natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tankile

    JamiiForums Tanzania Natafuta Daktari wa tatizo la Kucha kuingia kwenye vidole vya Miguu

    Ndugu zangu kwema? Nina changamoto kubwa, sasa ni mwaka wa tatu toka 2022 kucha zangu za vidole gumba vya miguu zinachimba ndani na kunifanya vidole vyangu kupata vidonda visivyopona hivyo naombeni sana mtu anayemfahamu mtaalamu au daktari bingwa ama hospitali inayotibu hii changamoto niweze...
  2. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Tafuta marafiki wapya na wa ukweli kutoka nje ya eneo ulilopo

    Tafuta Marafiki wa Ukweli - Nje ya Eneo unapoishi. Habari JamiiForums Ninafurahi kutafuta marafiki wa ukweli kupitia mtandao huu wa Jamii Forums. Mimi naitwa Jumanne, ninaishi Katoro lakini pia nawakaribisha wale ambao wako nje ya Katoro. Nina hamu ya kujenga urafiki na watu wapya...
  3. Kibiriti ngoma

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu/ taasisi ya kunikopesha tshs laki mbili na nusu, nitalipa 340k ndani ya miezi minne.

    Nashukuru kwa michango, nilikuwa nahitaji taarifa fulani za kina kutokana na maoni ya wadau through jf. Mbarikiwe wapendwa.
  4. Walt white

    JamiiForums Tanzania Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wamiaka 24 kwasasa, elimu yangu ni kidato cha nne ambapo nilifaulu vizuri ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kutosikia vizuri. Baada ya kumaliza shule mwakav2015, kuanzia 2017 nilianza rasmi kujifunza kutengeneza sofa...
  5. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Natafuta Rafiki wa Benaco Ngara Kagera

    Kichwa cha habari cha husika! Hamna vigezo awe tu binadamu
  6. majebsmafuru

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kike mtu mzima

    Nina miaka 55, mfupi 5 7, mfanyabiashara, naishi Dar, Nina watoto wakubwa, wanaishi kivyao na kwa mama yao. Nahitaji mpenzi wa kike tupendane. Maswali zaidi uliza inbox tafadhali
  7. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Dereva natafuta ajira.

    Naitwa james patrick..nina miaka 29,elimu yangu ni form four pia kwa sasa naishi kunduchi..natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo ambayo nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 12 sasa..nipo tayal kwa udereva wa aina yoyote ile ndani na nje ya mkoa wa dar..kwa mwenye kuhitaji dereva...
  8. MEK_TZ

    JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota IST ya kununua

    Habari wakuu. Mwenye gari IST anaye uza tafadhari tuwasiliane.
  9. old mkiva

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Ndugu zangu natafuta mke wakuoa sifa awe muislam elim yoyote awe mikoa jiran na arusha.umri kuanzia 21 mpaka 30.mim sifa zangu ni muislam umri 33 ninaish arusha nimejiajiri.aliyetayar karibu pm
  10. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kuchoma nyama

    Habari za kazi wakuu, poleni na hongereni kwa majukumu ! Ninatafuta kijana wa kiume anayeweza kuchoma kuku mida ya jioni, malipo ni Tsh 5000 kwa siku kwa kuanzia it means inaweza kuongezeka mbeleni. Akiwa mkazi wa wilaya ya Kinondoni itapendeza. Kazi ni jioni tu kuanzia saa 11 hadi saa 3...
  11. Dudukwe

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga single self (Mbeya town)

    Habari za wandugu! Naombeni msaada wakuu. Kama kuna yeyote anayeweza kunipatia msaada wa chumba kizuri hapo mjini mbeya, pasiwe mbali na Mtaa wa mahakama Kuu. (Sehemu ya bajaji moja hadi maeneo ya Open University itapendeza) Ninatanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Jf salaam🙏 Ni muda sasa tangu aanze kuonekana huyu nyoka hatari koboko na inasemekana wapo wawili. Taarifa zilianza kunifikia kutoka Kwa wazee wangu maana huo msitu ukweli sio wangu ni wa mzee ila kaniruhusu kufanya shughuli zozote za kujiingizia kipato. Mara kadhaa amekuwa akionekana na...
  13. Mbulukenge

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Habari wanandugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 niko kwenu hapa kutafuta kazi yoyote ile Kwa mkoa wa Dar es salaam au Kahama.. Uzoefu nlionao driving. Kulinda. Kufuga. Na kazi yoyote ile manual Kwa maelekezo tu. Pia ni graduate wa social protection katika chuo Cha IFM. Niko juu ya mawe...
  14. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Wadau wa season natafuta hii

    Wakuu kwa mwenye season ya kikorea inayoitwa THE HEALER main theme anisaidie maana nimeitafuta kwa kipindi kirefu bila mafanikio Nimeitafuta YouTube wameifuta msaada wakuu
  15. athumani mfaume jr

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea nina Degree ya IT

    Habari za muda huu ndugu zangu?, Mimi Athumani mkazi wa Dar es salaam mwenye degree ya IT. Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu na kuongeza kitu kwenye CV yangu. Nina ujuzi wa graphics, na kutengeneza web apps hivyo naomba msaada wenu. mawasiliano: 0656058186
  16. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Jina: John Kazi: religious Makazi: Dar na Zanzibar Umri: 34 Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano akiwa na maisha yake itapendeza zaidi. Sijachagui dini, kabila, Wala rangi cha muhimu upendo. Asinitegemee sana maana sina kikubwa cha kumpa zaidi ya upendo na Muda wangu. Kwa Aliye...
  17. Wasomba

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mkristo miaka 30-41

    Natafuta mke mkristo, umri rejea kichwa cha habari hapo juu. Awe ameajiriwa au kujiajiri. Mcha Mungu anayeamini katika maisha ya upendo baina ya mke na mume. Mimi nina Elimu ya chuo kikuu na ni muajiliwa na ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Mengine tutayajenga inbox.
  18. Desierto

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyimbo za msanii kipofu

    Wadau msaada wa jina la msanii jina silikumbuki ila ni msanii wa bongo flavor ni wa zamani kidogo Japo sina uhakika ila kuna nyimbo yake moja niliona video akizungumzia kumpenda mschana wa jirani Nawasilisha
  19. 2

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

    Niko Arusha Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama, asiwe mfia dini za wazungu Mimi ni mweupe maji ya kunde, umri wangu miaka 35, sijaoa wala sina mtoto Rafiki ninayemtaka Awe mweusi Awe mrefu Asiyejichumbua Asizidi miaka 28 Asiwe na mtoto Mawasiliano yangu: brightcreeper87@gmail.com
  20. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, civil engineer

    Habari za wakati huu ndugu zangu, mimi ni mhitimu wa ngazi ya degree in civil engineering mwaka 2023, natafuta kazi ( ushauri pia napokea)
Back
Top Bottom