nchi

  1. Hiki ndiyo kipimo kidogo cha viongozi wa nchi husika kama wana upeo mkubwa

    Ukienda kwenye nchi yeyote kipimo cha haraka haraka ili ujue viongozi wao wana akili ya kuona mbali angalia mipango miji Mfano kama umeenda western countries, china, japan, au gulf countries kwa mara ya kwanza kabisa kitu ambacho kitavutia macho yako ni jinsi miji yao ilivyopangiliwa na kila...
  2. Viongozi wa Serikali Wana nia ya kulitoa nchi kwenye umaskini?

    Wakati mwingine nahisi kukasirika! Hivi ni kweli viongozi wetu wanachukizwa na umaskini uliopo nchini? Angalia posho wanazolipana! Zinaendana na hali ya kiuchumi ya nchi? Angalia magari ya anasa wanayoyanunua kwa ajili ya matumizi ya watumishi wa Serikali! Wangeyanunuua kama wangetakiwa...
  3. M

    Wabunge wamevuka mto kichawi kwa kuruka na ungo, harafu wanarudi nyuma kujenga daraja!!

    Mkataba staili ya MANGUNGO unawasuta!! Dhamiri zinawasuta!! Wanakula lakini hawashibi!! wanacheka lakini hawana furaha!!! KISA: Watanzania wamewagundua walivyoridhia mkataba wa kuuza bandari zetu kwa bei ya bure tena kinyume kabisa na sheria zetu zilizopo!! Sasa wanajipanga kurekebisha sheria...
  4. R

    Tundu Lissu: Magufuli alitufanyia mambo mabaya lakini hakufanya biashara na Rasilimali za Nchi

    Lissu alipokuwa katika mkutano wa hadhara Kisarawe jana 9/7/2023 alisema, Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya, aliongoza nchi kama mali yake binafsi, lakini asisingiziwe kwenye kufanya biashara na Raslimali za nchi yetu kama alivyofanya Mwinyi, Mkapa au Kikwete, na kwamba aliwavuruga...
  5. I

    Zijue nchi sita tajiri katika Afrika wakati Pato la jimbo la California linazidi pato lote la Afrika

    Hii ni orodha ya nchi sita zenye pato kubwa katika Afrika na nchi maskini sana katika Afrika. https://a-z-animals.com/blog/richest-countries-in-africa-today-ranked/ Did you know that the highest state Gross Domestic Product (GDP) in the United States measures greater than the highest country...
  6. Swali: Je, Tanzania ni nchi ya Wajinga?

    Habari! Je, Tanzania ni nchi ya Wajinga? Je, ni wananchi ndio Wajinga au viongozi ndiyo wajinga? Leo ni miaka 62 tangu tumpoke Mwingereza Tanganyika lakini jiji kubwa la Dar es Salaam bado kuna mitaa hakuna maji safi na salama. Leo hii barabara za kuunganisha wilaya na mikoa yake nyingi ni za...
  7. Naona wazi kabisa kukiwa na nchi ya Tanganyika Demokrasia itakuwa ni ndogo sana, nchi itaongozwa kimuseveni kwa mabavu zaidi

    Mzanibari pamoja na makando kando yake ila akiingia huwa kuna unafuu katika demokrwasia (hatujawai kuwa na demokrasia kamili) Tunapotoka kwenye awamu za uminyaji wa demokrasia basi mzanzibari akiingia ndio tunapata nafuu ya demokrasia kuanzia uhuru wa kutoa maoni, Vyama vya upinzani hupewa...
  8. S

    Ni muda muafaka kupeleka hoja ya kuwa na serikali ya Tanganyika

    Kutokana na hali na upepo wa kisiasa, natumaini kwa wabunge wa Tanganyika huu ni Muda muafaka wa kupeleka hoja ya kubadili katiba na kuanzisha serikali ya Tanganyika na kuanzisha vifungu vya kulinda maliasili za watanganyika . That said, Rais JM Kikwete apewe muda wa kuongoza serikali ya...
  9. Jinsi uchumi wa nchi unavyoathiriwa na biashara ya bodaboda

    Salaam wadau. Leo ningependa kuelezea jinsi gani uchumi wa nchi unavyo/takavyoathiriwa na biashara ya bodaboda. Biashara hii inayokua kwa kasi kila uchao imekua ni kimbilio la vijana wengi wanaotafuta maisha hasa kutokana na ukweli kua ni biashara rahisi isiyohitaji mtaji na nguvu kazi kubwa...
  10. Tunaweza mlaumu sana Rais Samia kwa hili, lakini hii nchi iliharibiwa sana na watangulizi wake, ni ile tu ukweli hausemwi

    Wakuu umofia kwenu. Niende moja kwa moja kwenye Mada... Nianze na lawama kwa watu wa serikali, na hasa kina Msigwa, kukwepa wajibu wao wa kusema ukweli, badala yake wanalipa hela nyingi wapiga porojo( nazungumzia hili la DP world) Tanzania nchi yetu kwa bahati mbaya sana ni nchi yenye...
  11. SoC03 Shairi: Ustawi Wa Taifa Kupitia Utawala Wa Sheria Na Usalama Wa Nchi

    Shairi: USTAWI WA TAIFA KUPITIA UTAWALA WA SHERIA NA USALAMA WA NCHI Imeandikwa na: MwlRCT Shairi hili linazungumzia jinsi utawala wa sheria na usalama wa nchi vinavyochangia ustawi wa taifa. Lina kusudi la kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu mambo haya. Linatumia dhana za utawala wa sheria...
  12. Kwa tulipofikia ni bora serikali yote ijiuzulu na uitishwe uchaguzi kabla ya 2025 ili kupata serikali itayoipelekea nchi yetu mahali sahihi

    Ni wazi kuwa serikali ya sasa imeamua kuchukua maamuzi ambayo yamekosa ushauri na mwongozi sahihi. Kuna masuala kadhaa: 1. Mkataba wa bandari za Tanzania Bara na kampuni ya kimataifa ya DP world umewahishwa sana. NI wazi kuwa kulikuwa na mijadala kuhusu "terms" za mkataba hadi umauti...
  13. WHO yaongeza Nchi 9 za Afrika zitakazopokea Chanjo ya Malaria

    Nchi zilizotajwa ni pamoja na Benin, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Liberia, Niger, Sierra Leone na Uganda ambazo zitaungana na Ghana, Kenya na Malawi zilizoanza kupokea Chanjo hiyo. Taarifa ya Shirika la Afya Duniani imesema jumla ya Chanjo Milioni 18...
  14. Vitendo vya kihalifu nchini tishio kwa usalama wa raia na mali zao

    Ukatili na matendo ya unyang'anyi kama vile panyaroad, tatu mzuka na uhalifu wa aina nyingine nchini tayari ni tishio kwa usalama wa raia na mali zao. Hatua za kuudhibiti naona ni kama zinaenda kwa zimamoto huku vijana wengi wakizidi kujiingiza kwenye u-panya road, tatu mzuka, na matendo...
  15. Nchi za Afrika zinazoongoza kufanya mapenzi

    Top 10 sexually active African countries 1)- Burkina Faso🇧🇫 2)- Cameroon 🇨🇲 3)- Uganda 🇺🇬 4)- Gabon 🇬🇦 5)- Zambia 🇿🇲 6)- Senegal 🇸🇳 7)-Nigeria 🇳🇬 8)-Sao Tome Principe 🇸🇹 9)-Republic of Congo 🇨🇬 10)-Tanzania 🇹🇿 Source: Top 10 sexually active African countries
  16. M

    Serikali imependekeza Sheria zinazolinda Maliasili na Kuikinga Nchi na Mikataba Mibovu zisitumike kwa DP World

    Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️ Angalieni Muswada wa The Written Laws (Misc Amendment) No. 2 Bill, 2023 umesomwa kwa mara ya...
  17. CHADEMA kama mnataka tuwaamini ili tuwape nchi wekeni hapa mkataba wa uhusiano wenu na NGO ya Kijerumani The Konrad Adenauer Stiftung (KAS)

    Mwaka 2004 CHADEMA iliingia ubia na NGO ya Kijerumani The Konrad Adenauer Stiftung (KAS) ili iwajengee uwezo wa kisiasa, kiutawala na kiufundi (technical assistance including capacity building for local leaders, programmatic support and structural coordination). TUWEKEENI HUO MKTABA HAPA WA UBIA
  18. S

    Rais wangu Samia, 'Tanzania Mainland' ni nchi gani?

    Leo wakati Rais Samia akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya kusaidia bajeti kuu ya Serikali kutoka umoja wa Ulaya wakati wa kutambulisha mawaziri wake amewaita mawaziri wa Tanzania bara, nauliza kuna mawaziri wa Tanzania bara? Kuna Serikali ngapi ndani ya nchi hii? Na...
  19. M

    Nchi hii ushindwe tu Mwenyewe kutafuta chimbo la hela. Jiite tu Nabii

    Hapo ni Stand ya daladala Mbezi Louis kwenye foleni ya kusubiria Mwendokasi ya Kariakoo, huyu mwamba kila siku anawahi na spika yake na mic anapiga neno kisha anatembeza bakuli lake la sadaka. Tatizo hapo jirani kuna foleni nyingine ya mwendokasi ya kwenda Kivukoni ambapo napo kuna Mtaalam...
  20. Kuna siri gani kwenda Pre-Season nje ya nchi kwa timu masikini?

    Tanzania hakuna timu tajiri, timu nyingi kama sio zote hazina misuli ya fedha za kusajili wachezaji wazuri sana na mabenchi ya ufundi class ya juu. Timu nyingi zinashindwa kuwalipa makocha na wachezaji signing fees zao na mishahara kwa wakati, wachezaji hawana bima na hazina viwanja vyao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…