Natafuta kazi ya usimamizi wa shamba

Nzungu wa chinese

New Member
May 16, 2018
2
0
Habari za humu JF, natumai mko salama na mnaendeleza mapambano.

Niende Moja kwa Moja kwenye ombi langu, naomba mwenye kazi ya usimamizi wa shamba lake, au kama Kuna mtu humu ndani anafahamiana na mtu mwenye shamba anayehitaji msimamizi naomba anisaidie kuniunganisha.

Kazi ikipatikana Kanda za juu kusini kama mbeya, songwe, Njombe au Kanda za pwani kama Tanga,pwani na morogoro. Itakuwa njema zaidi. Natanguliza shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom