Jana Rasmi Nimeachana na Mpenzi wangu, huyu Binti Tulipendana sana Wakati tupo Chuo, Mimi nikiwa Mwaka wa Pili, yeye wa kwanza, Sote Tumesoma Diploma.
Mimi ni introvert hivyo huwa napenda sana kutafakari Sana Mambo, Hivyo Jana Nikaona Nimuulize ikitokea sote Tukapata AJIRA Serikalini Mahusiano Yetu yatakuwaje !??
Maana huyu Binti nilipanga KumuOA, Sasaa Hofu yangu ikawa ni Umbali Maana Mmoja anaweza pata kazi Mkoa X Mwingine Mkoa Y, Na mimi siamini katika Mapenzi ya Mbali.
Akajibu yeye Lazima afanye kazi Serikalini kuhusu Ndoa sio Kipaumbele Chake Kwasasa,
Nami nikamwambia Sawa nimekuelewa Basi Tuishie Hapa... Aiseee Nilipomwambia Hivyo Akawaka sana, Amenitukana Sana Mara Mimi kiziwi, Mara Sintopata Mwanamke wa Kunipenda na Hali Yangu, Yaani kaongea Maneno Hayo Duuh !!!
Sasaa Naomba Kuwauliza Ndugu Zangu je, Nimekosea !?? Maana Nimejionea Ndoa Nyingiii Zikivunjika Kwasababu ya Umbali nami sikutaka kuona Watoto wangu Wanatangatanga... Nadhani sote Tunawafahamu TAMISEMI Na suala la Uhamisho Linavyosumbua.
NB; Sikumkataza Asifanye kazi ila nilimwambia Nikipata AJIRA Basi Tutatafuta Shule ya Private ili sote Tuwe Mkoa Mmoja ( Sisi sote ni Walimu wa Primary )
Niongeze Piaa Amesema Ataniroga Kisa kwao ni Shinyanga.
Wakuu Naombeni Hekima Zenu.