The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 324
- 910
Picha hii inajieleza mara milioni 1, kuliko maneno yangu Pichani Mmoja wa mtoto wa James Rugemalira baada ya kupata mgao wa ESCROW Mwaka 2014 alienda marekani kula bata na mwanamuziki rihana ambaye table dresing anatumia dola laki 3 kwa mwezi ambazo sawa na takribani zaid ys milioni 500 kwa mwezi.
Wakati mtoto huyu wa James Rugemalira aliyepata mgao huu wa mabilioni ya fedha na kwenda kula raha USA na rihana kule kwenu, Tarime, Kigoma, na Bukoba, kwa wahaya wananchi walikamatwa na kupolwa mali zao zikiwemo mbuzi,kuku na ng'ombe kwa ajili ya mchango wa serikali yani maabara.na sio bukoba, tarime,na Kigoma tu bali ni nchi nzima msako huu wa ubabe wa michango ya sekondary na maabara uliendeshwa nchi zima mwaka 2014-2020
1. Mgao wa Umeme
2. Bei ya Mafuta
3. Kodi na tozo kubwa
4. Mfumuko wa bei ya vyakula
5. Rais Samia kuingiliwa na kutishwa hadharani na Vigogo wa ccm
6. Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuwekwa mfukoni na Kigogo na kushindwa kumsaidia Mhe Rais.
Nchi yangu nakupenda Sana Ila Kuna Mtandao wa Watu wachache Sana Nchi wanafaidika na Rasilimali za Watu milioni60 kweli?
Usalama wa Taifa ipo tuu na ndiyo kwanza wanatumika na hao Macartel hao wachache kwa maslahi yao,Jwtz nayo ipo ipo tuuu Wala hata hawalindi Rasilimali za Nchi kwajili ya Wananchi nao wamekuwa ni Jeshi la Kulinda maslahi ya Macartel.
Inauma saaaaana.