Natafuta rafiki na mchumba Kisha mke

supermwamba

Member
Mar 11, 2024
38
31
Natafuta dada au mama mtumzima chini ya miaka 35. Aliejiajiri au kuajiriwa. Mwenye Elimu yoyote kuanzia la saba. Awe na mtoto au asiwe naye. Awe serious na maisha.

Mimi na miaka 40. Ni mkristo na nimjasiriamali. Napenda sana maendeleo. Karibu . P M.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom