Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka.
Tena kibaya zaidi Rais wa Norway amesema Nyatanyahu ikija Norway atakamatwa na kupelekwa ICC, hili ni pigo kubwa kwa Israel.
Mwaka 2023, thamani ya mauzo ya bidhaa kwenda katika Soko la Ulaya iliongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 3.836 kutoka shilingi trilioni 2.446 mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia 56.8. Ongezeko hilo limechangiwa na kuongezeka kwa mauzo ya bidhaa za kilimo na viwandani kwenda katika nchi...
Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.
Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa.
Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani.
NAFASI YA PILI KWA SIMBA...
Duniani kokote kule haijawahi tokea kiongozi wa nchi awe msafi kama Pamba then akubali kufanya kazi na Panya. Hiawezekani kamwe.
Watendaji wapigaji wanawakilisha kisawasawa tabia ya alie wateua.
Historia ya Raisi San Abach inaonyesha kwamba hata watendaji wake walikuwa ni wapigaji vibaya mno...
Kwa maitaji ya photoshoot wasiliana nami stoney lens kupitia namba 0654726672 kwa wàle wote ndani na nnje ya nchi ila napatikana Dar es salaam Tanzania
Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya.
Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi?
Yes, serikali inaibiwa kibwege na wateule walewale wa Rais.
Tumesikia kuwa kule Mbeya mtandao kama huo ulikuwepo.
Hapo tusimung'unye...
Watu wengi wanajua tu majina ya nchi bila.kujua historia ya majina hayo kabla na baada ya kubadilishwa.
Songa nami.
Gold Coast → Ghana 🇬🇭 (1957)
Dahomey Republic → Benin Republic 🇧🇯 (1975)
Southern Rhodesia → Zimbabwe 🇿🇼 (1980)
Portuguese East Africa → Mozambique 🇲🇿 (1975)
British East...
Kila kona anapigwa spana. Sijui hakujiandaa kuwa Rais alishtukia amekuwa Rais hivyo hakujua anachofanya ofisini kabisa. Yeye kila aliyekuwa anaonesha ana mawazo positive ya kumzidi yeye basi alikuwa ni adui na anawindwa ama kuuawa ama kufilisiwa ndo mana akina Lowasaa wakaona warudishe majeshi...
Mods huu uzi msiufute plz wala ku u merge. Shambulio la lisu ni teso kwa kwa dola. Wenye hekima litanzueni kwa akili kumbukeni muda hautasamehe hili jambo mpaka majibu yapatikane.
UTANGULIZI.
👉 Watu hufungwa jela kwa sababu mbalimbali, zinazohusiana na kuvunja sheria za nchi.
Picha kwa hisani ya mtandao.
👉 Adhabu ya kifungo jela inakusudia,
1. Kutoa adhabu.Kuwaadhibu wale waliovunja sheria na kuonyesha kwamba matendo yao hayakubaliki katika jamii.
2. Kuzuia Uhalifu...
Hivi ninyi msio wanasheria, mnajua kama Wanasheria tunaitambua Tanganyika, na hata chama chetu kinaitwa "chama cha wanasheria wa Tanganyika", sio Tanzania. HIi nchi yafaa ashike mwanasheria ili kurudisha Tanganyika.
Ndugu zangu Watanzania,
Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia katika vyama hivyo nafikia hitimisho kuwa kama siyo uwepo wa CCM Madarakani basi Taifa hili lingekuwa...
Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB.
Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa Nchi ya Zanzibar kwa bashasha kubwa.
Adhaa pekee tunayokumbana na nayo ni foleni kubwa ambazo...
Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.
Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na...
"Nampongeza Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya katika Taifa letu la Tanzania na jinsi ambavyo ameendelea kuboresha Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo inasababisha wananchi tuendelee kukaa katika hali ya ulinzi na usalama" - Mhe. Martha Festo Mariki, Mbunge wa Viti Maalum...
"Ask not what your country can do for you,but what you can do for your country " yaani
"Usiulize nchi yako inaweza kukufanyia nini,ila jiulize wewe unaweza kuifanyia nini nchi yako"
Hiko ni kifungu cha maneno maarufu ambacho kilitamkwa katika hotuba ya John F. Kennedy, kipindi akiapishwa kuwa...
Sababu kuu ni kuwa maji ni rasilimali adimu na yenye gharama kubwa ya uzalishaji na usambazaji katika maeneo hayo, wakati mafuta ni rasilimali ya asili ambayo hupatikana kwa wingi.
Nchi nyingi za Kiarabu ziko katika maeneo ya jangwa na zinakumbwa na ukosefu wa mvua, hivyo vyanzo vya maji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.