Nataka kusajili laini ya TTCL

Nataka kusajili laini ya TTCL

kuhusu vocha kutopatikana hii nayo kwa sasa mwaka 2026 naona sio hoja yenye mashiko. kwani still watu mnanunua vocha dukani? 🤔
Wateja wakubwa wa ttcl, ni wamasai wa huko handeni, assume mtu ana line ya ttcl tuu, yuko kijijini, kumbuka huduma za Tpesa hazifanyi kazi sasa ikikosekana vocha za kukwangua hapo ana survive vp
 
Sajili tu na uendelee ku21002. Gen z mmoja aliniandikia hiyo 21002 na nyingne ati 2O8 hadi leo kesi mahakama zote zimekataa kutoa hukumu.
 
Karibu mm ni mtumiaji wa TTCL
ofa ya buffee ni nzuri sana
Haina kikomo cha muda
Inaisha kutokana na matumiz yako.

Baadala ya vocha natuma kwenye Tpesa au kama salio kupitia mtandao mwingn
 
Sajili tu na uendelee ku21002. Gen z mmoja aliniandikia hiyo 21002 na nyingne ati 2O8 hadi leo kesi mahakama zote zimekataa kutoa hukumu.
2= tu
100=tumia
2 = tu
21002 = tumia tu

2=tu
O=O
8=nane
2O8 = tuonane
 
Karibu mm ni mtumiaji wa TTCL
ofa ya buffee ni nzuri sana
Haina kikomo cha muda
Inaisha kutokana na matumiz yako.

Baadala ya vocha natuma kwenye Tpesa au kama salio kupitia mtandao mwingn
safi. internet vipi?
 
safi. internet vipi?
Ipo vizuri kwenye kudownload vitu vikubwa
Kama unatumia kawaida inaisha kutokana na matumiz

Kama Ume download kitu Gb2 itaisha kutokana na na size fasta.

Unaangalia Tiktok ipo fasta kuisha na kutumia.

Kama kitu hakitumii sana mb
Haina shida.

Kuhus dakika unaweka dakika utaambiwa kiasi. Kuisha hadi mwakani kama hautumii
Kinaishia kutokana na matumiz.

Mfano nimeweka dakika 100 nikaacha hadi mwez ujao nitazikuta
 
na mtandao kiujumla? upo kijijini au mjini?
 
Usijaribu mkuu utateseka sana ,mawakala wengi hawatumii tena tpesa,inasumbua sana mara ifanye kazi mara igome kabisa,achqna na upuuzi uo kabisa ,
 
Back
Top Bottom