Natafuta kazi ya ulinzi

Enter Passcode

Senior Member
Mar 1, 2024
174
304
Habar wakuu!

Natafuta kazi ya ulinzi

umri; 28yrs old

Elimu; kidato cha 6, chuo but #dropout kwa sababu za kifedha lakn sio ishu

Mafunzo; JKT, Op; makao makuu Dodoma

Uzoefu; 3yrs of experience

Napatikana; Kimara-DSM

uwezo wa kutumia silaha; rungu,Smg,pump action s/machine gun
#niko tyr kupangiwa kazi popote


Asanteni
 
Acha kazi ya kimaskini hiyo, tafuta connection ya unga au robbery upige mshindo.
hahahaa wakati namaliza jkt yalikuwa mawazo yangu haya ila nashukuru ilikuwa tuu ni akili ya ujobles na hela sina, by ze way sikupata tuu connection
 
JKT mnafundishwa kutumia Rungu?
Nenda kampuni yoyote ya ulinzi utapata.

Usiogope kuanza mlinzi, wako wengi waliqnza kama walinzi leo ni watu wakubwa. Kikubwa usipoteze focus.
 
Nenda kwenye makampuni ya ulinzi mbona wanaajiri na kufukuzwa Kila siku mfano G4s,
Nenda kwenye makampuni ya ulinzi mbona wanaajiri na kufukuzwa Kila siku mfano G4s, Garda world nk
Mkuu,pote nmeshapeleka maombi, askari wanapokea alafu wanaweka juu ya meza wanakwambia messenger atakuja kuchukua bahasha yako ww nenda tu 😂😂😂
 
Mkuu,pote nmeshapeleka maombi, askari wanapokea alafu wanaweka juu ya meza wanakwambia messenger atakuja kuchukua bahasha yako ww nenda tu 😂😂😂
Usiweke getini walinzi wengi akili zao fyatu kutokana na kuathirika na kukesha usiku
 
Back
Top Bottom