Nina miaka 55, mfupi 5 7, mfanyabiashara, naishi Dar, Nina watoto wakubwa, wanaishi kivyao na kwa mama yao.
Nahitaji mpenzi wa kike tupendane.
Maswali zaidi uliza inbox tafadhali
Naitwa james patrick..nina miaka 29,elimu yangu ni form four pia kwa sasa naishi kunduchi..natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo ambayo nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 12 sasa..nipo tayal kwa udereva wa aina yoyote ile ndani na nje ya mkoa wa dar..kwa mwenye kuhitaji dereva...
Ndugu zangu natafuta mke wakuoa sifa awe muislam elim yoyote awe mikoa jiran na arusha.umri kuanzia 21 mpaka 30.mim sifa zangu ni muislam umri 33 ninaish arusha nimejiajiri.aliyetayar karibu pm
Habari za kazi wakuu, poleni na hongereni kwa majukumu !
Ninatafuta kijana wa kiume anayeweza kuchoma kuku mida ya jioni, malipo ni Tsh 5000 kwa siku kwa kuanzia it means inaweza kuongezeka mbeleni. Akiwa mkazi wa wilaya ya Kinondoni itapendeza.
Kazi ni jioni tu kuanzia saa 11 hadi saa 3...
Habari za wandugu!
Naombeni msaada wakuu.
Kama kuna yeyote anayeweza kunipatia msaada wa chumba kizuri hapo mjini mbeya, pasiwe mbali na Mtaa wa mahakama Kuu. (Sehemu ya bajaji moja hadi maeneo ya Open University itapendeza)
Ninatanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
Jf salaam🙏
Ni muda sasa tangu aanze kuonekana huyu nyoka hatari koboko na inasemekana wapo wawili.
Taarifa zilianza kunifikia kutoka Kwa wazee wangu maana huo msitu ukweli sio wangu ni wa mzee ila kaniruhusu kufanya shughuli zozote za kujiingizia kipato.
Mara kadhaa amekuwa akionekana na...
Habari wanandugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 niko kwenu hapa kutafuta kazi yoyote ile Kwa mkoa wa Dar es salaam au Kahama..
Uzoefu nlionao driving.
Kulinda.
Kufuga.
Na kazi yoyote ile manual Kwa maelekezo tu.
Pia ni graduate wa social protection katika chuo Cha IFM.
Niko juu ya mawe...
Wakuu kwa mwenye season ya kikorea inayoitwa THE HEALER main theme anisaidie maana nimeitafuta kwa kipindi kirefu bila mafanikio
Nimeitafuta YouTube wameifuta msaada wakuu
Habari za muda huu ndugu zangu?, Mimi Athumani mkazi wa Dar es salaam mwenye degree ya IT. Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu na kuongeza kitu kwenye CV yangu. Nina ujuzi wa graphics, na kutengeneza web apps hivyo naomba msaada wenu.
mawasiliano: 0656058186
Jina: John
Kazi: religious
Makazi: Dar na Zanzibar
Umri: 34
Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano akiwa na maisha yake itapendeza zaidi. Sijachagui dini, kabila, Wala rangi cha muhimu upendo. Asinitegemee sana maana sina kikubwa cha kumpa zaidi ya upendo na Muda wangu. Kwa Aliye...
Natafuta mke mkristo, umri rejea kichwa cha habari hapo juu. Awe ameajiriwa au kujiajiri. Mcha Mungu anayeamini katika maisha ya upendo baina ya mke na mume. Mimi nina Elimu ya chuo kikuu na ni muajiliwa na ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Mengine tutayajenga inbox.
Wadau msaada wa jina la msanii jina silikumbuki ila ni msanii wa bongo flavor ni wa zamani kidogo
Japo sina uhakika ila kuna nyimbo yake moja niliona video akizungumzia kumpenda mschana wa jirani
Nawasilisha
Niko Arusha
Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama, asiwe mfia dini za wazungu
Mimi ni mweupe maji ya kunde, umri wangu miaka 35, sijaoa wala sina mtoto
Rafiki ninayemtaka
Awe mweusi
Awe mrefu
Asiyejichumbua
Asizidi miaka 28
Asiwe na mtoto
Mawasiliano yangu: brightcreeper87@gmail.com
Habari wakuu?
Wanasema ndege wenye manyoya ya kufanana huruka pamoja. Na mimi pia naamini kwenye mzunguko wa watu wangu wa karibu nikiwa na watu wanaofanya kitu kama changu itanisaidia kukua.
Mimi nafanya biashara ya viatu vya mitumba lakini kwa sasa bado nipo hatua ya...
Habari Za Leo Ndugu Zangu.
Mimi ni Mwanaume
Natafuta MCHUMBA Ambaye baadaye Tunaweza Kuwa Mume na Mke.
SIFA ZANGU.
1. Elimu Chuo
2. Umri Miaka 28
3. Nimeajiriwa
SIFA ZA MCHUMBA
1. Awe Anajitambua
2. Mkristo
3.Umri Asizidi Miaka 35
4. Elimu Yoyote Aliyonayo.
#MUNGU AWABARIKI.
Habari,
Mimi ni msichana wa miaka 26, natafuta nafasi ya kazi ya maendeleo ya Jamii name elimu ngazi ya dilpoma au shirika lolote linalohusiana na maendeleo ya jamii.
Ninauzoefu niliwahi kujitolea katika shirika la FARAJA TRUST FUND liliopo morogoro linahusika na maswala ya USAID BORESHA...
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Mie ni kijana wa kiume, ninaishi Dar es salaam. Natafuta kazi ya kufanya (kibarua) aina yoyote, walau niweze kuishi na kupata chakula. Hali nayopitia sasa ni ngumu sana.
Elimu yangu:
Shahada ya Uhasibu
Ujuzi:
Microsoft office
Excel
Computer
Kazi nazo...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, mbunifu, mwaminifu na mchapakazi
Nimesomea maswala ya manunuzi na ugavi ngazi ya shahada katika chuo cha uhasibu Tanzania TIA na nimesajiliwa na bodi PSPTB
Uzoefu sio mkubwa niliwai kujitolea katika hospitali ya Nkinga kama supplier officer/ storekeper...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.