Rais Kagame: Ni Ruksa wa Raia wa Nchi yoyote ya Afrika kuingia Rwanda bila Viza

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Siku chache baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa Kenya itafuta utaratibu unawalazimu Raia wa Nchi zote Afrika kuingia nchini humo kwa kutumia Viza hadi kufikia mwishoni mwaka 2023, Rais Paul Kagame wa Rwanda ametangaza kuwa Raia wa Nchi zote za Afrika hawahitaji tena kuwa na Viza kuingia Rwanda.

Kwa mujibu wa Kagame, kigezo cha Viza kimekuwa kikwazo maendeleo na ikiwemo kupunguza idadi ya Watalii wakati bara la Afrika ndio kituo kikuu cha Utalii duniani. Hivyo, Nchi za Afrika zinazondelea kutumia kigezo hicho ni zinajikwamisha zenyewe.

Rwanda inakuwa Nchi ya 4 barani Afrika kufuta kigezo cha Viza kwa raia wake kufanya safari za ndani ya Bara. Nchi nyingine ni Benin, Ushelisheli na Gambia. Kenya itakuwa Nchi ya 5 kama itatekeleza ahadi yake ifikapo mwisho wa mwaka 2023.

============

Rwanda announced Thursday that it will allow Africans to travel visa-free to the country, becoming the latest nation on the continent to announce such a measure aimed at boosting free movement of people and trade to rival Europe’s Schengen zone.

President Paul Kagame made the announcement in the Rwandan capital, Kigali, where he pitched the potential of Africa as “a unified tourism destination” for a continent that still relies on 60% of its tourists from outside Africa, according to data from the United Nations Economic Commission for Africa.

“Any African, can get on a plane to Rwanda whenever they wish and they will not pay a thing to enter our country” said Kagame during the 23rd Global Summit of the World Travel and Tourism Council.

“We should not lose sight of our own continental market," he said. "Africans are the future of global tourism as our middle class continues to grow at a fast pace in the decades to come."

Once implemented, Rwanda will become the fourth African country to remove travel restrictions for Africans. Other countries that have waived visas to African nationals are Gambia, Benin and Seychelles.

Kenya’s President William Ruto announced Monday plans to allow all Africans to travel to the East African nation visa-free by December 31.

“Visa restrictions amongst ourselves is working against us. When people cannot travel, business people cannot travel, entrepreneurs cannot travel we all become net losers” said Ruto at an international summit in Congo Brazzaville.

The African Union in 2016 launched an African passport with much fanfare, saying it would rival the European Union model in “unleashing the potential of the continent.” However, only diplomats and AU officials have been issued the travel document so far.

The African Passport and free movement of people is "aimed at removing restrictions on Africans ability to travel, work and live within their own continent,” The AU says on its website.

AU also launched the the African Continental Free Trade Area, a continent-wide free trade area estimated to be worth $3.4 trillion, which aims to create a single unified market for the continent’s 1.3 billion people and to boost economic development.
 
Kwani Tanzania kuna jambo gani very special kuliko Kenya na Rwanda? Mnapenda kujitanganya ndio maana akili za waTanzania zimekuwa finyu.
Nchi ambayo wananchi wake wanapenda kujifungia ndani bila lolote la maana wanachokifanya.
Tuna nchi yetu na yenye ardhi ya rutuba ,tunaweza tukalima na kuilisha dunia nzima. Misitu ya kutosha yaani kwa kifupi hatuhitaji undugu ama kujikomba kwaa majirani
 
Kwani Tanzania kuna jambo gani very special kuliko Kenya na Rwanda? Mnapenda kujitanganya ndio maana akili za waTanzania zimekuwa finyu...

Kitu ambacho ni special huwezi kukuta Kenya na Rwanda ni Ardhi kubwa yenye rutuba na maliasili Kama madini, mlima Kilimanjaro , ngorongoro crater , Serengeti nk

Hivi ni vitu muhimu sana duniani na vya kipekee.

Na tangu dunia imeumbwa Tanzania ipo eneo muhimu sana ( strategic located) katika ukanda huu wa afrika huku nchi zote za afrika ya Mashariki na Kati zikitegemea Tanzania kwa namna ya kipekee .
 
Back
Top Bottom