nimekula hela ya kula
Member
- Nov 10, 2024
- 14
- 55
Samahani wakubwa nimeuza vitu vyangu kadhaa nimepata Shilingi elfu hamsini,
nahitaji hii Hela isipotee maana sijui nitapata lini Tena.
Naombeni wazo la shughuli ya kufanya Kwa kutumia kiasi hiki Cha Pesa na nipate faida.
Niweze kuweka akiba ya 2,500 Kila siku
Jinsia mwanaume miaka 28 Dar es salaam
Natanguliza shukrani za dhati Kwa maoni mtakayotoa