UTAWALA BORA NI HAKI KWA NCHI HURU
Utawala Bora ni mchakato wa kupima ni kwa jinsi gani taasisi za umma, zimeshughulika na Mambo ya umma kwa ufanisi na kutambua haki za binadamu na maadili ya kutotumia mamlaka vibaya kwa watumishi wa umma na kutojihusisha na vitendo vya rushwa na kuwepo...
Habari jf,
Hiki kiilichotokea bungeni sio mara ya kwanza kwa mambo kupitishwa kwa nguvu. Sasa kwa huu ubabe unaona kabisa katiba mpya inaweza isiwe suluhu ya hili tatizo .
Bil 47 za posho zimepitishwa kwa nguvu ,watanzania tuko kimya hivi tunashida gani ? Hawa CCM watakuja mitaani ambako...
Habarini nyote.
Wasilisho la Wadiz a.k.a Baharia
Kipimo cha jamii na nchi ni pamoja na akili za watu hasa katika nyanja ya kumbukumbu na kujadili mambo yenye tija kwa kirefu.
Sambamba na hilo kinyume chake jamii na nchi dumavu hasa kifikra na dira za kimaendeleo hudekeza usahaulifu ama...
Sharia Law ni muunganiko wa sheria zinazomuongoza Mwislamu maisha yake yote.
Sharia ya Kiislamu Ina hasara kubwa kwa atu wasio waumini wa Kiislamu hasahasa Wakristo na nitazioanisha hapa kama zifuatavyo.
Inaminya uhuru wa kuabudu: Hakuna uhuru wa kuabudu Kwa watu wasiokuwa Waislamu katika nchi...
Ifuatayo ni orodha ya mataifa 10 ya kiafrika yaliyo ongoza kwa uzalishaji wa maliasili mbalimbali kama Madini, Mafuta Ghafi nk kwa mwaka uliopita 2022 kwa bahati mbaya Tanzania sio miongoni mwa mataifa hayo pamoja na kwamba tunaambiwa kwamba nchi yetu ni moja ya nchi tajiri sana Afrika kama sio...
TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI CHACHE DUNIANI ZENYE AMANI NA WANANCHI WAKE WANAISHI KWA RAHA
“Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Afrika na duniani ambazo mpaka sasa hivi Ina amani na tunaishi kwa raha, iwe ni wafanyabiashara, wafanyakazi na Watanzania ambapo Moja ya sababu kubwa ni uwepo wa...
Moja katika habari kubwa kwenye medani ya siasa za Kimataifa inayomhusisha Mtanzania ni habari ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson kuteuliwa kuwania Urais wa Umoja wa Mabunge ya Dunia (IPU) katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2023.
Taarifa za...
Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2022/23 na makadirio ya mapato na matumizi
Usalama ni suala muhimu sana katika maendeleo ya nchi yoyote, na Tanzania sio tofauti. Katika juhudi za kuboresha usalama na kulinda raia wake, serikali ya Tanzania inaweza kutumia vifaa vya usalama, teknolojia ya usalama barabarani, na polisi kwa njia yenye ufanisi.
Kwanza, Kuanzishwa kwa...
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - TANZANIA INAJIPANGA KUACHA KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI
SERIKALI imekutana na wadau wa kuzalisha Mafuta ya kupikia kwa ajili ya kujadili changamoto zinazosababisha kushuka kwa bei ya Mafuta ya Alizeti nchini.
Katika kikao kilichofanyika tarehe...
Watafiti katika taasisi ya Uchumi wa Dunia ya Kiel ya Ujerumani, wamefanya utafiti na kufikia hitimisho kuwa mikopo inayotolewa na China kwa nchi za Afrika ni ya gharama nafuu kuliko ile inayotolewa na nchi za magharibi, au inayotolewa na wakopeshaji wa kibiashara. Hitimisho hilo limefikiwa...
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama Tawala cha African National Congress (ANC) cha #AfrikaKusini, Fikile Mbalula ambaye ametaja sababu kuwa ni kukatika kwa Umeme kunakotishia kuzorotesha Ukuaji wa Uchumi.
Mbalula amsema "Kama baadhi masuala hayatopatiwa suluhu, tutakuwa Nchi...
Hivi karibuni, balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini Reuben Brigety aliiomba radhi serikali ya Afrika Kusini kwa kuishutumu nchi hiyo kuipatia silaha Russia. Kabla ya hapo, Marekani nayo pia ilidai kwamba China inaweza kutoa silaha kwa Russia.
Lakini halisi ni kuwa si China wala Afrika Kusini...
NCHI NI WANANCHI: KUUNGA MKONO HAKI NA UHURU WA WANANCHI
Imeandikwa na: MwlRCT
Mfumo wa Nchi Ni Wananchi unasisitiza umuhimu wa haki na uhuru wa wananchi katika nchi. Unalenga kuwawezesha wananchi kutoa maoni yao, kuwasilisha wasiwasi wao, na malalamiko yao kwa uhuru. Makala hii inajadili...
Baada ya uhuru tulianza na ujinga, maradhi na umasikini. Hadi sasa hakuna aliyepunguzwa walau makali...
Sasa hivi wanaendelea kuongezeka. Kuna ufisadi, rushwa, uchawa, watu wasiojulikana, ukanda na mitandao ya kisiasa ndani ya vyama vya siasa, huenda orodha inaendelea
Tatizo liko wapi...
Chadema inahubiri kuwa endapo watashika dola (ndoto ya kawaida) basi wataanzisha utawala wa kimajimbo Ili kurahisisha huduma za kijamii na kuharakisha maendeleo. Ukiitazama mfumo huu na jinsi wanavyouelezea kwa haraka unaweza kudhani ni kweli.
Kama kuna jambo ambalo ukitaka ugomvi na Watanzania...
Kusema ukweli!
Mambo mengine siyo utajiri! Bali ni uthubutu tu!
Baadhi ya nchi duniani walishasahau kama kuna ugonjwa wa malaria!
Yaani wadudu warnezao malaria hivi kweli kama taifa tumeshindwa kuwaondoa?
Zamani kulikuwepo ugonjwa wa kichocho sijui ulipotelea wapi! Lakini sahivi kuna hii kitu...
Mhandisi Godfrey Kasekenya naibu waziri wetu wa uchukuzi na ujenzi sekta ya ujenzi. Jana ulikuwa unasain mkataba wa ujenzi wa barabara ya Karatu-Mbulu-Haydom-Nduguti-Gumanga-Ibaga-Sibiti-Meatu-Lalago-Maswa. Siku zote huwa nafurahi ukijibu maswali bungeni hasa ukitaja meneo yanakopita barabara za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.