Natafuta mke wa kuishi naye sibagui sichagui

wanzzuki

Member
Feb 27, 2024
66
129
Wasalam,
Habari hum,natafuta mke wakuishi naye sichagui sibagui yoyote sawa
kigezo:uwe umeajiliwa(mimi bado nasoma)
umri:wowote(mimi 22)
Ntakupenda na kukulinda kama mboni ya jicho langu mwaaah!
 
Unatafuta mtu wa kukulea et 😂😂😂 kijana fanya kazi wew 😂😂😂
 
Unatuchamba kiTWANGA PEPETA,,Una udugu na Mwimini Mwijuma dogo??
 
Wasalam,
Habari hum,natafuta mke wakuishi naye sichagui sibagui yoyote sawa
kigezo:uwe umeajiliwa(mimi bado nasoma)
umri:wowote(mimi 22)
Ntakupenda na kukulinda kama mboni ya jicho langu mwaaah!
Sema hiviii:
natafuta mwanamke wa kunilea kwa hali na mali na akipendezwa na ww ndio akuoe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom