Nataka kuanza ufugaji wa kuku kwa hatua ndogo
Habari wakuu,
Nimeamua kuanza ufugaji wa kuku kama njia ya kujiajiri. Nimesomea mifugo, kwa hiyo nina msingi wa elimu ya ufugaji, changamoto yangu kubwa kwa sasa ni mtaji wa kuanzia.
Sina mpango wa kuanza na kuku wengi. Nataka kuanzia chini...