Hivi karibuni, Shirika la habari la Marekani Bloomberg lilitoa ripoti yenye kichwa kinachosema “China imesababisha hasara ya dola bilioni 130 za Kimarekani kwa sekta ya utalii duniani.”
Ripoti hiyo inadai kuwa, ikiwa kundi kubwa zaidi la watalii duniani, watalii wa China sasa hawaonekani tena...