nchi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nchi inaweza kuendelea kwa viongozi kuzunguka Duniani kuomba fedha?

    Mjadala mkubwa ulipo mtaani sasa hivi ni kuhusu viongozi wetu kutamka kwenye majukwaa kwamba wanazunguka Duniani kutafuta pesa kwaajili yetu; wengi wanajiuliza hizo pesa tunazopewa huko nje zinatokana na nini? Kwamba wenzetu wafanyakazi kwa bidii kwa ajili ya kutupa fedha sisi? Je tunapopewa...
  2. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Kila ukiamka usisahau kuiombea Nchi yako

    Unapo amka kila asubuhi muombe mungu pia ainusuru nchi yako na machafuko, na viongozi uchwala, na viongozi wajinga ✍️✍️✍️ Good Morning Guys
  3. M

    JamiiForums Tanzania Muungano ni kati ya nchi ya Tanganyika na Zanzibar, kama Zanzibar ipo Tanganyika ipo wapi?

    Mwaka 1964 nchi ya Tanganyika iliungana na nchi ya Zanzibar na kuzaa nchi ya Tanzania. Nilitarajia muungano ule ungezifuta nchi zote mbili yaani nchi ya Zanzibar na nchi ya Tanganyika ili kuwe na nchi moja tu ya Tanzania. Kinachoshangaza kwa muungano huu ni uwepo wa nchi ya Zanzibar na kutoweka...
  4. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi iliyojaa viongozi (wanasiasa) wasio wazalendo

    Tanzania imejaa na viongozi wafuatao.... 1. Viongozi Wabinafsi wasiowakumbuka wananchi ambao ndio waliwapeleka huko bungeni na kupata vyeo vingine. 2. Viongozi ambao hawapendi kusema ukweli, na raia wakiomba kuambiwa ukweli wanaonekana kama wakosaji na wavunja amani. 3. Viongozi ambao wana...
  5. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa ajili ya safari ya kitalii Afrika

    Tafadhali naomba mchango wako wa mawazo! Nimekuwa nikitamani sana kuzitembelea baadhi ya nchi za Afrika ambazo bado sijafika. Ninatarajia kutimiza sehemu ya hiyo hiyo ndoto hapo baadaye mwaka huu. Ninatarajia kutembelea alau nchi nne, kama bajeti itaruhusu, nazo ni AFRIKA KUSINI, BOTSWANA...
  6. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Usemi uliovuma wa "China ni rafiki wa nchi za Afrika" ulipotelea wapi?

    Nakumbuka kuna kipindi hapo miaka si mingi iliyopita watu wengi walikuwa wanaisifia China ndio rafiki wa dhati wa nchi za Africa. Mara ikawa kimya hasifiwi tena, ningependa kujua nini kilisababisha
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi nyingine zenye matamasha kama haya ya Yanga na Simba day?

    Poleni na heka heka za weekend. Watu wengine watakuwa hoi bin taabani,wengine ndio kwanza kunakucha na safari za kurudi walikotoka baada ya tamasha la leo pa Simba tarehe 6 aug 2023. Kesho sijui kama kazi zitafanyika ni mwendo wa kusinzia tu maofisini na kuparaza paraza tu mafaili mradi muda...
  8. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kwanini demokrasia ya vitabuni haina mchango kwa nchi kutoka kwenye umasikini na kupata maendeleo?

    Swali ubaoni: Kwa nini demokrasia ya vitabuni haina mchango kwa nchi kupata maendeleo ya kiuchumi kutoka katika hali duni( umasikini ) kwenda hali bora ? Mifano: Russia U.S.A Europe Arab nation's China Korea Japan Singapore Taiwan Turkey Iran and so on.
  9. Shark

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nchi anafahamu tulifika Fainali Michuano ya CAF 1993, We Nani ubishe??

    Katika hotuba yake kwenye siku ya Simba Day 06 Aug 2023, Rais wa Nchi Mama Samiah Suluhu amesema anafahamu tulifika Fainali Michuano ya CAF mwaka 1993 na Robo fainali Msimu ulioisha. Sasa wewe Uto endelea kubisha na kuita sijui Abiola Cup. Kwanza unaweza kushitakiwa kwa uhainin Kwa kuonekana...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamalanga Amsifu Rais Samia Kuifungua nchi Kibiashara

    Viongozi wa dini wamemsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuifungua nchi kibiashara kwa kuwajengea wote wenye nia ya biashara kuingia kufanya hivyo, huku akiondoa vikwazo vinavyonyima fursa. Akizungumza kwa niaba ya viongozi wenzake, Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Masheikh ya...
  11. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hii ni nchi gani ambayo maghorofa yanafika hadi mawinguni?

    Mniambie kwa kina nisije kuwa nimepigwa na kitu kizito. Ni kweli kuna nchi ina majengo marefu kiasi kwamba yapite usawa wa Mawingu😅😅 Kuna watu wanamchokoza Mungu, tusije letewa yale yale ya mnara wa Babeli
  12. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza toka 1979 Tanzania inapata uhaba wa pesa za kigeni bila ya kuwa vitani

    Mwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali. Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na...
  13. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Hii nchi wanavituko mno!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Aisee leo nikasema imefika wakati sasa niwe na akaunti huko X au zamani kama "Twitter". Nilipanga nitumie jina langu la UMUGHAKA lakini baada ya kutaipu hilo jina nimekuta mavijana ya ovyo kibao ya hapa JF yameshalitumia hilo jina😂😂,Daaah hatari sana...
  14. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Watanzania, ni muda umefika wa kumpa nchi Tundu lisu, hatuhitaji kupoteza muda tena, Tutajikuta mateka!

    Ukweli usiopingika, watanzania wanyonge wananyongwa haswaa ili tu kufanikisha misheni za wana ccm wachache, bora hata kipindi cha mwendazake wanyonge walithaminiwa, Nachukulia mfano mdogo tu wa juzi juzi ndio uone kabisa, ccm inawatafuna watanzania, Hivi majuzi, tarifa kupitia ITV...
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania CCM imeamua kuuza nchi harakaharaka kabla hawajatolewa madarakani 2025

    Umofia kwenu ... Tukianza na Lolliondo ambapo UAE wameshapamiliki na panasomeka ni eneo lao..... Wamasai wamelazimishwa kuondoshwa kwa nguvu na kisiasa Songosongo ilitumika kuokoa maisha ya prince. Sasa tunapangiwa mpaka bei ya gesi Vitalu vya uwindaji vimegeuzwa arena za kutorosha wanyama na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Wagagagigikoko

    Nchi hii kwa kweli inafurahisha sana. Yaani kuna baadhi ya watu wanajiona wana akili sana kuliko wenzao, simply kwa sababu anaweza kuingia mtandanoni na kuweka mawazo yake humo, huku akijiaminisha kwamba watu wote ni wajinga kama yeye. Hebu ona sinema hii; mjuaji mmoja wao hao wajuaji...
  17. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania Je, Japan ndiyo nchi inayoongoza kwa kuthamini Utu na Ubinadamu?

    Anaandika KENGE, Katika ulimwengu wa sasa upendo umeingia doa,Upendo hakuna tena,Visa vya ukatili haviishi.Dharau,Majungu na najigambo kuanzia kwa mtu mmoja kwa mwingine(Individually) mpaka mataifa kwa mataifa(internationally).Mataifa yamekosa utu na kuviziana,kupigana na kuuana imekuwa kama...
  18. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

    Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu. Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba 1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi 2. Rais na Makamu wake...
  19. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Je, Afrika yenye utajiri mwingi inakuwaje bara maskini zaidi duniani?

    Je, Afrika yenye utajiri mwingi, inakuwaje bara maskini zaidi duniani, anauliza Captain Ibrahim Traore Raisi wa mpito wa Burkina faso. Captain Ibrahim Traore ni Raisi wa mpito wa Burkina Faso baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi akiwa na umri wa miaka 35 tu. Rais huyu wa mpito wa Burkina Faso...
  20. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kwani CHADEMA huo mkutano ni kongamano la injili? Mnajiharibia

    KWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI? Na Thadei Ole Mushi. Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya. 1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini. 2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu. 4. Wengine...
Back
Top Bottom