nchi

  1. MK254

    Duh! Hawa waarabu wa Sudan wameamua kuitia nchi yao kiberiti, wanapigana mpaka basi

    Bado imeshindikana kuwapatanisha, ni fulu mnyukano kwa kwenda mbele tena wana mizuka ya kiwaki waki..... A massive fire erupted at the gas depots in southern Khartoum on Wednesday, following intense battles over the control of the Yarmouk ammunition factory involving the use of heavy weapons...
  2. J

    Spika na Wabunge kumbukeni maneno haya ya Dua ya kuiombea nchi na kuliombea Bunge mnapokwenda kuuza Bandari

    Dua ya kuiombea nchi na kuliombea Bunge “Ewe MWENYEZI MUNGU Mtukufu, Muumba Mbingu naDunia, umeweka katika Dunia Serikali za Wanadamu naMabunge ya Mataifa ili haki yako itendeke. Twakuomba, uibariki nchi yetu idumishe uhuru, umoja, haki na amani, umjalie Rais wetu hekima, afya njema na maisha...
  3. Boss la DP World

    Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

    Uzi huu hauhusiani na uzi mwingine, ni alert mahsusi kwa Rais Samia. Mh Rais inamaana wewe na wabunge hamfahamu kuwa vifaa vingi vya ulinzi na usalama huingia nchini kupitia bandari? Vipi endapo kampuni itakayopewa kuendesha bandari ikiajiri bila kujua majasusi wa nchi jirani kuwa watumishi...
  4. R

    Mvua imenyesha watu wakalima; wamekatazwa kuuza mahindi yao nje ya nchi

    Wanasiasa wakitaka kununua V8 hakuna anayewakataza; wakitaka kuuza rasilimali hakuna anayewakataza. Ila wananchi wakitaka kufanya biashara kupata kipato Ndipo sheria uibuliwa na vizuizi kibao. Nchi yenye viongozi wakudhibiti ustawi wa wazawa na kustawisha wageni inajianda KUTAWALIWA. Kila...
  5. K

    Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam

    Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court: 1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged...
  6. BARD AI

    Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida. Pia, amewataka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari, Plasduce...
  7. R

    Serikali kwanini isitoe elimu kwa Watanzania wote kabla ya kuingia kwenye hii Mikataba?

    Jamani nina swali ambalo nadhani hata wabunge wetu wangejiuliza kabla ya kupitisha hili jambo. Na wasiangalie wao wanaishi sasa waangalie na watoto na wajukuu wajao wataishi vipi huko baadae. Maswali: (1) Kama kila siku tunaambiwa tunategemea sana mapato ya bandari. Sasa kama bandari inapigwa...
  8. ESPRESSO COFFEE

    Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

    Picha: Nape Nnauye Habarini JF GT! Jana wakati Membe akirudishiwa kadi ya CCM, Mbunge wa Mtama na Wazari wa Habari nchini aliongea kauli mbaya Sana Na Yenye kufedhehesha kwa Marehemu. Kwa tamaduni za kitanzia Sio sawa kumsema Marehemu, na hata Ukitaka kumsema Marehemu utamsema kwa Mazuri...
  9. FisadiKuu

    Kipi bora kati ya Demokrasia na Utawala wa kifalme kwa Mustakabali wa Nchi yetu?

    Watanzania wenzangu, mara chache sana nakuja kwenye hili jukwaa. Leo nilikaa na kufikiri sana. Nikaona nije na hili swali. Je, kipi ni bora kati ya Demokrasia na Utawala wa kifalme? Kwa Nchi yetu kipi kitatupeleka mbele zaidi? Tunaona kila mtawala anayekuja anakuja either kutafuta fursa...
  10. R

    Tanzania Nchi ya Mpira

    Umegundua kadri umaskini na ukosefu wa ajira unavyoongezeka ndivyo muda wa vipindi vya redio na TV kujadili michezo unavyoongezeka; Kipindi cha michezo kinapewa airtime ya masaa matatu na mara nyingi kinarushwa zaidi ya mara moja Kwa siku Kwa kuwa michezo ndiyo inayopewa airtime nyingi basi...
  11. L

    Maendeleo ya teknolojia ya China yamekuwa na manufaa makubwa kwa nchi za dunia ya tatu

    Mwishoni mwa mwezi Mei (30 Mei) China iliadhimisha siku ya saba ya wafanyakazi wa sekta ya sayansi na teknolojia. Siku hii iliadhimishwa kwa mwito wa kuhimiza utamaduni wa uvumbuzi, na kuendelea kujienga China kuwa nchi yenye nguvu kwenye sekta ya sayansi na teknolojia, huku ikifanya juhudi...
  12. M

    Huku wakiwapumbaza watanzania kwa Mpira, nyuma ya pazia wanauza Nchi

    Ndani ya wiki hizi mbili kuna mambo ya kutisha yanaendelea nchini. Lakini kwa kuwa watawala wamegundua akili za Watanzania ni kufuatilia vitu vyepesi, wameamua kuinvest kwenye mpira wakati huku behind the scene wakiwa busy kuuza nchi na kupalilia ufisadi. Haya ni baadhi ya mambo ya kusikitisha...
  13. B

    Kwa Afrika ukiona Chama au Kiongozi amedumu madarakani ni kwa sababu anauza maliasili za nchi kwa mabeberu

    Nihakikishie ulinzi na kupita kwenye uchaguzi tutayajenga. Ndio sababu hata watawale miaka 1000 faida zitokanazo na Rasilimali za Nchi hamtaziona kamwe. Mikataba ya Siri, vikao vya siri, chaguzi haramu, mikopo ya kumwaga. Ili kuepuka mtego huo Kiongozi au Chama chake ni lazima kichague njia...
  14. M

    Afrika bara la nyumbu Ulaya bara la siafu, Tanzania ni nchi ya bora liende

    Habari zenu Wana jukwaa, imani yangu sote tuko wazima wa afya njema na kwa wale walio na changamoto ya afya mungu awasaidie waweze kupona na kuendelea na majukumu ya kila siku. Watanzania hivi mnaamini kwamba maendeleo yanapatika Kwa urais kama mnavyodhani? Mnaamini kwamba ili uweze kuwa...
  15. Stuxnet

    Mvua zinanyesha nchi nzima, mavuno kwa wingi yanavunwa na kelele za "Bashe Funga Mipaka" zimekwisha

    Kuanzia Bashe amekuwa Waziri wa Kilimo msimamo wake ilikuwa ni kutofunga mipaka ili wakulima wapate bei nzuri ya mazao yao. Humu JF kuliandikwa nyuzi nyingi za kulaani kutofunga mipaka na kutabiri njaa kutokea Tanzania. Kati ya Machi na Mei mikoa mingi sana wamevuna na bei zimeshuka chini. Na...
  16. let the caged bird sings

    Unafiki wa nchi za Magharibi na nchi nyingine dhidi ya watu wa Belgorod

    Dunia ipo kimya kwa watu wa Belgorod wanaopigania Uhuru wao dhidi ya serikali inayodhulumu haki zao. Ila haikukaa kimya wakati watu Cremia, Donesk etc walipotaka uhuru wao toka kwa Ukrein, walipewa kila misaada na ammunition ili wapate uhuru wao dhidi ya dhuluma waliyokuwa wanafanyiwa na...
  17. Mwl.RCT

    SoC03 Shairi | Utawala bora kwa manufaa ya nchi yetu

    UTAWALA BORA KWA MANUFAA YA NCHI YETU Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Utawala bora ni msingi muhimu katika kukuza maendeleo ya nchi yoyote ile. Ni mchakato wa kuongoza na kusimamia rasilimali za umma kwa njia ya uwazi, uwajibikaji, uadilifu, usawa na haki. Utawala bora huwezesha kujenga imani...
  18. JF Member

    Kuna mtu bado anamlinganisha Hayati Magufuli na Marais wa nchi yetu tangu Tanganyika na sasa Tanzania?

    Ukweli ni kwamba Hayati Magufuli alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya. Bado tunahitaji Rais kama Magufuli. Mungu ibariki Tanzania.
  19. Stephano Mgendanyi

    Maagizo ya Waziri Mkuu kwa Ma DC na Ma DED Nchi Nzima

    WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WOTE NCHINI, AMPONGEZA MKUU WA WILAYA MSTAAFU Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametoa Maagizo Kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi Wote nchini kwenye Halmashauri zao Kusimamia Kutokuwepo kwa Michango Holela inayo kera Wananchi na...
  20. Mabula marko

    SoC03 Naipenda siku ya uhuru wa taifa langu

    Habari ndugu msomaji karibu katika makala hii Hii ni hadithi iliyokuwa nzuri na ya kusisimua ambayo mzee mwangosi alitushrikisha siku moja tukiwa kundi la vijana watano katika kijiwe cha kahawa ambaye alikuwa mzee mwenye umri wa miaka 89, mzee mwangosi alikuwa akizingumzia namna alivyoshiriki...
Back
Top Bottom