nchi

  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Marekani inanufaikaje na misaada inayoipatia nchi maskini?

    Marekani ni nchi tajiri, hiyo inafahamika! Pamoja na hayo, bado kuna raia wake wasiokuwa na makazi wala chakula, ambao wanaishi kwa kuomba omba. Lakini ndiyo nchi inayoongoza dunianai kwa kutoa misaada. Nini sababu ya Marekani kuzisaidia nchi zingine wakati kuna raia wake wanaohitaji...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Makonda hatoboi. Kauli zake zinawaudhi "wenye nchi"

    Kama unadhani wananhi wote tuna hadhi na haki sawa unajidanganya. Nchi hii Ina wenyewe na kila anayetaka kuwa kiongozi ni lazima akubalike na hawa watu. Makonda katoa kauli zinazowakwaza na kuwachokonoa wenye nchi. Kauli kama "hata nishikiwe bastola sitamakana Magufuli", "kama umestaafu kaa...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Hivi green guard ni jeshi usu? Kwanini mnapigia saluti Makonda na kuvunja sheria za nchi?

    Eti mnapiga saluti kama askari wa majeshi yetu. Acheni uduanzi wa kuvunja sheria za nchi. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa inazuia kuunda vikundi kama green guard.
  4. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nchi kumi za kutembelea katika kipindi cha miaka mitano

    Umepanga kutembelea nchi ngapi katika kipindi cha miaka 5 ijayo? Binafsi, ninapenda sana kusafiri, lakini kwa sababu ya kiwango cha kipato, bado sijazimaliza hata nchi za Afrika Mashariki. Mpaka sasa, nchi nilizokwishatia miguu yangu ni Kenya, Uganda na Burundi. Ikimpendeza Mungu, mwishoni...
  5. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Ari Shebet: Hakuna ladha ya kuishi katika Nchi hii ya Israel

    Ni mwandishi wa gazeti la Haaretz Allah ajaalie ushindi kwa Ndugu zetu wapalestina Moderator ,nawaombeni sana, msifute au kuhamisha nyuzi zangu, mmezidi sasa! Kila nikianzisha thread za maovu/uhalifu wa MAZAYUNI mnakimbilia kuuondoa au kuupeleka kwingine, leo nimeleta taarifa ya maovu...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nchi hii ni bora ukutwe na madawa ya kulevya ila sio maini ya swala

    Haya , huyu nae kala miaka 20 Jela kwa kukutwa na maini ya Swala aliyoyanunua kwa shs.1,000/= Mwingine miaka 22 https://www.jamiiforums.com/threads/picha-ya-uso-wa-mtu-aliekata-tamaa-ya-kuishi-baada-ya-kuhukumiwa-miaka-22-jela.2155829/
  7. Patriot

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, itazame nchi kwa umoja wake. Ukabila na upendeleo unashika kasi ukiwepo

    Kila aliyesikiliza mjadala wa ripoti ya CAG na majawabu ya mawaziri, ameelewa wazi kwamba mawaziri wanahusika na wizi huo. Kama wasingehusika, ingekuwa ni taharuki maana hakuna anayetaka kuibiwa. Pamoja na kuhusika ktk wizi, yaonekana wapo ktk nafasi kwa urafiki binafsi na rais, na kuna...
  8. Life2

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya vyombo husika kuchunguza zile kambi za Simba nje ya nchi

    Huu ni ushauri tu kwa vyombo husika vinajifahamu siwezi kuvitaja hapa. Ila kwa kifupi kuna haja ya kuchunguza zile kambi za nje za Simba wanaenda kwa minajili gani, tunaelewa humu kwenye football kuna uovu mwingi sana umejificha kama vile, Kamari, Rushwa, Upangaji wa matokeo na pia biashara...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Labda ni mtazamo wangu ila naiona Tanzania ni nchi isiyokua na yenye kuzorota kadri miaka inavyosonga mbele

    Achilia mbali ongezeko la idadi ya watu, Tanzania ni nchi ya ajabu kwenye karibia nyanja zote inachechemea, mfano viongozi wenye kumbukumbu za kitaifa toka uhuru ni mabubu, mazezeta, wanapigwa mkwara na vigedere vya juzijuzi. Taasisi za muhimu zimekuwa machawa, nyanja za uchumi uwezo wa kifedha...
  10. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Bundle TZ Jameni acheni kulalamika oneni nchi zingine😂😂😂

  11. M

    JamiiForums Tanzania Tuiombee nchi ya Israel: Haikanushiki kuwa Israel ni Taifa teule la Mungu. Hii haina maana kuwa Waisrael wote hawana makosa, tuwaombee

    Tatizo la msingi la Wayahudi ni kauli yao hii waliyoisema juu ya Yesu: Math 27:25. Wakasema damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu! Tuwaombee Mungu awape kutubu na kupokea rehema. Natamani Mungu awajalie kutubu kama taifa la NINAWI lilivyotubu kwa mahubiri ya Nabii Yona!
  12. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi na uvunjaji mkubwa wa sheria

    Ukitaka kujua nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi mkubwa na uvunjaji wa sheria angalia mambo haya mawili tu yaliyopigiwa kelele sana na wananchi. Kwanza kuna wale wabunge 19 wa chadema waliyotimuliwa uanachama na chama chao. Utaratibu tunaoujua tanzania mbunge akitimuliwa uanachama na chama...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi Afrika, Jijini Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi ya Afrika, Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=SJN3jOLB9G8 === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mahakama za nchi za Kiafrika ni bure kabisa, hakuna kitu!

    Huu upumbavu wa uonevu kwa double standards za kisheria utaendelea hadi lini? Bora kichaa au mlevi asimamie kesi kuliko Mahakama za Africa. Mwizi au mbadhirifu wa billioni 12 anasomewa hukumu yenye upenyo wa faini kiduchu, wakati anayekutwa na nyara ya hovyo tena nyara ya kutibu njaa yenye...
  15. L

    JamiiForums Tanzania CIIE ni jukwaa bora kwa nchi za Afrika zilizojiunga na BRI kuingia kwenye soko la China

    Kutoka mpunga chotara hadi nyasi za juncao, kutoka maeneo ya kielelezo ya kilimo hadi vijiji vya kielelezo vya kuondokana na umaskini... katika miaka ya hivi karibuni, China na Afrika zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kilimo kutokana na msukumo wa mifumo mbalimbali kama vile Pendekezo la...
  16. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Mbali na kura za UN kupinga uvamizi wa wayahudi huko Gaza, Israel hajali, Kwani hii nchi ya Wayahudi inanguvu kiasi gani?

    Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie kati, kwa sababu ya uswahiba wa nchi hii ya kiyahudi na US, lakini wapi, Israeli ni nani? Hata...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nchi nyingi zakatisha mahusiano na Israel. China waifuta kabisa kwenye ramani. Tanzania tufuatie

    Mpaka nikiandika mataifa yaliyokarisha uhusiano na Israel yamefikia 9. Kwa unyama inaofanya taifa hilo hasa kuuwa watoto ikifika kesho jioni watakaokuwa wamebaki watakuwa ni wachache. Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hazikuwa na mafungamano na taifa hilo ovu mpaka baada ya miaka mitatu...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro unaonekana Ofisi Za chama fulani cha upinzani Kilikoni?

    CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi. Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM. Cha kushangaza zaidi leo jumapili...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mambo haya ndio yanaidharaulisha Nchi yetu hadi kuonekana imekufa

    Kumpamba mtu ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili , achilia mbali Netball, ni sawa na kumkejeli . Mwenyekiti wa CCM ana maeneo mengi sana ya kumsifia, UWT, UVCCM, LUMUMBA, CHIMWAGA na KIZIMKAZI, hakuna haja ya kuleta ujinga huu ndani ya viwanja vya soka ambavyo wamo watanzania wengi ( 80%...
  20. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Hakuna Kiongozi Mbovu nchi hii kwa sasa kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nikamatwe niwekwe lokapu,nikitoka nitakuwa na adabu na nitaanza kusalimia! Kama kuna mambo yanafanya kama Taifa tusisonge mbele ni kubarikiwa kuwa na watu wapumbavu wa viwango vya juu kuliko maelezo! Sijajua ni nani amesmshauri kufanya ujinga anaoendelea...
Back
Top Bottom