nchi

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kigwangala, kumsifia Rais sio uzalendo wa kwanza, nchi yetu ni Jamuhuri sio Ufalme

    Maneno ya Mbunge Kigwangala kwamba kumsifia Rais ni uzalendo wa kwanza ni maneno ya kusikitisha yanayatuonyesha ni watu wa ajabu jinsi gani wanaotungoza wakati mwingine. Huyu ni mtu aliyekuwa waziri kamili na kutaka pia kuwa Rais wa taifa hili lakini hata huelewei kwamba nchi yake ni Jamuhuri na...
  2. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari ni wazalendo wa nchi yao ila Watanganyika sijui tuna matatizo gani!

    Huyu mbunge ameongea jambo la maana sana juu ya mstakabali wa nchi yake ya Zanzibar ila alicho ambulia mitandao ni matusi, kebehi na dharau juu yake na kwa Wazanzibari kutoka kwa Watanganyika(Watanzania). Ni nini huko somo la uraia linafanya mashuleni juu ya Watanganyika mbona ni wapumbavu...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limelazimika kuzima mitambo mitano kwakuwa majitaji ya umeme yapo chini huku uzalishaji wa umeme ukiwa ni mwingi. TANESCO imesema hayo wakati Afisa wa Shirika hilo akiongea mbele ya Waziri Mkuu kwenye Maonesho ya Wiki ya Nishati yaliyofanyika Viwanja...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mabalozi wa Nchi watakiwa kutumia taaluma, uzoefu kuharakisha mabadiliko ya kimfumo

    Mabalozi wamehimizwa kutumia taaluma, uzoefu na ujuzi tofauti waliokuwa nao kuharakisha mabadiliko ya kimfumo yanayoendelea ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili, 23, 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka wakati...
  5. R

    JamiiForums Tanzania What are the Key Features of Democracy? Je, Tanzania tunazo sifa za kuitwa nchi ya kidemokrasia?

    What are the Key Features of Democracy? Democracy is the most successful political idea in the world. Democracy allows ordinary people a decisive say in who governs a country and how they govern it. It is based on a system of government by all the citizens of a country, typically exercised...
  6. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Wenye exposure na uzoefu wa nchi yetu mje mnipe msaada hapa

    Nina kadogo kangu ka kike ambako hakajachaguliwa kwenda advance Nimejaribu kukachaulia kozi zitakazokafaa kama nilivoonesha hapo chini Je kwenye hizo kozi ipi ni useless niitoe?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitabu vya historia vinadanganya waarabu walichukua watumwa wa kiafrika, mbona hakuna Waafrika waliobaki nchi za kiarabu kama Marekani?

    Sioni hoja yenye nguvu kuthibitisha hili maana nao watumwa walikuwa watu wenye viungo vya uzazi vya kuendeleza vizazi vya waafrika. Hata waafrika wengi unaowakuta nchi za kiarabu ni wale waliohamia kikazi, biashara, n.k. na wengine wana wajukuu tayari. Mfano Marekani, Brazil, n.k. tunaona...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kiwewe kimezipata nchi za kiarabu. Huku Iran akiahidi kuanza na vituo vya nyulia vya Israel. Viongozi wao wapigiana simu kama watoto

    Wakati maelfu ya wapalestina wakiuliwa kama kuku,viongozi wa nchi za kiarabu walipiga kimya na kula biriani zao wakiona hayo hayawahusu. Hata diplomasia zao na kulaani kulikuwa kwa njia za kinafiki. Baada ya kumfanya Netanyahu ajiamini kupiga apendapo na kuamua kuipiga Iran na Iran nayo...
  9. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Tanzania Ni nchi maskini viongozi baneni matumizi

    Tanzania Ni miongoni mwa nchi maskini huku wananchi wakiishi chini ya Dolla 1 huku kipato Cha wastani kikiwa hakizidi Dola 2.5 kwa siku. Nimuhimu kubana matumizi
  10. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Burundi na Rwanda wanawekwa kwene makambi. Waarabu wa Sudani wanazurula nchi nzima

    Kuna idadi kubwa sana ya wakimbizi waliokimbia wakiarabu kutoka Sudan wakiwa mitaani wengine wamepanga.Lakini upande wa pili kuna wakimbizi majirani wamejazwa kwene makambi kigoma huko ka kagera. Je, hii ni kudhibitisha kua waafrica tunajichukia na tunawapenda maadui zetu!! Nawasilisha...
  11. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Hii inawahusu wanaopenda kusafiri nje ya nchi

    Hii ni kwa wote wanaopenda kusafiri. Nachukua nafasi hii kusema kwamba asanteni kwa wote wanaofatilia nakali hizi za Huku Abroad. Leo nataka kuelezea njia moja wapo ambayo watu wengi pamoja na Ma agent wengi wamekuwa haitumii kwenye swala zima la kufata taratibu za Kusafir Abroad. Kwa wenye...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tanzania yahimiza ushirikiano nchi za SADC katika usimamizi wa Misitu ya Miombo

    Serikali ya Tanzania imezihimiza nchi za ukanda wa SADC kushirikiana katika usimamizi wa Misitu ya Miombo kutokana na umuhimu wake kiuchumi, kijamii na katika uhifadhi mazingira. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili 17,2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) kwa niaba ya...
  13. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Mamia ya raia wa Israel waikimbia nchi yao ,hofu ya vita na Iran

    Kutokana na mgogoro mkubwa ulioibuka kati ya Iran na Israel pia uvamizi wa makombora na drones za Iran ndani ya ardhi ya israel kumekua na hofu kwa raia wa Israel hivyo kuikimbia nchi yao
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hii Nchi Inateswa na Mambo Mengi Sana!!

  15. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa nchi umekaa kunyenyekeana

    Trust me kama huna title lazma unyenyekee, bila hivyo watakupiga chini au kukufanyia vizabina mpk wakushushe... Mm naexperience na hili swala, utathaminika sio kwamba unaujuzi au weledi. Utathaminika endapo utakidhi mahitaji na matakwa ya muajiri wako. Watu hawapendi changamoto, hawapendi...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Ni katika eneo gani tumefanya vizuri sana kama nchi?

    Asalam walekum, Najiuliza hivi ni kwenye angle ipi ya maendeleo tumefanya vizuri sana kama nchi? Africa tunaongozwa na mwamba South Africa na nchi za Waarabu. Mfano: Ethiopia wana strongest airline. Seychelles and SA: best education system SA, Botswana, Namibia, Morocco: Road infrastructure...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania Tuna Wakia Milioni 45 ya Akiba ya Dhahabu Leo Tunasomeka Kati ya nchi Masikini Duniani

    Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla wake tuna Wakia Milioni 45 ya akiba ya dhahabu lakini leo tunasomeka ni kati ya nchi Masikini Duniani "Hotuba ya Waziri Mkuu Imezungumzia Maji, Misitu, Madini, Kilimo. Kuna Nchi Haina Msitu ni Jangwa. Kwa Nchi Yetu ya Tanzania 🇹🇿 Kila Kitu Kipo...
  18. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wote nchi nzima tuungane na kufanya yafuatayo kuhusu vita ya kikokotoo

    Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua mamilioni yao kwa mkupuo wakijufanya wao ndio wenye akili zaidi ya kujua matumizi ya pesa kuliko wafanyakazi...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

    Yaani tusijidanganye hata siku moja. Watu weusi tunajisemaga tuko na maguvu etc.. Ila kwa jinsi hawa wenzetu ngozi nyeupe wanavyopiga kazi speed yao kama umekaa kibwegebwege utakuwa unalia kila siku Hawa jamaa ni nuksi jamani, yaani huku kufanya kazi saa 12 + ni jambo la kawaida sana. Halafu...
  20. mama D

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Watanzania tumheshimu na kumuombea sana Rais wetu Samia Suluhu Hasan tusisahau kwamba Rais wa nchi amebeba hatma ya nchi na wananchi wake Nimesikia na kufuatilia kwa uchache sana mambo yanayoendelea mitandaoni na vile yanavyopokelewa na jamii ya watanzania nimejifunza mambo muhimu moja kubwa...
Back
Top Bottom