Wakuu mliofanikiwa naombeni mnipe darasa

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,413
Reaction score
11,904
Mimi ni mchuuzi ila ninaeajirika katika sekta zisizo za kielimu na kielimu pia, najiita hustler kwa maana kazi yoyote isiyotweza utu wangu napiga lengo kubwa ni kutoboa katika maisha kwa maana niweze kula vizuri, nisiwe na mawazo ya bill mbalimbali, nijenge bungalow lenye floor mbili na gari walau la 15mil huko ndio kutoboa ninakotarajia, huku kukisindikizwa na mirija mbalimbali ya pesa zikiwemo biashara na kazi ya uhakika ya kudumu

Wakuu, uwe umefanikiwa kisiasa, kielimu au kibiashara walau ukaweza kumiliki vitu nilivyotaja hapo juu au zaidi una nafasi ya kunishauri kijana wako, japo najua siwezi kupita njia sawa ulizopita wewe nikafanikiwa kama wewe ila walau ninaweza kuchanganya na zangu nikatoboa

Kumbuka ushauri huu ni kwa ajili yangu na ma-hustler wengine humu toa mbinu, njia na hata connection tupate kusaidika.

Usilete mzaha watu tupo serious karibu
 
Umri unanitupa mkono nguvu za utafutaji zinazidi kupungua siku hadi siku nishikeni kijana namimi niwe miongoni mwenu/mwao
 
Wanasema usiombe pesa omba namna ya kutafuta pesa nipeni deal wakuu nikasake mahela (ngwear rip)
 
Mimi ni mchuuzi ila ninaeajirika katika sekta zisizo za kielimu na kielimu pia, najiita hustler kwa maana kazi yoyote isiyotweza utu wangu napiga lengo kubwa ni kutoboa katika maisha kwa maana niweze kula vizuri, nisiwe na mawazo ya bill mbalimbali, nijenge bungalow lenye floor mbili na gari walau la 15mil huko ndio kutoboa ninakotarajia, huku kukisindikizwa na mirija mbalimbali ya pesa zikiwemo biashara na kazi ya uhakika ya kudumu

Wakuu, uwe umefanikiwa kisiasa, kielimu au kibiashara walau ukaweza kumiliki vitu nilivyotaja hapo juu au zaidi una nafasi ya kunishauri kijana wako, japo najua siwezi kupita njia sawa ulizopita wewe nikafanikiwa kama wewe ila walau ninaweza kuchanganya na zangu nikatoboa

Kumbuka ushauri huu ni kwa ajili yangu na ma-hustler wengine humu toa mbinu, njia na hata connection tupate kusaidika.

Usilete mzaha watu tupo serious karibu
1/uwaminifu kwako na watu wengine.
2/Nidhamu yak upande wa uchumi
—kutumia pesa
—Kuzalisha pesa
—kutunza pesa
3/kuwa na ufahamu wa kutosha kwa jambo unalotengemea kufanya mfn (kilim, biashara,ufugaji,).
4/Ongeza juhud na maalifa,kwa uwo ufahamu wa jambo usika,then bahati automatic hunakuja wenyew.
5/Mwisho sali sana kwa Imani yako
 
1. Uaminifu ninao ila sina wa kumuonesha either mwajiri/mzamini au boss

2. Hapa nitajitahidi kuongeza nidhamu walau kiduchu nilichonacho kitumike kisahihi

3&4. Hapa nitachukua kama palivyo

5. Imani nipana sana ila nitajitahidi kuomba

All in all shukrani sana
 
Back
Top Bottom