natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Assalamualaikum Wana familia ya jf. Nina ishi mbeya mjini. Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia bora 🙏
  2. bigmen

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Natafuta mchumba ambae, anaye elewa maisha mvumilivu kwa kila Hali, mwenye hofu ya Mungu, mchapakazi ili tukiwa pamoja tujenge si sio kuvurugana. Umri wake 25-29 Nipo Kilimanjaro Moshi mjini, Nichek pm tuongee vizuri
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kimara, isiwe mbali na barabara, mwenye nayo please naomba msaada
  4. Sasso

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta chumba kimoja cha kupanga self-contained Dodoma Mjini

    Kwema Wakuu, Natarajia kuwepo Dodoma mjini soon kufanya project itakayonichukua kati ya mwaka 1 mpaka mwaka 1 na nusu. Naomba wenyeji wa mji wanisaidie ABCs za kupata chumba kimoja cha kupanga self-contained chenye usalama na huduma za maji na umeme, kodi kwa mwezi etc Nicheki PM au unaweza...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Habari za wakati mabibi na mabwana!! Mimi ni kijana umri wa miaka 30 ,kwa moyo wa dhati na udhubutu naomba kuwafahamisha rasmi kuwa maisha ya ubachela yamenifikia kikomo nahitaji mchumba vigezo, Umri kuanzia 23-25 Elimu, kuanzia kidato Cha nne Hadi diploma Kazi -...
  6. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

    Nipo mwanza mjini natafuta mbwa Bei iwe kitonga aisee sitaki mbwa wa kizungu. Rangi: Nyeusi itapendeza zaidi Tabia: Mkali sana Bei: Isizidi elf 20
  7. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Namshukuru Mungu mimi nilipata mume hapahapa JF ndoa tumefunga na nina mtoto mmoja na mume wangu siku nitaanzsha uzi hapa nlvomuadithia rafiki yangu n a yeye akanituma nmtumie maombi yake... Yeye pia ni MCHAGA single mama la mtoto 1 wa miaka 7 Baba mtoto wake hayupo kabisa Anatafuta mume...
  8. Tyrex

    JamiiForums Tanzania Natafuta cooler box kubwa

    Habari wana jf natafuta coolerbox kubwa ni whatsap kama unayo 0712698246 iwe kama hiyo.
  9. hkaka 990

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba

    Mimi ni kijana wa umri miaka 28 mkazi wa Dar es salaam natafuta mchumba ambae ntafunga nae ndoa
  10. Neverregular

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Usafi, House Boy

    Mimi ni kijana wa miaka 25 Natafuta kazi ya Usafi, House Boy. Elimu yangu ni kidato cha 6 pia nina cheti cha udereva🙏
  11. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    ~
  12. Heci

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

    Umri wangu ni miaka 45, Hali yangu ya kindoa ni mtalaka, watoto wanne, Kila mmoja na mama yake, na watoto wote wako kwa mama zao. Kazi nafanya, Hela napata, pombe nakunywa. Mambo ya mabebzi labda itokee tu, wana gharama sana na Mimi ni bahili sana. Mwanamke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke au mchumba

    Tafadhali naomba nijielezee kwanza: Jina langu naitwa mosses, dini yangu mkristo, mwili wangu wa kawaida wa kimazoezi na nina six pack, urefu wangu kawaida, rangi yangu maji ya kunde, uvaaji wangu smart, sivuti sigara wala sinywi pombe, sina mtoto wala sijawai kuowa, ninaishi dar es salaam...
  14. arielle00

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi HSE officer

    Hello wana jamii Natafuta kazi ya HSE OFFICER nina cheti cha NOSCH 1 na cheti cha RISK ASSESMENT Email yangu ni: arielle_00@yahoo.com
  15. Mr dollar

    JamiiForums Tanzania Natafuta laptop nina budget ya 200k

    Natafuta laptop used core 5 na nina budget ya 200k 255713520180 nipo dar ambayo anayo tuwasiliane
  16. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Natafuta mteja wa Muhogo wa Unga

    Habari, Nina Muhogo Mbegu Ya Mkombozi Tani 70, Zipo Tayari Kwa Matumizi Ya Kusaga Unga Wa Muhogo. Location Biharamulo Kagera. Tuwasiliane Kama Unauhitaji Au Una mteja. Kiasi Cha Chini Kuchukua Ni Tani 10. Wasiliana Na Mimi Kwa Email drcezzane@gmail.com ASANTE
  17. Tankile

    JamiiForums Tanzania Natafuta Daktari wa tatizo la Kucha kuingia kwenye vidole vya Miguu

    Ndugu zangu kwema? Nina changamoto kubwa, sasa ni mwaka wa tatu toka 2022 kucha zangu za vidole gumba vya miguu zinachimba ndani na kunifanya vidole vyangu kupata vidonda visivyopona hivyo naombeni sana mtu anayemfahamu mtaalamu au daktari bingwa ama hospitali inayotibu hii changamoto niweze...
  18. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Tafuta marafiki wapya na wa ukweli kutoka nje ya eneo ulilopo

    Tafuta Marafiki wa Ukweli - Nje ya Eneo unapoishi. Habari JamiiForums Ninafurahi kutafuta marafiki wa ukweli kupitia mtandao huu wa Jamii Forums. Mimi naitwa Jumanne, ninaishi Katoro lakini pia nawakaribisha wale ambao wako nje ya Katoro. Nina hamu ya kujenga urafiki na watu wapya...
  19. Kibiriti ngoma

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu/ taasisi ya kunikopesha tshs laki mbili na nusu, nitalipa 340k ndani ya miezi minne.

    Nashukuru kwa michango, nilikuwa nahitaji taarifa fulani za kina kutokana na maoni ya wadau through jf. Mbarikiwe wapendwa.
  20. Walt white

    JamiiForums Tanzania Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wamiaka 24 kwasasa, elimu yangu ni kidato cha nne ambapo nilifaulu vizuri ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kutosikia vizuri. Baada ya kumaliza shule mwakav2015, kuanzia 2017 nilianza rasmi kujifunza kutengeneza sofa...
Back
Top Bottom