Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan hivi karibuni imeanza kazi ya majaribio ya mitambo ya kupeleka maji machafu ya nyuklia baharini. Baada ya kumalizika kwa majaribio hayo, Japan inatarajia kuanza rasmi mpango wake wa kutupa maji machafu ya nyukilia kwenye bahari ya Pasifiki.
Mwaka 2011...
Kwa wanaojua namna CCM ilivyofilisika kulhali na ilivyoshinda kwa mbinde 2015 kwa kutumia sifa nzuri za John Pombe Magufuli kama mchapakazi wa kupigiwa mfano, itakuwaje mwakani tena baada ya kuuza bandari yetu?
Je, CCM baada ya kuanza kubomoa mema ya Magufuli watatoboa kweli?
Kwa uongozi huu...
Jirani anatapa tapa!!
Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili...
Juni 15, 2023 ilikuwa siku ya bajeti kwa nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo nchi za Tanzania, Kenya, Uganda , Rwanda, Burundi, DRC na Sudan Kusini ziliwasilisha makadirio ya bajeti zao kwa mwaka wa fedha 2023/24
Tanzania
Katika bajeti yake, Tanzania imezingatia kuwekeza zaidi...
Kama wenye nchi ni wananchi kwanini tunaaminishwa tunaweza kuendesha nchi lakini watu hao hao wanaotambia nchi inaenda vizuri wanashindwa kuendesha bandari?
Kwanini waziri mwenye dhamana anakiri bungeni kwamba yeye na watendaji wameshindwa kuendesha bandari na bado anaendelea kubaki ofisini...
Naona mnakomaa kulewa Pombe kali huku mkishinda mnacheza kamari.
Hii ni dalili kuwa Watanzania mmekata tamaa na mmeacha wanaoiba mali zenu wawaibie wanavyotaka
Hivi mnadhani hii ndio suluhu. Mbona Ndugai aliwapa angalizo kuwa nchi itapigwa mnada mkapuuza au sio nyie?
Nimekuwa nafuatilia mijadala na vikao mbalimbali vya bunge letu hata wawapo majimboni hawatetei nchi wala wananchi ambao kimsingi wanawawakilisha. Muda wote wanamsifia mama Samia. Wote ni chawa ukiwatoa wawili tu Mhe. Luhaga Mpina na Sanga wa Makete angalau unawasikia wanaongea nini na...
Ipo video inatembea Youtube inayoonyesha namna serikali ya Rwanda ilivyofungua bandari kavu tayari kwa ajili ya mzigo wa DP World. Tayari kwa ajili ya biashara ya kuweka mzigo unaokuja bandari ya Dar na kwenda Dubai.
Mwarabu alijipanga siku nyingi sana. Hii ni biashara iliyoanza tangu miaka...
Ifuatayo ni orodha ya nchi 10 za kiafrika zenye dola millionaire wengi.
===============
Top 10 countries in Africa with the highest number of millionaires in 2023
Business Insider Africa presents the top 10 countries in Africa with the highest number of millionaires in 2023.
This list is...
Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.
Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.
Mfano...
Katika mkutano wake hivi karibuni na viongozi wa bandari, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alitoa taarifa kwamba Zanzibar haikuwemo katika mkataba uliosainiwa kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji katika bandari. Sababu ya kutolewa taarifa hii ni kwamba...
Pesa ambayo Mama Samia meipeleka kwa wananchi tangu aingie madarakani ni pesa nyingi Sana. Amejenga madarasa, vituo vya afya, ameanzisha utaratibu Wa kupeleka mil 500 kila jimbo kwa ajili ya Maendeleo ya barabara, ameinua uchumi wetu, amerejesha siasa za ushindani na demokrasia, maslahi ya...
Habari Mkuu!
Ilikuwa ndoto yangu kubwa kuwa mwekezaji mkubwa katika taifa langu. Ndoto hiyo ya muda mrefu sasa inaenda kutimia.
Miaka miwili iliyopita nilikuwa kwenye Project moja ambayo inaendeshwa na Taifa la Marekani. Hapo ndipo nilikutana na pass ya wazi kabisa Baada ya kuonana na Skyler...
Dunia inaenda kasi sana kwenye swala la maendeleo ya teknologia.
tumekuwa tukishuhudia ongezeko kubwa sana la uanzilishaji na uendelezaji wa teknologia, pamoja na kuwa maendeleo haya yameshuhudiwa zaidi kwa nchi za dunia ya kwanza pia sisi bara la afrika hatujaachwa mbali maendeleo haya...
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amesema mkataba wa kuwakabidhi bandari baina ya Tanzania na Dubai ni swala nyeti (very seriously) ndiyo maana limepelekwa bungeni.
Akiongea club house amesema kitendo cha mkataba huo kupelekwa bungeni kinaashiria unyeti wake na athari ya mkataba...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Australia inaitambua Nchi ya United Arab Emirates ambayo ndani yake yapo majimbo saba : Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Ajman, Umm Al-Quwain na Fujairah huku jimbo la saba la Ras Al Khaimah ilijiunga na Shirikisho la UAE mwaka 1972. Huku mji mkuu wa nchi ya UAE ikiwa...
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?
Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata...
Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.
Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.