BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,591
8,776
Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao huo wa televisheni kutoka Qatar unatishia usalama wa taifa.

"Chaneli ya uchochezi ya Al Jazeera itafungwa nchini Israel," Netanyahu alichapisha kwenye mitandao ya kijamii kufuatia kura hiyo ya baraza la mawaziri
=====

Prime Minister Benjamin Netanyahu's cabinet decided on Sunday to shut down Al Jazeera's operations in Israel for as long as the war in Gaza continues, on the grounds the Qatari television network threatens national security.

"The incitement channel Al Jazeera will be closed in Israel," Netanyahu posted on social media following the unanimous cabinet vote.

A government statement said Israel's communications minister signed orders to "act immediately," but at least one lawmaker who supported the closure said Al Jazeera could still try to block it in court.

The measure, the statement said, will include closing Al Jazeera's offices in Israel, confiscating broadcast equipment, cutting off the channel from cable and satellite companies and blocking its websites.

The network is funded by the Qatari government and has been fiercely critical of Israel's military operation in Gaza, from where it has reported around the clock throughout the war.

The Israeli statement did not mention Al Jazeera's Gaza operations.

Israel's parliament last month ratified a law allowing the temporary closure in Israel of foreign broadcasters considered to be a threat to national security.

Al Jazeera made no immediate comment on Sunday, although it has previously rejected accusations that it was a threat to Israel's security and said the shutdown was an effort to silence it.

The law allows Netanyahu and his security cabinet to shut the network's offices in Israel for 45 days, a period that can be renewed, so it could stay in force until the end of July or until the end of major military operations in Gaza.

Qatar, which hosts Hamas leaders, is trying to mediate a ceasefire and hostage release deal that could halt the Gaza war.

====

Pia Soma: Israel yamuua mtoto wa Mwandishi wa Al jazeera Hamza Al Dahdouh

Israel huenda ikaifungia Al-jazeera kufanya kazi nchini humo
 
Inapofika kwenye usalama wa nchi maamuzi yasiyopendwa na jamii fulani hufanyika, ndiyo maana china kuna mitandao fulani ya kijamii haipatikani, ndiyo maana korea ya kaskazini ukiingia utakutana na masharti ya ajabu mno mpaka utasema hii nchi mbona wapo hivi wenyewe watakujibu ni kuhakikisha kunakuwa na usalama wa nchi.
 
So, Israel nao madikteta kama China na NK ?
 
K
Inapofika kwenye usalama wa nchi maamuzi yasiyopendwa na jamii fulani hufanyika, ndiyo maana china kuna mitandao fulani ya kijamii haipatikani, ndiyo maana korea ya kaskazini ukiingia utakutana na masharti ya ajabu mno mpaka utasema hii nchi mbona wapo hivi wenyewe watakujibu ni kuhakikisha kunakuwa na usalama wa nchi.
Wa israel sio swala la usalama isipokuwa hicho kituo ndicho pekee knachoonesha kinachoendelea ndani ya Israel Kwa kina CNN na BBC wanafichaficha ,matokeo yake ulimwengu umepata kuifahamu Israel vizuri na uovu wake nakusababisha chuki Kwa wayahudi
 
Sawa hayo ni maoni yako ila Israel iliyoteseka na mauaji yaliyofanywa na Hamas October kwa wanawake kubakwa, watoto kuuwawa, na wageni kibao kuuwawa wakiwamo watanzania inasema imeifungia Aljazeera maana iko biased, na ni mdomo wa kusemea wa Hamas na hivyo inahatarisha usalama wa nchi.
 
Evidence za watoto kuuliwa na hao watu kubakwa mbona mpk leo hawajazitoa pamoja na kuambiwa wazitoe....walimuingiza chaka hadi rais wa marekani akasema kuna watoto walikatwa vichwa baadae ikulu yake ikaja ikakanusha kuwa haikuwa taarifa sahihi...wameona maji yamezidi unga....vyombo vya mqgharibi vingi wanaweza kuvi control...ila hawa wameshindwa na haya maandamano yqnayoendelea nchini kwao wameona hali inazidi kuwa mbaya kwhyo wameona wawafungie lakini tyri it's too late....watu wameshajua nani ndo ana shida na mkorofi....
 
Evidence kuwa Hamas waliuwa watoto, waliuwa raia wa kigeni wakiwamo watanzania wawili, na walibaka zipo wazi sanaa kama haupo biased ila wewe na wengine wengi tu kwa kwa makusudi na utashi wako/wenu kuzikataa si ajabu hata kidogo lakini ukweli unabaki palepale kuwa Hamas wamefanya hayo na wangefanya mauaji makubwa sana kama si Israel kupigana hiyo vita infact mission ya hamas ni kuwaua wayahudi kabisa wakiongozwa na Iran na wala hawafichi wanasema hayo peupe.
 
Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao huo wa televisheni kutoka Qatar unatishia usalama wa taifa.

"Chaneli ya uchochezi ya Al Jazeera itafungwa nchini Israel," Netanyahu alichapisha kwenye mitandao ya kijamii kufuatia kura hiyo ya baraza la mawaziri
=====

Prime Minister Benjamin Netanyahu's cabinet decided on Sunday to shut down Al Jazeera's operations in Israel for as long as the war in Gaza continues, on the grounds the Qatari television network threatens national security.

"The incitement channel Al Jazeera will be closed in Israel," Netanyahu posted on social media following the unanimous cabinet vote.

A government statement said Israel's communications minister signed orders to "act immediately," but at least one lawmaker who supported the closure said Al Jazeera could still try to block it in court.

The measure, the statement said, will include closing Al Jazeera's offices in Israel, confiscating broadcast equipment, cutting off the channel from cable and satellite companies and blocking its websites.

The network is funded by the Qatari government and has been fiercely critical of Israel's military operation in Gaza, from where it has reported around the clock throughout the war.

The Israeli statement did not mention Al Jazeera's Gaza operations.

Israel's parliament last month ratified a law allowing the temporary closure in Israel of foreign broadcasters considered to be a threat to national security.

Al Jazeera made no immediate comment on Sunday, although it has previously rejected accusations that it was a threat to Israel's security and said the shutdown was an effort to silence it.

The law allows Netanyahu and his security cabinet to shut the network's offices in Israel for 45 days, a period that can be renewed, so it could stay in force until the end of July or until the end of major military operations in Gaza.

Qatar, which hosts Hamas leaders, is trying to mediate a ceasefire and hostage release deal that could halt the Gaza war.

Pia Soma: Israel yamuua mtoto wa Mwandishi wa Al jazeera Hamza Al Dahdouh

Wanajeshi wa Israel wamevamia ofisi za Al Jazeera mjini Jerusalem.

Walichukua vifaa vya waandishi wa habari.

Biden angekuwa kwenye uwanja wa White House akilaani na kulia juu ya hili ikiwa lingetokea nchini Urusi.

Israel inabidi iache kuwaua na kuwashambulia waandishi wa habari.

View: https://x.com/kahlissee/status/1787140026574278979?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Evidence kuwa Hamas waliuwa watoto, waliuwa raia wa kigeni wakiwamo watanzania wawili, na walibaka zipo wazi sanaa kama haupo biased ila wewe na wengine wengi tu kwa kwa makusudi na utashi wako/wenu kuzikataa si ajabu hata kidogo lakini ukweli unabaki palepale kuwa Hamas wamefanya hayo na wangefanya mauaji makubwa sana kama si Israel kupigana hiyo vita infact mission ya hamas ni kuwaua wayahudi kabisa wakiongozwa na Iran na wala hawafichi wanasema hayo peupe.
Hzi Sasa ni siasa...evidence zilizo wazi ni zipi??...umeambiwa leta ushahidi wa watoto kukatwa vichwa na wanawake kubakwa halafu unaleta siasa kwmba ushahidi upo wazi ila watu hawataki kuuona....uhalifu wa kivita wa Israel Kila siku unaoneshwa hadharani...watoto walowaua mpk juzi kwny ile hospitali yalipokutwa makaburi ya halaiki ya maiti zingine zimekutwa na Cannula kabisa na watu wanaonesha wanavyofukuliwa na mfadhili wao Marekani anasema ni picha zinazokera na kusikitisha kiuhalisia....ila wao mazayuni wakiambiwa leta ushahidi wanapiga chenga....Dunia inaenda mbele hairudi nyuma...utadanganya kwa muda ila ukweli itajulikana tu....na watu wqmeshaujua ukweli....wanachokifanya ni kutapatapa kwa mwsho tu
 
Kwa kifupi tu soma hapo chini japo najua utapinga kilichoandikwa maana kuna upande unautetea kindakindaki kwa hiyo hata baada ya kusoma endelea kupinga na kukataa uovu wa hamas.

Israel Gaza: Hamas raped and mutilated women on 7 October, BBC hears​

A UN envoy says there are ‘reasonable grounds’ to believe Hamas committed sexual violence on Oct. 7
 
Wewe jamaa kumbe punguani kiasi hicho huu ndiyo ushahidi wa Hamas walibaka na kuuwa watoto? Hizo propaganda dunia imeshazipuunza wamebakia mapunguaniani na wajinga wa kiwango cha mwisho ambao hawatumii akili zao kuhoji.

Soma hii..

Claims of systematic rape on October 7 appeal to a racist trope of the savage, predatory Arab. Which is why western politicians and media are so unconcerned by … Hamas 'mass rape' claim lacks evidence. But it's being used to justify genocide
 
umesoma lakini hizo habari kasema nani kwenye hiyo link ya pili? au unabisha tu kwa kuwa ni habari mbaya kwako wewe pro palestine, islam, hamas, terrorism?
 
Biden aliulizwa hilo swali kasema yeye hafahamu waulizwe Israel wewe na Biden nani yupo karibu na Israel?

Israel wameambiwa walete ushahidi hawana wewe Muisrael mweusi wa Makete mshipa wa matako unakutoka unasema Hamas walibaka weka hata maelezo ya hao waliobakwa hauna unakuja na link za mashoga.
 
Biden aliulizwa hilo swali kasema yeye hafahamu waulizwe Israel wewe na Biden nani yupo karibu na Israel?

Israe wameambiwa walete ushahidi hawana wewe Muisrael mweusi wa Makete msipa wa matako unakutoka unasema Hamas walibaka weka hata maelezo ya hao waliobakwa hauna unakuja na link za mashoga.
Dah kweli elimu akhera imepofusha wengi..... huoni wala huambiwi.....
 
Wewe mlokole Yahudi jeusi la Makete linalazimisha kuwa Hamas waliwabaka Waisrael na kuuwa watoto UN walianzisha uchunguzi wakaambia mabasha zako walete ushahidi wamekimbia mpaka leo wewe punguani peleka huo ushahidi UN basi.

A U.N. commission of inquiry investigating war crimes on both sides of the Israel-Hamas conflict will focus on sexual violence by Hamas in the Oct. 7 attacks on… Source: Reuters https://search.app/eJ9iD1RYwNeb6wax7
 
Hawa kila siku ilikuwa ni kutoa habari za upande mmoja, Israel ilichelewa kukifungia.
Wewe mjinga wa kiwango cha mwisho huko ndani ya Israel wamepinga hili nikuulize wewe mlokole ulitaka watoe habari gani za Israel?
 
Back
Top Bottom