Natafuta mke

Jenerali Ambamba

JF-Expert Member
Sep 8, 2014
3,344
2,530
Nahitaji Mke aliye serious kuolewa.

Mimi nina miaka 36

Mkiristo.
Nahitaji mwanamke mwenye akili ya maisha sana, asiwe na Kiburi, mke muunganisha familia yani ajue kwamba mimi sipo peke yangu nyumbani kwetu, kuna ndugu zangu wengine ambao itabidi angalau mawasiliano mazuri yawepo, nimebaki na mama tu anatakiwa kujua kuwa nina Mama mzazi so, mawasiliano na kumjulia hali, sio mpaka nimwambie, angalau mke mshauri mzuri...

Awe na kazi, mzuri wa tabia, sura na umbo, mrefu wa wastani laki asiwe mnene sana.

Kabila lolote.

Aliye tayari karibu PM
 
Kwa vile umetangaza ndoa kabisa makinika mno na watakaojitokeza maana wataficha tabia zao halisi. Zile zenye mapungufu makubwa
 
Nahitaji Mke aliye serious kuolewa.

Mimi nina miaka 36

Mkiristo.
Nahitaji mwanamke mwenye akili ya maisha sana, asiwe na Kiburi, mke muunganisha familia yani ajue kwamba mimi sipo peke yangu nyumbani kwetu, kuna ndugu zangu wengine ambao itabidi angalau mawasiliano mazuri yawepo, nimebaki na mama tu anatakiwa kujua kuwa nina Mama mzazi so, mawasiliano na kumjulia hali, sio mpaka nimwambie, angalau mke mshauri mzuri...

Awe na kazi, mzuri wa tabia, sura na umbo, mrefu wa wastani laki asiwe mnene sana.

Kabila lolote.

Aliye tayari karibu PM
Mkuu,rekebisha hapo juu,huwezi kuhitaji Mke bali utahitaji Mwanamke ili aje kua Mke,

Mke ni yule ambaye yupo ndani ya ndoa,

Au mimi ndio sielewi!
 
Nahitaji Mke aliye serious kuolewa.

Mimi nina miaka 36

Mkiristo.
Nahitaji mwanamke mwenye akili ya maisha sana, asiwe na Kiburi, mke muunganisha familia yani ajue kwamba mimi sipo peke yangu nyumbani kwetu, kuna ndugu zangu wengine ambao itabidi angalau mawasiliano mazuri yawepo, nimebaki na mama tu anatakiwa kujua kuwa nina Mama mzazi so, mawasiliano na kumjulia hali, sio mpaka nimwambie, angalau mke mshauri mzuri...

Awe na kazi, mzuri wa tabia, sura na umbo, mrefu wa wastani laki asiwe mnene sana.

Kabila lolote.

Aliye tayari karibu PM

Na wewe pia ujue kwamba naye kwao hayuko peke yake ana ndugu unatakiwa pia uunganishe na ufanye mawasiliano nao

Acheni ubinafsi wanaume wenzangu
 
Mungu amekutunza hadi umefika miaka 36 salama kabisa. Akakujalia Afya ya mwili na Akili. Kazi yenye kipato. Haujaenda jela kwa mauaji. Unapatana na ndugu zako. Marafiki. Hauna msongo wa mawazo...

Sasa umeona imetosha, ngoja ujaribu upande wa pili.

Results ni Jela au Mochwari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom