Habari za leo.
Katika maisha ya biashara Kuna Muda lazima ufanye mabadiliko .
Sasa nimekuwa na mawazo hasa mabadiliko nayotaka kuyafanya kwenye biashara yangu.
Ok Mimi ni muuzaji wa vifaa vya umeme vya majumbani ,taa za Urembo na sasa naingia umeme wa viwandani.
Hapo awali nilikuwa nauza JUMLA
Ila kwa sasa wazo la kuivusha biashara yangu na kutaka kuuza REJAREJA zaidi .
Sababu hasa ni gharama za kujiendesha zipo juu sana .
Mf
umeme kwa siku naweka 15,000
Zamani wafanyakazi chakula kilitoka nyumbani ila kwa sasa nawapa pesa ya kula Kila siku.
SASA NIMEKUWA NAJISHTUKIA MAAMUZI YANGU HASA WAZO LA BAADHI YA WATEJA KUTOKUJA DUKANI KWA KUWA NIMEANZA RASMI KUBADILI MFUMO WA BIASHARA.
AWALI WAKATI NAUZA JUMLA SIKUWA NA BIASHARA YA TAA ZA UREMBO AMBAZO KWA SASA ZINAHITAJI 15,000 KILA SIKU.
NA BIASHARA YA JUMLA KWENYE VIFAA VYA UMEME HAINA FAIDA KUBWA
NAOMBA WASHAURI WA BIASHARA KUNISHAURI NA WALIOWAHI KUBADILI MFUMO KAMA WANGU WATUPE EXPERIENCE YAO.
Vifaa tunavyouza.
Bulb jumla (katonis)
Switches aina nyingi (mpaka katonis)
Main switchs.
Pipes aina mbali mbali
Earth rod.
Tapes.