Natafuta kazi au kituo cha kujitolea

Motag

Member
Nov 9, 2017
12
15
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, mbunifu, mwaminifu na mchapakazi

Nimesomea maswala ya manunuzi na ugavi ngazi ya shahada katika chuo cha uhasibu Tanzania TIA na nimesajiliwa na bodi PSPTB

Uzoefu sio mkubwa niliwai kujitolea katika hospitali ya Nkinga kama supplier officer/ storekeper, kwa miezi mi4 badae nikapata kazi ya mkataba bodi ya korosho kwa ajili ya kusimamia zoezi la usafirishaji korosho nje ya nchi katika bandali kavu(Stuffing officer).

Naweza kufanya kazi kwa ngazi zote cheti, diploma au degree kwa ngazi ya cheti nina cheti cha ukutubi/library, diploma na degree ni procurement.

NB: Ukiona nafaa kwenye kada nyingine ambayo sijasomea nipo tayari kufanya...sichagui kazi, isiwe tu kinyume na sheria zetu za nchi🙂 mtaa umekua mgumu sana😀😀
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, mbunifu, mwaminifu na mchapakazi

Nimesomea maswala ya manunuzi na ugavi ngazi ya shahada katika chuo cha uhasibu Tanzania TIA na nimesajiliwa na bodi PSPTB

Uzoefu sio mkubwa niliwai kujitolea katika hospitali ya Nkinga kama supplier officer/ storekeper, kwa miezi mi4 badae nikapata kazi ya mkataba bodi ya korosho kwa ajili ya kusimamia zoezi la usafirishaji korosho nje ya nchi katika bandali kavu(Stuffing officer).

Naweza kufanya kazi kwa ngazi zote cheti, diploma au degree kwa ngazi ya cheti nina cheti cha ukutubi/library, diploma na degree ni procurement.

NB: Ukiona nafaa kwenye kada nyingine ambayo sijasomea nipo tayari kufanya...sichagui kazi, isiwe tu kinyume na sheria zetu za nchi mtaa umekua mgumu sana
Hujasema unapatikana wapi mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom