livingroom_espionage
Member
- Jul 8, 2026
- 6
- 7
Salaam wakuu, mimi ni mwenzenu ila account yangu sijui imefanyaje na ile email walihack ila nimefungua account mpya.
Sasa ndugu zangu mimi nina 38 sasahv na ndio naingia kwenye ndoa, huyu binti nilizaa nae miaka 12 iliyopita, ila nilikuwa sijapata kibali cha kuishi nae pamoja.
Sasa naombeni ushauri je, kwa umri wangu huu kuna mambo gani ya kuzingatia ili nisifeli maana kama Mungu akinipa umri mrefu labda miaka 60 inamaana nitakaa kwenye ndoa miaka 20+, Je wakongwe nini cha kufanya na nini si chakufanya.
Natanguliza shukrani.