Hakuna Kiongozi Mbovu nchi hii kwa sasa kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Ukihitaji salamu subiri kwanza nikamatwe niwekwe lokapu,nikitoka nitakuwa na adabu na nitaanza kusalimia!

Kama kuna mambo yanafanya kama Taifa tusisonge mbele ni kubarikiwa kuwa na watu wapumbavu wa viwango vya juu kuliko maelezo!

Sijajua ni nani amesmshauri kufanya ujinga anaoendelea kuufanya!.Jana nimeona kwenye mitandao na vyombo mbalimbali vya habari akizunguka kwenye jiji lenye karaha na raha la Dar es salaam eti akitafuta Madanguro ili yavunjwe na shughuli za wanawake kuuuza miili yao ikomeshwe!

Aliyekwambia kuvunja majengo ni kukomesha biashara ya madada poa ni nani?,Utavunja jengo sawa,je utavunja na roho ya ukahaba ya udada poa?

Aliyekwambia kuvunja nyumba walizokuwa wakifanyia biashara zao kutakomesha biashara zao ni nani?,Umeenda mbali zaidi hadi kunukuliwa ukisema "Zile Baa zote ambazo hao wanawake wanasimama kwa mbele wakifanya biashara tutazifunga kama wasipo komesha hiyo tabia?"

Hao malaya wanatafuta wateja na wateja wengi ni pamoja na walevi,njia nzuri ya kumkamata mlevi ni kusogea karibu yake!,Wamiliki wa Bar hata hawahusiki na hao wanawake,wao nao hushitukia tu hao wanawake wamejazana mbele ya bar yake,sasa mmiliki atafanya nini?

Hii nchi wafanya biashara hasa hao wamiliki wa Bars na Pub wanalipa kodi kibwena,nao pia wanahitaji wateja,sasa kama hao wanawake wanasimama mbele ya Bar yake na kjpitia hao hao anapata wateja wa kutosha kwanini awafukuze?

Suala la ukahaba haliwezi kuisha na halitokaa liishe!,Dunia ya leo ya Sayansi na Teknolojia bado unazuia ukahaba kweli?

Watu kila siku wanatoa michango na mawazo ya kwamba,hao makahaba mlipaswa muwasajili ili waanze kulipa kodi,kupitia usajili huo watakuwa wanapewa semina pia namna ya kujilinda dhidi ya afya zao kutoka wizara ya afya!,nyie hamtaki mnataka kila siku kufukuzana nao mabarabarani!.

Imeenda mbali zaidi hadi sehemu za Masaji mnafungia!,Hivi wewe jamaa uko timamu kweli kichwani?

Ukahaba hauwezi kuisha,kinachotakiwa kufanywa ni kuweka utaratibu mzuri wa hao makahaba kulipa kodi,nchi inapoteza kodi nyingi sana kwasababu ya watu kama wewe ambao mnataka kujionyesha mnao uwezo wa kukomesha makahaba!.

Unadhani mdau kama GENTAMYCINE yeye ataenda kuponea wapi na ufupi wake?,Hao watu walikuwa wakimsaidia kumwaga oil chafu!

Ifike sehemu mkuu wa Mkoa uache ujuaji wa kijinga,kufoka foka siyo aina ya kiongozi mwenye akili timamu!.
 
Anajichosha tu jiji hili linamatatizo kibao unakimbilia kukomesha biashara ya kipochi manyoya wakati wamiliki wanatembea navyo popote wakiamua kambi watu wanajilia utam.

Makonda pekee ndo aliweza dar na hata kusaidia watu wenye mahitaji maalumu km vilema kupata magongo ,miguu bandia nk Sasa leo anakuja kiongozi anakimbizana na malaya
 
Biashara ya ukahaba imekuwepo tangu enzi na enzi za uumbaji Dunia hii. Chalamila hawezi kukomesha biashara hii. Naishauri Serikali iwatambue hawa Malaya kama wafanyabiashara rasmi, waboreshewe mazingira ya kazi zao, wapewe Leseni, TIN namba ili walipie leseni na kodi ya mapato na wapimwe afya kwa usalama wa wateja wao. Nchi zilizoendelea ndo waliamua kufanya hivi badala ya kukimbizana nao kama chalamila anavyofanya na hawezi kufanikisha.
 
Upo upande wa dhambi mkuu
Dhambi kwa mujibu wa nani? Yaani mpagani nae umuhusishe na dhambi ! Watu wa dini hatunaga akili.
Dini zimeruhusu watu wafanye dhambi watakavyo ila warakuja kuchomwa moto wa milele.
Sasa kama mtu yupo tayari kuchomwa moto wa mikele wewe unamuhurumiaje ?
Wasioamini dini hawaaamini katika dhambi.
Tofautisha dhambi na uhalifu, nchi hii haiongozwi kidini.
Muislamu pombe ni dhambi mkiristo halali, je umuhukumu mkiristo kwa kitabu asichokiamini?
 
Ukihitaji salamu subiri kwanza nikamatwe niwekwe lokapu,nikitoka nitakuwa na adabu na nitaanza kusalimia!

Kama kuna mambo yanafanya kama Taifa tusisonge mbele ni kubarikiwa kuwa na watu wapumbavu wa viwango vya juu kuliko maelezo!

Tanzania ndiyo nchi inayoongoza kwa kuwa na viongozi wajinga,Mazuzu,Mazwazwa,Matahira na malimbukeni ulimwenguni!

Sijajua ni nani amesmshauri kufanya ujinga anaoendelea kuufanya!.Jana nimeona kwenye mitandao na vyombo mbalimbali vya habari akizunguka kama mwehu kwenye jiji lenye karaha na raha la Dar es salaam eti akitafuta Madanguro ili yavunjwe na shughuli za wanawake kuuuza miili yao ikomeshwe!

Are u serious u Moron?

Aliyekwambia kuvunja majengo ni kukomesha biashara ya madada poa ni nani?,Utavunja jengo sawa,je utavunja na roho ya ukahaba ya udada poa?

Aliyekwambia kuvunja nyumba walizokuwa wakifanyia biashara zao kutakomesha biashara zao ni nani?,Umeenda mbali zaidi hadi kunukuliwa ukisema "Zile Baa zote ambazo hao wanawake wanasimama kwa mbele wakifanya biashara tutazifunga kama wasipo komesha hiyo tabia?"

Hivi we jamaa uko timamu kweli?,Hao malaya wanatafuta wateja na wateja wengi ni pamoja na walevi,njia nzuri ya kumkamata mlevi ni kusogea karibu yake!,Wamiliki wa Bar hata hawahusiki na hao wanawake,wao nao hushitukia tu hao wanawake wamejazana mbele ya bar yake,sasa mmiliki atafanya nini?

Hii nchi wafanya biashara hasa hao wamiliki wa Bars na Pub wanalipa kodi kibwena,nao pia wanahitaji wateja,sasa kama hao wanawake wanasimama mbele ya Bar yake na kjpitia hao hao anapata wateja wa kutosha kwanini awafukuze?

Suala la ukahaba haliwezi kuisha na halitokaa liishe!,Dunia ya leo ya Sayansi na Teknolojia bado unazuia ukahaba kweli?

Watu kila siku wanatoa michango na mawazo ya kwamba,hao makahaba mlipaswa muwasajili ili waanze kulipa kodi,kupitia usajili huo watakuwa wanapewa semina pia namna ya kujilinda dhidi ya afya zao kutoka wizara ya afya!,nyie hamtaki mnataka kila siku kufukuzana nao mabarabarani!.

Imeenda mbali zaidi hadi sehemu za Masaji mnafungia!,Hivi wewe jamaa uko timamu kweli kichwani?

Ukahaba hauwezi kuisha,kinachotakiwa kufanywa ni kuweka utaratibu mzuri wa hao makahaba kulipa kodi,nchi inapoteza kodi nyingi sana kwasababu ya watu kama wewe ambao mnataka kujionyesha mnao uwezo wa kukomesha makahaba!.

Unadhani mdau kama GENTAMYCINE yeye ataenda kuponea wapi na ufupi wake?,Hao watu walikuwa wakimsaidia kumwaga oil chafu!

Ifike sehemu mkuu wa Mkoa uache ujuaji wa kijinga,kufoka foka siyo aina ya kiongozi mwenye akili timamu!.
Yeye awanyang'anye hizo bidhaa wanazouza. Lakini kuvunja nyumba za watu mbona anawatafutia watu utajiri wa bure?
Kama unamfahamu aliyevunjiwa nyumba naomba jina lake Niko hapa Mafinga na kauwakili kangu nimekapata Juni mwaka huu nianze naye bure bila malipo. Tutalipana kutokana na hela ya Mkuu wa mkoa.
 
Biashara ya ukahaba imekuwepo tangu enzi na enzi za uumbaji Dunia hii. Chalamila hawezi kukomesha biashara hii. Naishauri Serikali iwatambue hawa Malaya kama wafanyabiashara rasmi, waboreshewe mazingira ya kazi zao, wapewe Leseni, TIN namba ili walipie leseni na kodi ya mapato na wapimwe afya kwa usalama wa wateja wao. Nchi zilizoendelea ndo waliamua kufanya hivi badala ya kukimbizana nao kama chalamila anavyofanya na hawezi kufanikisha.
Kuirasimisha ni kushiriki dhambi yenyewe. Sidhani kama kuna kiongozi wa serikali ataweka saini kuhalalisha uchafu huu. Tukusanye kodi za biashara ya uzinzi na uasherati? Serious?? Kama tukishindwa kuwadhibiti basi wafanye kivyao ila tusishiriki dhambi yao kwa njia ya kodi. Hili wala si suala la imani. It is a moral issue.
 
Dhambi kwa mujibu wa nani? Yaani mpagani nae umuhusishe na dhambi ! Watu wa dini hatunaga akili.
Dini zimeruhusu watu wafanye dhambi watakavyo ila warakuja kuchomwa moto wa milele.
Sasa kama mtu yupo tayari kuchomwa moto wa mikele wewe unamuhurumiaje ?
Wasioamini dini hawaaamini katika dhambi.
Tofautisha dhambi na uhalifu, nchi hii haiongozwi kidini.
Muislamu pombe ni dhambi mkiristo halali, je umuhukumu mkiristo kwa kitabu asichokiamini?
Sawa sawa mkuu...
Tuishie hapa kwa leo
 
Ukihitaji salamu subiri kwanza nikamatwe niwekwe lokapu,nikitoka nitakuwa na adabu na nitaanza kusalimia!

Kama kuna mambo yanafanya kama Taifa tusisonge mbele ni kubarikiwa kuwa na watu wapumbavu wa viwango vya juu kuliko maelezo!

Sijajua ni nani amesmshauri kufanya ujinga anaoendelea kuufanya!.Jana nimeona kwenye mitandao na vyombo mbalimbali vya habari akizunguka kwenye jiji lenye karaha na raha la Dar es salaam eti akitafuta Madanguro ili yavunjwe na shughuli za wanawake kuuuza miili yao ikomeshwe!

Aliyekwambia kuvunja majengo ni kukomesha biashara ya madada poa ni nani?,Utavunja jengo sawa,je utavunja na roho ya ukahaba ya udada poa?

Aliyekwambia kuvunja nyumba walizokuwa wakifanyia biashara zao kutakomesha biashara zao ni nani?,Umeenda mbali zaidi hadi kunukuliwa ukisema "Zile Baa zote ambazo hao wanawake wanasimama kwa mbele wakifanya biashara tutazifunga kama wasipo komesha hiyo tabia?"

Hao malaya wanatafuta wateja na wateja wengi ni pamoja na walevi,njia nzuri ya kumkamata mlevi ni kusogea karibu yake!,Wamiliki wa Bar hata hawahusiki na hao wanawake,wao nao hushitukia tu hao wanawake wamejazana mbele ya bar yake,sasa mmiliki atafanya nini?

Hii nchi wafanya biashara hasa hao wamiliki wa Bars na Pub wanalipa kodi kibwena,nao pia wanahitaji wateja,sasa kama hao wanawake wanasimama mbele ya Bar yake na kjpitia hao hao anapata wateja wa kutosha kwanini awafukuze?

Suala la ukahaba haliwezi kuisha na halitokaa liishe!,Dunia ya leo ya Sayansi na Teknolojia bado unazuia ukahaba kweli?

Watu kila siku wanatoa michango na mawazo ya kwamba,hao makahaba mlipaswa muwasajili ili waanze kulipa kodi,kupitia usajili huo watakuwa wanapewa semina pia namna ya kujilinda dhidi ya afya zao kutoka wizara ya afya!,nyie hamtaki mnataka kila siku kufukuzana nao mabarabarani!.

Imeenda mbali zaidi hadi sehemu za Masaji mnafungia!,Hivi wewe jamaa uko timamu kweli kichwani?

Ukahaba hauwezi kuisha,kinachotakiwa kufanywa ni kuweka utaratibu mzuri wa hao makahaba kulipa kodi,nchi inapoteza kodi nyingi sana kwasababu ya watu kama wewe ambao mnataka kujionyesha mnao uwezo wa kukomesha makahaba!.

Unadhani mdau kama GENTAMYCINE yeye ataenda kuponea wapi na ufupi wake?,Hao watu walikuwa wakimsaidia kumwaga oil chafu!

Ifike sehemu mkuu wa Mkoa uache ujuaji wa kijinga,kufoka foka siyo aina ya kiongozi mwenye akili timamu!.
Hawa watu walionekana wa maana kwa mwendazake kwakua tu waliweza kuwabughudhi CHADEMA... nje ya hapo ni TAKATAKA!
 
Dhambi kwa mujibu wa nani? Yaani mpagani nae umuhusishe na dhambi ! Watu wa dini hatunaga akili.
Dini zimeruhusu watu wafanye dhambi watakavyo ila warakuja kuchomwa moto wa milele.
Sasa kama mtu yupo tayari kuchomwa moto wa mikele wewe unamuhurumiaje ?
Wasioamini dini hawaaamini katika dhambi.
Tofautisha dhambi na uhalifu, nchi hii haiongozwi kidini.
Muislamu pombe ni dhambi mkiristo halali, je umuhukumu mkiristo kwa kitabu asichokiamini?
Dhambi siyo neno la kidini. Ni suala la maadili tu. Watu wamelikoleza kwenye udini for no obvious reason. Hata ukipiga ngumi ukuta umefanya dhambi na mshahara wake ni maumivu mkononi mwako. Sin is going against the law, ANY LAW.
 
Bora angewekeza nguvu kubwa kwenye kudhibiti wizi, ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma katika Mkoa.

Kuingia kwenye hiyo vita, ni kupoteza tu muda na kutafuta kiki. Maana hana uwezo wa kuidhibiti hiyo biashara. Na akumbuke kuna wenzake wengi ru huko nyuma walijaribu kufanya hivyo na walishindwa vibaya.
 
Back
Top Bottom