Kama Hamas wameweza Comfortably kujipenyeza Israel yenye Usalama wa Taifa Bora, vipi nchi zingine Afrika zinazojisifu kuwa na Usalama wa Taifa tishio?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
Ngoja sasa GENTAMYCINE nijiandae kwenda zangu Site Mapinga kujenga Nyumba za Watu ( nikiwa kama Saidia Fundi ) nikipitia njia niipendayo ya Boko Magengeni kisha naingia nayo kuelekea Mbweni Malindi kupitia Chuo cha Mafunzo Yasiyojulikana nivuke Mto Mpiji na nikatize Kiaraka kilipo Chuo cha Makomandoo hadi nifike zangu Kiembeni na mwishoni nikite Kambi katika Center maarufu ya Mchango wa Hela.

Kama Israel ina Idara ya Usalama wa Taifa tishio na mahiri duniani lakini Wajanja wa Hamas wameweza Kujipenyeza, Kujipanga, Kuratibu Nashambuliwa na kufanya Kilichofanyika vipi kwa yale Mataifa mengine ( hasa Barani Afrika ) ambayo mengine Kutwa yanatamba au Watendaji wao wa Usalama wa Taifa Wanatamba mitaani huku Wakijiamini kuwa Idara yao ni Kali na kwamba kamwe katika hizo nchi zao hakuna Adui atakayeweza Kuingia wakati kuna baadhi ya hizo nchi ( GENTAMYCINE sizijui ) kwa sasa maeneo yao Nyeti ( ya Kambi ) kumejengwa Fremu za Biashara za Kupangisha na kuna zingine hadi zina Gereji za Bajaji, Pikipiki na hata Gari.
 
......tupimane nguvu na majirani zetu....tufanye analysis nani ni adui yetu ? Akija atataka kutuharibu wapi ?hawa magaidi ndio tishio zaidi....
 
Ngoja sasa GENTAMYCINE nijiandae kwenda zangu Site Mapinga kujenga Nyumba za Watu ( nikiwa kama Saidia Fundi ) nikipitia njia niipendayo ya Boko Magengeni kisha naingia nayo kuelekea Mbweni Malindi kupitia Chuo cha Mafunzo Yasiyojulikana nivuke Mto Mpiji na nikatize Kiaraka kilipo Chuo cha Makomandoo hadi nifike zangu Kiembeni na mwishoni nikite Kambi katika Center maarufu ya Mchango wa Hela.

Kama Israel ina Idara ya Usalama wa Taifa tishio na mahiri duniani lakini Wajanja wa Hamas wameweza Kujipenyeza, Kujipanga, Kuratibu Nashambuliwa na kufanya Kilichofanyika vipi kwa yale Mataifa mengine ( hasa Barani Afrika ) ambayo mengine Kutwa yanatamba au Watendaji wao wa Usalama wa Taifa Wanatamba mitaani huku Wakijiamini kuwa Idara yao ni Kali na kwamba kamwe katika hizo nchi zao hakuna Adui atakayeweza Kuingia wakati kuna baadhi ya hizo nchi ( GENTAMYCINE sizijui ) kwa sasa maeneo yao Nyeti ( ya Kambi ) kumejengwa Fremu za Biashara za Kupangisha na kuna zingine hadi zina Gereji za Bajaji, Pikipiki na hata Gari.
bila msaada wa Waajemi/Persian/Iran Hamas hawatoboi.
 
Ni kuliwa timing tu
Ila wanajifanya ooh kuna rada kibao zinaangalia ardhi na kila mwenendo lakini zile paragliding zikapita na mitutu mpaka wanabeba na mateka

Ila afrika hakuna wazalendo wa kulinda nchi kama majirani na njaa zao ile market ilipovamiwa na watoto wao wakaanza kuvunja safe zote na kuiba hela mpaka maji ya chupa
Na hao ndio wajeda walioaminiwa walinde nchi tena majeshi yote

Mimi kwa kweli ninavyoona rushwa ikidhibitiwa kwenye nchi masikini za kujitakia basi watu wake watajali zaidi bila hivyo hata silaha adui anauziwa tu
 
Ngoja sasa GENTAMYCINE nijiandae kwenda zangu Site Mapinga kujenga Nyumba za Watu ( nikiwa kama Saidia Fundi ) nikipitia njia niipendayo ya Boko Magengeni kisha naingia nayo kuelekea Mbweni Malindi kupitia Chuo cha Mafunzo Yasiyojulikana nivuke Mto Mpiji na nikatize Kiaraka kilipo Chuo cha Makomandoo hadi nifike zangu Kiembeni na mwishoni nikite Kambi katika Center maarufu ya Mchango wa Hela.

Kama Israel ina Idara ya Usalama wa Taifa tishio na mahiri duniani lakini Wajanja wa Hamas wameweza Kujipenyeza, Kujipanga, Kuratibu Nashambuliwa na kufanya Kilichofanyika vipi kwa yale Mataifa mengine ( hasa Barani Afrika ) ambayo mengine Kutwa yanatamba au Watendaji wao wa Usalama wa Taifa Wanatamba mitaani huku Wakijiamini kuwa Idara yao ni Kali na kwamba kamwe katika hizo nchi zao hakuna Adui atakayeweza Kuingia wakati kuna baadhi ya hizo nchi ( GENTAMYCINE sizijui ) kwa sasa maeneo yao Nyeti ( ya Kambi ) kumejengwa Fremu za Biashara za Kupangisha na kuna zingine hadi zina Gereji za Bajaji, Pikipiki na hata Gari.
Kigogo hadi leo hajulikani, halafu wanajiita bora.

Labda ubora wa kuiba wake za watu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Usiwaamini waisrael, subir wakamilishe mipango yao kwanza ndo utajua Intel yao ipoje na kwann waliruhusu Yale yatokee.

Huko maitaifa ya bara lile haya hayawezi tokea ardhi ipo ya kutosha mihadarati sio issue we uza tu kikubwa top leaders wawe na parcents yaan sioni sababu ya unayoyasema kutokea
 
"Kwenye zile fremu Kuna Mambo ya kiintelijensia yanafanyika"
1693477939534.jpg
 
Sisi nchi yetu ya TOZONIA.. usalama ni mwendo wa kujigamba "unanijua mimi nani"
Kuteka watu"watu wasijulikana"
Kutesa, kung'oa meno kwa PLAIZI
Kutupa watu kwenye viroba.
sijui kwenu huko TANZANIA nchi iliyobarikiwa duniani, nchi ya amani.
 
Hakuna lolote. Wako busy na wale mademu wauza fremu.

Unaambiwa PK kajaza watu wake hapa nchini, lakini wamewaacha tu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Umesema ukweli mtupu na nililionya hili Siku nyingi sana kwa kuianzishia hadi Uzi hapa JamiiForums, ila GENTAMYCINE sikueleweka lakini sasa taratibu mtanielewa / watanielewa na kujua kuwa Wengine ni Manabii, Wabarikiwa na Waonaji mbali wa Kweli.
 
Back
Top Bottom