nchi

  1. Buzi Nene

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Imani, elimu na siasa katika maendeleo ya nchi yetu. Je, inawezekana Tanzania kuwa na sura mpya?

    Utangulizi. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mjadala huu si kwaajili ya kuisema vibaya serikali au chama chochote cha siasa, wala kudhalilisha jamii yoyote ya kitanzania bali ni kwa ajili ya kujenga, kama mwanchi wa kawaida nimeona baadhi ya vitu ambavyo ni vikwazo...
  2. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nchi inahitaji uongozi shirikishi ili kuondoa malalamiko, na chuki dhidi ya Serikali

    NCHI INAHITAJI UONGOZI SHIRIKISHI ILI KUONDOA MALALAMIKO, NA CHUKI DHIDI YA SERIKALI. Utangulizi: "Tanzania tuitakayo" Taifa letu TANZANIA ni Taifa ambalo linahitaji uongozi shirikishi ,kuanzia ngazi ya Taifa ,mkoa ,wilaya hadi mtaa, kijiji na kitongoji, ili kuifikia Tanzania tuitakayo. Kama...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi

    Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao huo wa televisheni kutoka Qatar unatishia usalama wa taifa. "Chaneli ya uchochezi ya Al Jazeera...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Je, wakati umefika kwa nchi yetu kutunga sheria inayoruhusu utoaji salama wa Mimba?

    Nimelazimika kuleta Uzi huu, kutokana na kuona ongezeko kubwa la watoto wa mitaani, yatima, watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, machokoraa, "panya road" na kadhalika. Ukichungiza matatizo yote hayo, mwanzo wake ni kutokana na mimba zisizotarajiwa. Kwa vyovyote vile mtoto akiletwa duniani...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea biashara ya chakula ni kubwa sana na ndio zinalipa sana kwa watafutaji

    Tuliosafiri ndio tunafahamu kuhusu upatikanaji wa chakula nchi za nje.mfano tu ukifika china ,japan,india,usa,south africa na n.k utaona sehemu nyingi biashara ya chakula ilivyopamba moto. Biashara ya chakula kwa nchi zilizoendelea ni zakutofautiana sana ili kila mtu kumudu chakula anachoweza...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Chadema wameamsha mijadala kila ya nchi; CCM haina majibu imekaa kimya upepo upite

    Mijadala mikuu nchini kwa sasa ni umuhimu wa katiba mpya itakayolinda rasilimali za Tanganyika na Muungano kwa ujumla. Mjadala mwingine ni kuhusu rushwa katika uchaguzi na namna ambavyo CCM inatuhumiwa kutumia fedha hata kwenye chaguzi za vyama vya upinzani Mjadala wa tatu ni kuhusu ACT...
  7. Nyamesocho

    JamiiForums Tanzania Single mother wote nchi hii karibuni mkoa wa Mara,Ukuryani, kwa nini uteseke? Kwa nini ujione kama ulikosea hii dunia? Hakika hutojutia

    Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu " Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku ukiwaza watoto wako wataishije mbeleni? Sisi Ukuryani tunataka watu,njoo na wanao utaolewa na majina...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unatumia rushwa ili kupata viongozi watakaopambana kuleta katiba mpya ya kupinga rushwa na ufisadi

    Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha. Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa. Chichi dodo
  9. Evody kamgisha

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwigulu Lameck Nchemba tumia elimu uliyonayo, okoa uchumi wa nchi. Hali sio hali

    Hali sio hali nchini hususani kwenye uchumi wa nchi na mauzo na manunuzi. Gharama ya bidhaa iko juu sana, vyakula na bidhaa nyingine iko juu kupindukia. Ukienda kila kona ya nchi hali ni mbaya. Kodi ni kubwa sana. Watu wanashindwa kufanya biashara. Biashara inafungwa, watu wanahifadhi pesa zao...
  10. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Halmashauri zitumie vyanzo hivi vipya kupata kodi endelevu kwa maendeleo ya nchi

    UTANGULIZI Halmashauri nyingi nchini zimekua zikitumia vyanzo vya mapato vile vile miaka yote, hakuna ubunifu wa vyanzo vipya, halmashauri nyingine zimekua mizigo kwa Serikali kwa kutegemea fedha nyingi kutoka Serikali kuu ili kujiendesha huku zikiwa na vyanzo vingi vya mapato ambavyo...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

    Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi ilikuwa ishasema ndani ya masaa 24 au 48. Kilichotokea kiliendana sawa sawa na kauli za viongozi wa...
  12. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kilimo biashara kitainua uchumi wa nchi na kuondoa umasikini

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo nchini Tanzania bado imekua na changamoto kubwa ya kutokidhi mahitaji ya soko la ndani na nje mchango wake kwa pato la taifa bado ni mdogo pia. Pamoja na jitihada za Serikali kuongeza nguvu kwenye kilimo cha uhakika cha umwagiliaji ila dira ya taifa inapaswa kujikita...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wizara ya Afya inawahujumu wanafunzi walioko masomoni nje ya nchi

    Pamoja na kwamba ni jambo jema kuutangazia umma kua wanafunzi kadhaa wamepata ufadhili kupitia wizara ya afya(siku hizi wamebadili jina wanaita Dr Samia super-specialized scholarship program), lakini nyuma ya pazia wanafunzi hao wanateseka haswa. Mimi nafanya kazi moja ya nchi huku ughaibuni...
  14. John_Anthony

    JamiiForums Tanzania Je, kuungana kwa nchi za Afrika kuwa nchi moja kunaweza kuwa na manufaa?

    Africa inaweza kuungana na kuwa taifa moja ambalo litakuwa tishio sana duniani mabeberu walisha litambua hilo ndio maana wakafanya kila namna kuweka vikwazo vikubwa sana ambavyo vimepelekea waafrika wengi sana kupoteza maisha,, lakini leo natamani nielezee manufaa Africa ikiwa nchi moja yenye...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA mnawafia, mnawatetea watu walio kufa, tufufuke watanganyika tupaze sauti, tuandamane serikali ijue kuwa sisi ndio wenye nchi

    Kazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui. Nyerere alimwaga sumu sana kwa hawa watanzania, sasa ni kama maiti/mizoga isiyokuwa na uhai wa kutambua kuwa wana haki ya kuihoji...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Meneja: Kibu ana ofa tatu kutoka Nje ya Nchi

    Ofa za usajili zilizokuja mezani za Kibu Denis kutoka nje ya Tanzania ni kutoka Misri, Sweden 🇸🇪 na Norway. Amethibitisha meneja wa mchezaji huyo, Carlos Mastermind.
  17. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Takwimu za talaka nchi mbalimbali

    🇮🇳India: 1% 🇻🇳Vietnam: 7% 🇹🇯Tajikistan: 10% 🇮🇷Iran: 14% 🇲🇽Mexico: 17% 🇪🇬Egypt: 17% 🇿🇦South Africa: 17% 🇧🇷Brazil: 21% 🇹🇷Turkey: 25% 🇨🇴Colombia: 30% 🇵🇱Poland: 33% 🇯🇵Japan: 35% 🇩🇪Germany: 38% 🇬🇧United Kingdom: 41% 🇳🇿New Zealand: 41% 🇦🇺Australia: 43% 🇨🇳China: 44% 🇺🇸United States: 45% 🇰🇷South Korea...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa rushwa wanazokula wafanyakazi wa nchi hii wasiongezewe mishahara kabisa

    Ukweli uko hivo. Anzia mahakamani, polisi, hospital na idara nyingine kote wanajilia rushwa kama wametumwa. Sasa hawa watu hawafai kuongezewa mishahara maana wanazoiba ni nyingi mno. Wafanyakazi waingie makubaliano na serikali wakiacha rushwa ndio waongezewe mishahara na marupurupu mengine...
  19. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Angalia Mpaka Mwisho: Hakika hatuhitaji watu kama D. Sanga kwenye Serikali na nchi yetu tunahitaji watu wenye uwezo wa Kujibu hoja na kutengeneza hoja

    Deo Sanga ambaye ni Mbunge wa Makambako ni mtu ambaye amekuwa na misimamo ya kutetea viongozi wa nchi na kuwasifia mara kwa mara Wakati wa utawala wa Magufuli, Sanga aliwahi kunukuliwa akiwa bungeni kama inavyoonekana kwenye video akisema kwamba anataka Magufuli aongezewe muda. Kauli yake...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nchi imetulia

    Mh. Rais ana wakati mzuri katuliza hisia mood za Watanzania ziko vizuri zinachambua mambo Kwa undani. Uelewa umeongezeka na uwekezaji mkubwa ufanyike Kwa mambo ya utalii miundombinu ni sahihi.hela isimamiwe na watu wote kushukuru Mungu. TUPAMBANE LAZIMA TUTAFIKA WAZEE WANGU HATUPOTEI NI SAHIHI.
Back
Top Bottom