namna ilivyopenya katika soko la dunia na kuziambia nchi za Afrika juu ya magari wanayopaswa kuchagua hivi sasa. Kampuni hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 1988, mbali na kutengeneza magari tofauti...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Utaratibu wa mwenyekiti wa chama cha siasa kuwa Rais wa nchi ufutwe

    Kwa utaratibu wa siasa za Kiafrika ninashauri haraka iwezekavyo katiba ya nchi ibadilishwe na kiongozi yeyote wa chama asiwe au asichaguliwe kuwa Rais wa nchi. Utaratibu uliopo ni ndoto nchi kupata maendeleo na ni ngumu kuondoa rushwa kwenye jamii. Kiongozi wa chama awe kiongozi wa chama ila...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme: Wa kulaumiwa ni CCM au mabadiliko ya tabia ya nchi?

    Watanzania tunaotumia mtandao huu wa Jamiiforums, tutoe maoni yetu ni nani anapaswa kulaumiwa kati ya CCM iliyokaa madarakani kwa miaka 62 sasa au ni mabadiliko ya tabia ya nchi. Karibuni kwa maoni mlioa tayari kushiriki.
  17. Tunzo

    JamiiForums Tanzania Tunawahitaji akina Bashiru wengi katika nchi hii ili tuweze kuendelea

    Si kila kitu cha kusifia, kwani kuupiga mwingi ndio matokeo mazuri, au ndio kupata ushindi? Hata kwenye Football, unaweza uupigwe mwingi alafu ufungwe tu, yani unaupigwa mwingi alafu hupati matokeo! Wanaopiga kauli yake ni wasaka tonge tu, Kama ni mbunge wakonanakosoa bila maelezo sahihi ya Dr...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga upigaji madili kupitia mgao wa wa Umeme. Waziri Makamba alituambia tuna ziada ya MW 1400. Huu mgao wa nini?

    Hapa tunaibiwa kiwaziwazi kabisa. Yaani mkuu wa wizara anayehusika na umeme anatamka wazi kuwa tuna ziada ya Mw 1400. Halafu ghafla naibu wake anadai kuna upungufu! Halafu mgao unatamalamaki nchi nzima. Tuandamane kupinga huu wizi. Tuandamane watanzania.
  19. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Zijue kampuni kubwa duniani zinazotengeneza ndege na nchi zinazozimiliki

    Wadau mjue haya: 1. BOEING-MAREKANI 2. AIRBUS-(ULAYA-Ufaransa, Ujerumani, Hispania) 3. BOMBARDIER-CANADA 4. COMAC-CHINA 5. MITSUBISHI-JAPAN 6. UAC-RUSSIA 7. EMBRAER-BRAZIL Nawakilisha
  20. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ile nchi ya kusadikika itakuwa imeuza vya kutosha majenereta kutokana na zoezi linavyoendeshwa, wameamua kutoa kadogo kama asante

    Nchi ya kusadikika imesikika ikitoa msaada kwa nchi fulani hivi ya kwenye uso wa Dunia ukizingatia hakuna cha bure lakini yote kwa yote watakuwa wanenufaika na yanayoendelea katika nchi ya kisiwa cha wami ambayo iko pande hivi za Dunia Wagawiaji wamenufaika na mikakati yao ya kuiweka Ile nchi...
Back
Top Bottom