naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbeya, Kahama ma Dodoma naombeni msaada wenu

    Kichwa cha habari kinajieleza, kwa wakazi wa maeneo tajwa hapo juu natarajia kufungua library ya kuuza na kukodisha CD. Sasa naombeni ABC zote za maeneo niliyotaja hapo juu, sehemu kwenye mzunguko mkubwa wa watu, sehemu biashara hiyo ya CD inatoka kwa wingi. Natarajia kufungua ofisi kubwa sana...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Je kuna ulazima kwa developer kujua kila component ya ide

    HABAR WADAU hope wote mpo poa Leo nina maswali mengi sana wadau nilitaka nifungue uzi mmoja niweke mada zote ila nikaona nitawachanganya wadau ngoja nifungue kila kitu na uzi wake uzi huu niliwahi kuuandika apo nyuma sema sikuwa na screenshoot ivo mada ikakosa mashiko leo sasa twende pamoja pia...
  3. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wataalam na wajuzi wa hili tatizo

    Windows 8.1 pro,nikienda huko kwenye setting inataka niweke NEW PRODUCT KEY sasa mimi sina hizo new product key,nazipataje na je ikifikia tarehe ya ku expire sitapoteza vitu vya humu kwenye hii pc? ama ni athari gani itatokea. msaada wakuu
  4. JamiiForums Tanzania Naombeni misaada jinsi yaku arrange blogu

    Naombeni msaada jinsi ya ku arrange blogu kama sehemu ya teknolojia unaweka maswala ya teknolojia na sehemu ya breaking news una arrange breaking news tu
  5. JamiiForums Tanzania Heart beat disorder inanimaliza, naombeni msaada ndugu zangu

    Nilipata tatizo la panick attacks na anxiety disorder kiasi cha miaka mitatu iliyopita hali iliyopelekea kuwa na mapigo ya moyo kwenda kasi, kuruka na moyo kupiga kwa nguvu kwa baadhi ya nyakati. Nilifanya vipimo vya moyo (ultra sound, ECO, na AKG lakini moyo ulikuwa normal kabisa, sikuonekana...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikiwa na mwanamke uume unasinyaa

    Naombeni msaada ndugu zangu na sio masihara nikiwa na mwanamke uume hausimami kabisa unasinyaa na kubakia kichwa tu imenitokea hiyo hali mara mbili naombeni msaada na uume unapo simama haukazi sawa sawa unalegalega.
  7. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mahusiano yangu

    Habari wanaJF, Naombeni ushauri nipo na mpenzi wangu tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka miwili na miezi kadhaa mpaka leo hii Shida iko hapa tulikuwa tunaaminiana sana mimi na mpenzi wangu kumbe yeye sio mwaminifu kwangu nilihisi anatembea na mtu fulani nikamuulza alibisha mimi nikaendelea na...
  8. JamiiForums Tanzania Nishaurini nirudiane naye au nimuweke awe uwanja wa mazoezi?

    Nimewahi kuwa na mahusiano na mdada mmoja kutoka kwao alikuja kanda ya ziwa kwa ajili ya masomo katika katika harakati zangu tukakutana nikamfikishia langu la moyoni akanielewa japo ilichukua siku kadhaa kukutana kimwili. Baada ya kukutana kimwili ilibidi ahamie kwangu maisha yakasonga baadae...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwenye hili la Window 11

    Habari za muda huu. Baada ya pc health check kundolewa kutokana na mapungufu siku za nyuma hatimaye microsoft wame irudisha tena huku bado siku kadhaa tu ili window 11 itoke rasmi tarehe 2
  10. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Wakuu, Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo. Aidha, tunashauri...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni data kwa aliyepimwa na mlinzi akakutwa na korona

    Tangu ugonjwa wa korona uingie kuna maeneo mbalimbali kabla ya kuingia unapimwa na mlinzi kama hauna dalili za korona kwa kuangaliwa joto la mwili. nauliza haya maeneo kama bank maofisini shopping mall viwanja vya ndege, hivi kuna aliyegundulika na korona kwa kutumia kipimo hiki cha walinzi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni majibu murua

    Je sheria inaruhusu upande m1 kukata rufaa ikiwa kesi ya msingi bado inatakiwa kuendelea.
  13. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Wizara ya Mambo ya Ndani

    Nauliza swali kwa wizara ya mambo ya ndani, ninandugu yangu wakati wa tuhuma y vyeti feki, ilimtokea yeye na aliomba kuacha kazi, na hakuwahi kujibiwa barua ya kuacha kazi, Tangia mwaka 2016. Hajapata haki zake zozote wakati halifanya kazi kwa muda mrefu, kwakua alilitumikia jeshi la polisi na...
  14. JamiiForums Tanzania Simu inanisumbua Camera

    Wakuu habar zenu mimi na shida simu yangu inanisumbua camera. Itel a32f, camera inaonesha giza nimepeleka kwa fundi akabadilisha akaweka camera zingine lakini bado inaonesha giza tu nimejaribu pia kwa fundi mwingine kabadisha kaweka zingine lakini inaonesha hivyo hivyo kuback up naye nimeback up...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyoyte ndani au nje ya Kahama

    Kwanza kabisa niwasalimu ndugu wote wana jf, mimi nikijana mwenye 25yrs, elimu degree, naishi kahama, nimekuja mbele zenu kwa unyenyekevu mkubwa naombeni kwa yeyoyote. Mwenye connection ya ajira iwe rasmi ama isiwe rasmi hata ukondakta niko tayari kufanya kwa uaminifu mkubwa na moyo wangu wote...
  16. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu haoneshi hisia tukifanya mapenzi

    Niko na mpenzi wangu ila tatizo linakuja tukiwa tunanyanduana mwenza haoneshi kusikia kitu kabisa, hata ukikandamiza yote haoneshi kabisa. Sasa hii hali inanifanya najisikia vibaya, sielewi nifanye nini ili nimfanye asikie naombeni ushauri jamani🙏🙏🙏
  17. JamiiForums Tanzania Nataka kuweka pesa fixed deposit/fixed term naombeni ushauri

    Habari wadau..! Kwa tetesi za mtaani viwango vya riba vimeongezwa kwa wale wanohitaji kuweka pesa kwenye akaunti za kuzaa faida yaani Fixed deposit au fixed term ,wanadai hii inatokana na ukwasi katika mabenki mengi hivyo wanahitaji watu watakao weka pesa kwenye mabenki yao.Je ni kweli? Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu kuna hili la kisheria hapa naombeni msaada wenu

    Mwanamke na mwanaume walianza kuishi pamoja kama mke na mume toka mwaka 2007 kama mke na mume na wakapata mtoto mmoja wakiwa kwenye Nyumba ya kupata. Ilipofika mwaka 2015 wakabahatika kujenga nyumba na wakanunua gari. Na mwaka 2016 ndio wakafunga ndoa na wakabahatika kupata mtoto mwingine wa...
  19. JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa pesa, naombeni ushauri

    Kuelekea mwishoni mwa mwaka 2019 nilikuwa na kazi ya miezi mitano mkoani Kigoma. Nikiwa huko nilikutana na classmate na roommate wa chuo niliyesoma naye miaka ya nyuma DIT. Tulipiga stori za hapa na pale, tukazoeana kiasi. Akajitambulisha kuwa anafanya kazi kwenye shirika la misaada, na pia...
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya hizi kozi

    wakuu habarini za saa hizi? Nimechaguliwa kusoma kozi zifuatazo. 1: bachelor of business information technology pale (UDSM NA MZUMBE). 2: bachelor of sciences in computer system and network pale ARDHI UNIVERSITY. wakuu kwa kuangalia uwanja wa ajira (kujiajiri/kuajiriwa), ni kozi gani ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…