Natafuta nafasi ya kazi Community Development

Kipekemam

New Member
Mar 18, 2024
1
3
Habari,

Mimi ni msichana wa miaka 26, natafuta nafasi ya kazi ya maendeleo ya Jamii name elimu ngazi ya dilpoma au shirika lolote linalohusiana na maendeleo ya jamii.

Ninauzoefu niliwahi kujitolea katika shirika la FARAJA TRUST FUND liliopo morogoro linahusika na maswala ya USAID BORESHA AFYA,kwa morogoro vijijini.

Kwa sasa naishi mkoa wa pwani MKURANGA, Nina ujuzi wa computer pia!
 
Pia unavosubiria ajira ya kudumu, ungesoma na Degree ya Community Development in Water Resources kwakua ni mpya inaweza kua na future nzuri mbeleni kuanzia mwezi Nov.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom