Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,192
- 10,926
Mpaka nikiandika mataifa yaliyokarisha uhusiano na Israel yamefikia 9. Kwa unyama inaofanya taifa hilo hasa kuuwa watoto ikifika kesho jioni watakaokuwa wamebaki watakuwa ni wachache.
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hazikuwa na mafungamano na taifa hilo ovu mpaka baada ya miaka mitatu iliyopita.
Uamuzi wa serikali zilizopita ulikuwa sahihi.Huenda wangekuwa hai viongozi wa mwanzo wa taifa hili maarufu kwa kupigania haki za wanyonge basi Tanzania ingekuwa kati ya nchi za mwanzo kufunga ubalozi wake mjini Tel Aviv.
Mataifa yaliyokatisha mahusiano hayo ninayoyakumbuka kwa haraka ni Bolivia,Lebanon,Turkiye,Afrika Kusini,Jordan na kuendelea.
Kwa kiburi ilichonacho Israel na kukataa kusikiliza nasaha za ulimwengu mzima, kukatisha uhusiano ni jambo dogo hata hivyo ni kuonesha moyo na huruma kwa maelfu ya watoto na wanawake wanaouliwa huko Palestina.
Kilichotakiwa hasa ni mataifa kutuma vikosi vyao chini ya UN kwenda kuwapiga Israel ili waache kuuwa watu kama shetani.