Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,956
4,149
Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika.

Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani?

Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana.

Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Iran.

Naomba kujua, mafunzo ya kijeshi jeshi la Israel hupata kutoka jeshi la nchi gani?

Je, tuna nchi ambayo hupewa mafunzo na jeshi la Israel kwa sasa? Jeshi hilo ni mahiri kiasi gani katika medeni za kivita?

Ni taifa dogo na lenye watu wachache, cha ajabu ndio taifa linaloogopeka zaidi Duniani.

Ni taifa lenye jeshi imara zaidi ya nchi kama Iran, Saudi Arabia, brazil, na hata North Korea n.k

Africa tuna kwama wapi?

Mfano kama Nchi yangu Tanzania!

Hatujisikii aibu kuwa na nchi kuuubwa, lakini hatuwezi kabisa kuwa kwenye position kama hizo?

Mimi napenda mashindano siku zote, huwa sipendi kuachwa nyuma, ndivyo ninavyojisikia wivu nchi yangu kuwa nyuma kiasi vile.

Tutafikia lini hapo? Kiasi cha kumkoromea hata Marekani, china, urusi na hata nchi yoyote?
 
Cabinet yao imeshapiga kura wamempa Netanyau mamlaka ya kufanya chochote bila consultation with the cabinet.

Netanyau ana hasira sana na ameaibishwa sana, hatujui atafanya kitu gani ila lazima anataka kuwaaminisha wayahudi kwamba hata kama intelijensia yake imefeli pakubwa, bado ni mtu mwenye uwezo kuliokoa taifa. hamas wamefanya timing mbaya walitakiwa wasubiri wajijenge kwanza na wawe na sapoti ya mataifa ya nje kama iran.

Wao wameyatimba peke yao, hadi sasa ni wengi mno wamekufa pamojana kurukaruka kama mabaunsa wa mbagala vile.
 
cabinet yao imeshapiga kura wamempa Netanyau mamlaka ya kufanya chochote bila consultation with the cabinet. Netanyau ana hasira sana na ameaibishwa sana, hatujui atafanya kitu gani ila lazima anataka kuwaaminisha wayahudi kwamba hata kama intelijensia yake imefeli pakubwa, bado ni mtu mwenye uwezo kuliokoa taifa. hamas wamefanya timing mbaya walitakiwa wasubiri wajijenge kwanza na wawe na sapoti ya mataifa ya nje kama iran.

Wao wameyatimba peke yao, hadi sasa ni wengi mno wamekufa pamojana kurukaruka kama mabaunsa wa mbagala vile.
Lakini mwisho wa siku watabaki kama moja ya mataifa walioivamia Israel na kumteka jenerali wa Israel! Wape credit.
 
cabinet yao imeshapiga kura wamempa Netanyau mamlaka ya kufanya chochote bila consultation with the cabinet. Netanyau ana hasira sana na ameaibishwa sana,hatujui atafanya kitu gani ila lazima anataka kuwaaminisha wayahudi kwamba hata kama intelijensia yake imefeli pakubwa, bado ni mtu mwenye uwezo kuliokoa taifa. hamas wamefanya timing mbaya walitakiwa wasubiri wajijenge kwanza na wawe na sapoti ya mataifa ya nje kama iran. wao wameyatimba peke yao, hadi sasa ni wengi mno wamekufa pamojana kurukaruka kama mabaunsa wa mbagala vile.
HAMAS wapigwe mpaka wachakae japo itaenda sambamba na kupotezwa kwa maisha ya Wapalestina wengi wasio na hatia,lakini mwana kulitaka mwana kulipewa.
 
Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika!
Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani?

Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana

Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Irani

Naomba kujua, mafunzo ya kijeshi jeshi la Israel hupata kutoka jeshi la nchi gani?

Je, tuna nchi ambayo hupewa mafunzo na jeshi la Israel kwa sasa? Jeshi hilo ni mahiri kiasi gani katika medeni za kivita?

Ni taifa dogo na lenye watu wachache, cha ajabu ndio taifa linaloogopeka zaidi Duniani

Ni taifa lenye jeshi imara zaidi ya nchi kama Iran, Saudi Arabia, brazil, na hata North Korea n.k

Africa tuna kwama wapi?

Mfano kama Nchi yangu Tanzania!

Hatujisikii aibu kuwa na nchi kuuubwa, lakini hatuwezi kabisa kuwa kwenye position kama hizo?

Mimi napenda mashindano siku zote, huwa sipendi kuachwa nyuma, ndivyo ninavyojisikia wivu nchi yangu kuwa nyuma kiasi vile

Tutafikia lini hapo? Kiasi cha kumkoromea hata Marekani, china, urusi na hata nchi yoyote?
Tarehe 22 Disemba ninakwend kupata mafunzo maalum huko.
Ni nchi ya ndoto yangu
 
Back
Top Bottom