nchi

  1. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Kwa muonekano M23 ni jeshi la nchi fulani

    Rwanda ya kagame inacheza game moja chafu sana eneo la maziwa makuu. Kwanza walipovamia congo walipandikiza majasusi kibao congo. Jeshi la DRC Fardc si chochote ni mkusanyiko wa wahuni tu. Nimeambiwa na marafiki majenerali wanajichubua ngozi na wanajaa kwenye mabaa kustarehe tu. Hawana weledi...
  2. Dj Aiman

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli juu ya kauli kuwa nchi nyingi za Kiafrika haziendelei kutokana na kuridhishwa na mfumo mbovu wa elimu?

    Kabla ya ujio wa Wazungu barani Afrika,Waafrika walikua na mfumo wao wa elimu kwa vitendo kulingana na mazingira. Elimu kama ya Uvuvi,madawa,kilimo,ufugaji,maadili zilikua zikitolewa na uchumi ulikua ukikua kwa kasi. Ujio wa Wazungu barani Afrika ukasababisha ukoloni na baada ya miaka ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Somo la Civics linalofundisha wanafunzi katiba ya nchi linafutwa

    Serikali inaandaa syllabus mpya na mfumo wa elimu, katika mambo mapya yanayokuja ni kufutwa kwa somo la Civics. Japo Watanzania hawaijui katiba ya nchi, walau hili somo liliwasaidia kuijua, sasa linafutwa. Jadili.
  4. Lameckjr

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

    Ndugu wanajamvi habari zenu, Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!! Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: UNDP imetoa orodha ya nchi 54 duniani zilizoelemewa na deni la Taifa. 25 zinatoka Afrika Tanzania haipo, tukope zaidi tujenge Uchumi zaidi

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila kupitia Ukurasa wake wa Instagram amewafunda wanaolalamika Kuhusu ukuaji wa deni la Taifa. Kafulila amesisitiza kama Taifa lazima tukope zaidi ili tujenge uchumi wetu zaidi, Mhe Kafulila anasema hata Japan ambayo ni nchi ya...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aiingiza tena Tanzania kwenye Nchi 10 Tajiri zaidi Africa 2022|23

    Top Ten Richest Countries in Africa in 2022/23 by GDP 10. Ghana 🇬🇭 73.8 Billion USD 9. Tanzania 🇹🇿 77.5 Billion USD 8. Ethiopia 🇪🇹 105.3 Billion USD 7. Kenya 🇰🇪 114.6 Billion USD 6. Angola 🇦🇴 124 Billion USD 5. Morocco 🇲🇦 133 Billion USD 4. Algeria 🇩🇿 193 Billion USD 3. South Africa 🇿🇦 426...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Simba SC iliyocheza juzi na Kagera Sugar FC ndiyo itakayocheza hatua ya makundi CAFCL tunaenda kuiaibisha nchi

    Sitaki kuiamini sababu kuwa Kusafiri kwa Basi kwenda Kagera ndiyo kumesababisha Uchovu ule Uliioonekana kwa Wachezaji walipocheza na Kagera Sugar FC. Ila nikiambiwa moja wapo ya Sababu hizi za Kiuchunguzi nilizozifanyia Kazi nitaaziamini tena kwa 100%. 1. Posho za Wachezaji Kulimbikizwa huku...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni nchi huru au ni sehemu ya Tanzania?

    Ukinambia ni sehemu ya Tanzania nitakuuliza maswali yafuatayo: 1. Kwanini Watanganyika hawaruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar? 2. Kwanini ni ngumu ajira za Zanzibar kuhusisha Watanganyika? 3. Kwanini wana rais wao na bendera yao? 4. Kwanini wana taasisi zao zinazojitegemea kama mahakama...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yajisifia kutokua na desturi ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi za watu - je Ukraine sio nchi ya watu???

    Hawa jamaa sijui huvuta bangi ya aina gani, eti hawana historia au desturi ya kuingilia mambo ya nchi za watu, ilhali kule Ukraine wanaiba hadi ardhi..... Russia has said it is invariably committed to its principle of not interfering in the domestic affairs of other countries, including...
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania AIBU: Rais anazindua ujazaji maji Bwawa la JNHP taifa likiwa na mgao wa umeme huku mizengwe kibao ikiwekwa lisikamilike mapema

    ~ Nini kimesababisha bwawa la JHNP lisikamilike kwa wakati? ~ Kwanini aliyekuwa waziri wa nishati kabla ya kutumbuliwa alituhakikishia litakamilika june 2022. ~ Crane za mizengwe za January? ~ Kwanini hawataki kuondoa tatizo la umeme Tanzania? ~ Leo wananchi wengi hawakushuhudia huu uzinduzi...
  11. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Fahamu kisa cha Jasusi John Gweru, Afisa Usalama aliyeikimbia Zimbabwe kwa kuchoka kuua

    Bila Shaka mko poa wakuu yesss twenzetuni uandishi tuvumiliane John gweru alikua Jasusi kutoka nchini Zimbabwe katika shirika la kijasusi la central intelligence organization (CIO). Alikua ni kijana aliependa kufanya kazi za kijasusi bila kujua kama ilikua na kazi ngumu ya ukatili na umwagaji...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani inawezaje kupata kuaminiwa tena na nchi za Afrika?

    Mkutano wa pili wa wakuu wa Marekani na nchi za Afrika umekamilika hivi karibuni mjini Washington. Vyombo vya habari vya kimataifa vinaona baada ya miaka minane, Marekani inatupia macho yake tena katika bara la Afrika, madhumuni yake halisi ni kugeuza Afrika kuwa uwanja wa mashindano kati ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati wa Makamu wa Rais Mpango kuacha unyonge na kusimamia mikopo ya nchi?

    VP Mpango tuna kuhitaji kusimama na kumsaidia Raisi kwenye masuala ya mikopo ya nchi na wizara ya fedha badala ya kukaa kinyonge nyonge kila siku. Hauja chaguliwa kwasababu ya upole pekee lakini ni kwasababu ya uwezo wako mkubwa kwenye miradi na kujua fedha sasa hata kwenye miradi na mikutano...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Hunan waelekea kuwa na hadhi sawa na Guangzhou kwa nchi za Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na msukumo mpya kwenye ushirikiano katika sekta ya kilimo kati ya China na nchi za Afrika. Kupitia majukwaa mbalimbali ya biashara ya China, kama vile maonesho ya uagizaji wa bidhaa ya China yanavyofanyika mjini Shanghai (CIIE), maonyesho ya bidhaa za...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Huyu mstaafu tumrudishe Ikulu 2030. Mnasemaje bhandugu?

    Rais mstaafu wa awamu ya nne bado ana nguvu za kimwili na kiakili na bado anapendwa na watanzania. Najitokeza hadharani kumshauri na kumpa shime 2030 achukue fomu ya kugombea urais wa nchi hii. Ndugu msomaji usije kupinga wazo langu kwa hoja za ukiukwaji wa katiba. Katiba ya Tanzania haifuatwi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nyakati za giza nisizotaka zijirudie tena nchi hii

    Sitaki, sitamani na sitarajii kumuona kiongozi yeyote; (a) Anaharibu mahusiano baina ya nchi yetu na nchi nyingine. (b) Anaharibu mahusiano baina ya wanachama wa tawala na wale wa vyama vya upinzani. (c) Anahubiri majukwaani kwamba mkichagua upinzani sitaleta maji. (d) Anapora fedha za watu...
  17. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere limepotelea wapi

    Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushuhudia uzinduzi wa zoezi la kuingiza maji kwenye Bwawa la Julius Nyerere Disemba 22, 2022 badala ya Novemba 2021 iliyokuwa awali. Mheshimiwa Rais pamoja na hatua hiyo muhimu bado kuna mambo ya msingi sana ambayo Waziri wako wa Umeme hajayaweka wazi...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mkitaka uraia pacha basi rahisisheni taratibu za watu kupata passport na kutoka nje ya nchi

    Matajiri na wanasiasa wanataka uraia pacha utakao wafaidisha wao na watoto wao tu. Toka uhuru, wao ndiyo wenye uwezo wa kupata passport na kwenda nje kwa urahisi. Watoto wa masikini wamejazwa vikwazo kibao juu ya kutoka nje ya nchi. Yaani vikwazo vilivyopo ni ngumu watoto wa kimasikini...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Kama na wewe unataka kuujaza Uwanja wa Mkapa, kuaminika na kuabudiwa na wengi tembelea nchi hizi

    Nenda nchini Msumbiji hasa ile miji yenye madini mengi kisha mtafute Mganga wa hapo atakupika vyema Nyota na Utaujaza Mkapa Stadium. au nenda nchini Congo DR mtafute Msanii Kofi Olomide au Mwanafunzi wake kimuziki Fally Ipupa kisha waombe wakukutanishe na Waganga wao Hatari na Nyota yako...
  20. winnerian

    JamiiForums Tanzania Akauliza kwani hauna uchungu na nchi yako kupoteza pesa nyingi hivi?

    Jibu: kwani wao hawaibi? Viongozi wetu wakiwa na uchungu sana na hii nchi hata walio chini hawataiba watakuwa wazelendo. Kutwa kiongozi mkubwa ananazunguka kulinda pesa za nchi hii ataweza peke yake bila mfumo imara unawajibisha kila mtu kutii sheria?
Back
Top Bottom